CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Septemba 27, 2022

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,804
218,449
Tunayo furaha kukutangazia kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , kesho Jumanne 27/09/2022 saa 5 Asubuhi , kitakuwa na Mkutano na Waandishi wa habari , IKUMBUKWE KWAMBA JUMANNE NDIO SIKU AMBAYO MWENYEZI MUNGU ALIUMBA MOTO (kila kitu cha duniani kilikuwa na siku maalum ya kuumbwa na Mungu)

Mahali ni pale pale Makao Makuu ya Chama , Nje ya Jiji la DSM , Kinondoni , Mtaa wa Ufipa .

Wote Mnakaribishwa .

FB_IMG_1619042485662.jpg


UPDATES
===============

Naibu Katibu Mkuu Benson Kigaila anaendelea .
 
Back
Top Bottom