Shaka: Zaidi ya wanachama milioni 2 wamejitokeza kuomba kuteuliwa kugombea nafasi mbalimbali

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
2,542
2,166

Ni dhahiri kabisa CCM ndio Chama kinachoongoza kwa kupendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania walio wengi.

Ushahidi wa wazi ni idadi hii kubwa ya Wananchi wanaotaka kukiongoza chama hiki pendwa zaidi kusini mwa jangwa la Sahara.

#KARIBU CCM CHAMA CHA WAJANJA WAADILIFU
 
View attachment 2369860
Ni dhahiri kabisa CCM ndio Chama kinachoongoza kwa kupendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania walio wengi,

Ushahidi wa wazi ni idadi hii kubwa ya Wananchi wanaotaka kukiongoza chama hiki pendwa zaidi kusini mwa jangwa la Sahara,

#KARIBU CCM CHAMA CHA WAJANJA WAADILIFU
Swala hapa sio kuaminika.
Ila ni ike tabia ya wizi wa kura hata agombee kilaza kama tunaiwaona wapigaji sound watupu.
Kuombea kwao nikuendeleza wizi wa kura kukaa madarakani.
Tunahitahi KATIBA Mpya kama muarobaini wa haya.
Acheni mpendwa.
 
View attachment 2369860

Ni dhahiri kabisa CCM ndio Chama kinachoongoza kwa kupendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania walio wengi.

Ushahidi wa wazi ni idadi hii kubwa ya Wananchi wanaotaka kukiongoza chama hiki pendwa zaidi kusini mwa jangwa la Sahara.

#KARIBU CCM CHAMA CHA WAJANJA WAADILIFU

Huu ujinga wa kupika data ndio imekuwa kilema cha CCM na serikali yake kwa sasa. Juzi hapa walidanganya idadi ya vituo vilivyojengwa kwa tozo, tukapiga kelele walete jedwali la hivyo vituo. List ilipotoka ilikuwa ni aibu. Kizazi kimebadilika, ila CCM wamebaki wanatumia mbinu na propaganda za kizamani kwelikweli.

Ndio maana kwa sasa hicho chama kimebaki kutegemea vyombo vya dola kubaki madarakani kwa shuruti. Namna pekee ya kukitoa chama hiki kilichopoteza ushawishi kwa umma ni kuleta machafuko au mapinduzi ya kijeshi tu.
 
Swala hapa sio kuaminika.
Ila ni ike tabia ya wizi wa kura hata agombee kilaza kama tunaiwaona wapigaji sound watupu.
Kuombea kwao nikuendeleza wizi wa kura kukaa madarakani.
Tunahitahi KATIBA Mpya kama muarobaini wa haya.
Acheni mpendwa.

Hata katiba mpya bado CCM wataichezea kwa maslahi yao, njia pekee ni machafuko au mapinduzi.
 
View attachment 2369860

Ni dhahiri kabisa CCM ndio Chama kinachoongoza kwa kupendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania walio wengi.

Ushahidi wa wazi ni idadi hii kubwa ya Wananchi wanaotaka kukiongoza chama hiki pendwa zaidi kusini mwa jangwa la Sahara.

#KARIBU CCM CHAMA CHA WAJANJA WAADILIFU
Ukitangaza nafasi ya kazi kufanya usafi vyoo stand naamini maelfu wataaply..... Hiyo haimanishi watu wanapenda musafisha vyoo. Wanatafuta ajira.

Hata huko CCM watu Wanatafuta ajira tu...!!
 
Ukitangaza nafasi ya kazi kufanya usafi vyoo stand naamini maelfu wataaply..... Hiyo haimanishi watu wanapenda musafisha vyoo. Wanatafuta ajira.

Hata huko CCM watu Wanatafuta ajira tu...!!
Unamaanisha Uenyekiti wa CCM ni ajira?
 
Back
Top Bottom