Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hili swala linafikirisha.. Waziri Mkuu wa Uingereza Liz Truss ametoka hadharani na kutetea sera za Uchumi za Serikali yake zilizowasilishwa na Waziri wake wa Fedha Kwasi Kwarteng.. Kwarteng...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Kundi la vijana wanaojulikana kama Panya road' limekuwa ni tishio kwa wananchi kwa siku za hivi karibuni! Vijana hawa wamekuwa wakitishia usalama wa jamii na hata kufanya mauwaji mbalimbali kwa...
15 Reactions
139 Replies
7K Views
Utafiti wa Taasisi ya Utafiti Repoa unaonesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote kutoka vyama vya upinzani. Utafiti huo wa Repoa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nyumba la Taifa (NHC) ujulikanao Samia Housing Scheme (SHS) wa nyumba 5000 pekee unatarajiwa kutoa ajira zipatazo 26,400(direct 17,600 na indirect 8,800), taarifa hiyo imetolewa na Meneja Habari...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Watumiaji wa gesi asilia kwenye magari wako njia panda kwa siku ya SIku 5 sasa baada ya kukosa huduma hiyo tangu mwishoni mwa wiki iliyopita. Uchunguzi umebaini kuwa mashine ya mgandamizo...
0 Reactions
5 Replies
707 Views
Waziri wa Tamisemi fika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara. Wakuu wote wa idara ni makaimu na Wizi wa fedha ni mkubwa sana. Ni nini kinasababisha wakuu wa idara kukaimu Nafasi hizo...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Utafiti wa Taasisi ya Utafiti REPOA unaonesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote kutoka vyama vya upinzani. Utafiti huo umeonesha kuwa...
0 Reactions
3 Replies
773 Views
Nimetoka kutazama kipindi cha Malumbano ya Hoja kinachorushwa mubashara na ITV Mada ilihusu Mfumuko wa Bei za bidhaa na Chakula nini kifanyike? Utata ukaibuka kwamba Vita ya Russia na Ukraine...
0 Reactions
12 Replies
929 Views
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amepokea vifaa mbalimbali vya Afya kutoka kwa Shirika la Lion Club...
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Muwekezaji ni nani? Je, ni hawa wachina wa Kariakoo au yule Bakhresa wa Azam na Mo wa Simba? Uwekezaji siyo kichaka cha ufisadi? Jumaa kareem
0 Reactions
2 Replies
448 Views
Ni kauli ya Mhandisi majengo kutoka Chuo cha Ardhi. Anasema kibanda cha walinzi kina kanuni zake za ujenzi kwa sababu ni ofisi ya walinzi wenye silaha. Amesisitiza Tsh. 11 milioni ni ndogo...
28 Reactions
121 Replies
9K Views
Kuna baadhi ya maeneo tena mengi tu nampinga Rais Putin wa Russia lakini jambo moja nililo na hakika nalo ataleta ukombozi Kutoka minyororo ya Ukoloni mamboleo Nchi nyingi za Africa haziko huru...
0 Reactions
3 Replies
644 Views
Rais Samia pesa anatoa wapi za kuwapa watu ufadhili? Au sijaelewa? If it is government funds, why call it Samia scholarships?
32 Reactions
144 Replies
10K Views
Wanabodi, Hili ni Bandiko la swali, kuhusu moja ya zile mada ngumu za psychoanalysis, ambayo hoja zake ni vitu vya kufikirika tu na havijatamkwa rasmi, lakini vitu hivyo, vikisemwa na kujadiliwa...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
UTEUZI WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA. Orodha ya majina ya walioteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CCM wilaya kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya mwaka 1977 toleo...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Kuna mahali naona hapako sawa, ili uwe mbunge Tanzania ni kujua kusoma na kuandika, kwa maana kwamba hata darasa la nne anaweza kuwa mbunge, na pengine hata kingereza akawa hajui, inakuwaje...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kumbe Kenya Wana mzigo wana mzigo wa madeni na wanatumia 63% ya bajeti yake kulipa demi la taifa Lumber Kenya Wana mfumuko mkubwa wa Bei za chakula na bidhaa Hatimaye serikali ya Kenya imeamua...
1 Reactions
6 Replies
935 Views
Mindset ya Mwigulu Nchemba imejikita Sana kuvuna kwa nguvu kutoka kwa wananchi asichopanda badala ya kuplan kitu kinachoweza kuwasaidia wananchi huku Serikali ikivuna.
9 Reactions
116 Replies
10K Views
Pamoja na MAJIBU MEPESI ya Waziri wa Fedha juu ya Suala la Serikali kusamehe Kodi ya Tril.360 zilizokuwa inadaiwa Kampuni ya Barrick Binafsi naona Bado kuna haja ya Kuendelea Kujadili ili tujue...
1 Reactions
2 Replies
487 Views
Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa...
11 Reactions
73 Replies
5K Views
Back
Top Bottom