Ili uwe mwanasiasa kwa siasa za kiafrika lazima uwe mnafiki.
Lazima penye uongo ukubali na kusapoti huku ukikenua meno.
Hayati Magufuli alikataa unafiki na ndiyo maana mpaka leo Watanzania...
Wasalaam,
Kama jina la uzi linavyosema, nauliza ni kweli kwamba vyanzo vya mapato ni tozo tuu hatuna angle nyingine ambayo inaweza kumpumzisha Mtanzania na kumfanya asijute kuwa Mtanzania?
Kwa...
Na Grace Semfuko, MAELEZO
Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Gerson Msigwa amewataka Viongozi wa Taasisi za Serikali Nchini, kutoa taarifa za mafanikio ya...
Asalaam Alyekum Ndugu zangu Watanzania!
Tumsifu Yesu Kristo ndugu zangu Watanzania!
Kwanza nitaanza kurejea mgogorowa IPTL na Serikali juu ya Escrow Account, nakumbuka vyema jinsi Serikali ya...
Kwenye ukweli basi ukweli uwekwe wazi.
Hakuma mtanzania anyependa uhalifu. Kama jambazi ana silaha na anakiwa mkaidi kutii basi huyo ni halali ya polisi.
Lakini inasikitisha kusikia kuwa...
Inatia moyo kuwa sauti zaidi zinazidi kusikika.
Kwamba:
"Machifu wa mkoa wa Mara nao pia wameomba kufanyika kwa uchunguzi wa kina kuhusu tukio la mauaji ya watu watatu yalitokea wilayani...
Naomba kujua hii serikali ya sasa inaendeleaje na mkakati wa kuunganisha DR Congo na Tanzania Ili mizigo ya DR Congo isipitie Zambia bali ipitie Tanzania na kufika DR Congo kupitia Sumbawanga
Tunayo furaha kukutangazia kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , kesho Jumanne 27/09/2022 saa 5 Asubuhi , kitakuwa na Mkutano na Waandishi wa habari , IKUMBUKWE KWAMBA JUMANNE NDIO...
Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania........
Naamini wengi wetu tuko salama na tunaendelea kupambana na maisha. Karibuni kwenye mada tusaidiane mawazo ikiwa ni elimu kwangu...
Na Grace Semfuko, MAELEZO
Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Gerson Msigwa amesema Tanzania ni moja kati ya Nchi Duniani zenye vyombo vingi vya Habari na kwamba...
Kuna kitu kinanishangaza sana, kwamba Wazungu wamenunua sana aridhi Zanzibar na wanaishi, si kwamba wanaishi kama wawekezaji hapana, wamenunua wamejenga nyumba na wanakaaa, na wakati huo huo watu...
Mnachokiwaza hakipo kama mnavyofikiri kuna vingi vipo nyuma ya jambo hili, mna macho wala hamtaona
Mna masikio ila hamtasikia
Na kwa kuwa mmerogwa haina haja kuwaambia ngojeni kwanza tuwatafutie...
Ni dhahiri kabisa CCM ndio Chama kinachoongoza kwa kupendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania walio wengi.
Ushahidi wa wazi ni idadi hii kubwa ya Wananchi wanaotaka kukiongoza chama hiki pendwa...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema hadi sasa hakuna Mmonjwa wa Ebola nchini, hata hivyo Ummy amewataka Wakuu wa mikoa yote kuwaandaa wahudumu watakaowashughulikia Wagonjwa wa Ebola iwapo...
Kama IGP Wambura ataendelea kufanya vitu kisiasa ni bora apelekwe naye ubalozini. Hatutaki siasa kwenye Polisi. Huko Musoma shughulikia zaidi badala ya kungojea viongozi wa siasa huu ni udhaifu
Kampuni hiyo ya uzalishaji mafuta imetakiwa kufika mbele ya jopo la Wabunge wa Umoja wa Ulaya Oktoba 10, 2022 kujieleza kuhusu athari za Kimazingira na Ukiukaji wa Haki za Binadamu kwenye...
Baada ya Mbatia kutimuliwa jana September 25 2022 ndani ya NCCR-Mageuzi pamoja na Vijana wake wakiwemo Edward Simbeye na Nicolas Clinton, Iko hivi;
Hii inakuja baada ya Makundi yanayonyukana...
Habari Watanzania,
Baada ya kusoma na kusiliza hoja za waziri wa fedha mheshimiwa Dr. Mwigulu Lameck Nchemba, naona kama hajaelewa msingi wa manung'uniko au kelele anazozisikia. Naomba kumweleza...
Nadhani huu ndio Mshangao wa kwanza kwangu tangu mwaka huu uanze , na hasa kama mlalamikaji ni Bananga .
Bananga ni Mwanaccm ambaye ameishi na kukulia kwenye mazingira ya ccm , chama ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.