Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana...
Wakati Magufuli anatenga zaidi ya trillion mbili kwa ajili ya kuchimba na kupanua bandari ya Mtwara, Dar ,Tanga na ile ya Kalema Chadema walipinga na kuita hayo ni matumizi mabaya ya pesa za...
Baada ya kifo cha JPM, Mbunge wa jimbo la Kisesa Mh Luhaga Mpina, anatupa faraja sana Kwa jinsi anavyoumizwa na ukali wa maisha Kwa wananchi, amejitoa mhanga ili kutetea masilahi ya nchi...
Wanasema barabara ya kuzimu imesakafiwa kwa nia njema. Watu wanaopinga mauaji yanayofanywa na polisi kwa washukiwa wa uhalifu wana nia njema sana. Na ni kweli kuna polisi waovu na wanatakiwa...
Diwani wa Zamani wa Njombe kupitia Chadema , George Sanga na wenzake leo anatimiza miaka 2 kamili Jela , kwa makosa ya uongo ya Mauaji aliyobambikiwa na watawala wa awamu ya 5 , ili kumkomoa kwa...
Huo ndio Ukweli hakuna cha wizi wa kura wala nini
Vyama vya Upinzani hata kuweka Wagombea nusu tu ya Majmbo yote nchini hawawezi halafu wanatamba eti bila Polisi ndio wataishinda CCM
Upinzani...
SAKATA la ndugu wa Richard Bukombe mkazi wa Miyuji jijini Dodoma, aliyefariki dunia kwa madai ya kugongwa na gari la Jeshi la Magereza limechukua sura mpya baada ya wanafamilia kumtaka mkuu wa...
Rais mpya wa Kenya amesema nchi yake inakimbiliwa na wawekezji kwasababu kuna demokrasia na hivyo mustakabali wake unatabirika.
Uchaguzi uliyopita umeithubitishia dunia kwamba Kenya Ina misingi...
Kuna upotofu Fulani ulianza toka enzi za Raisi aliyependa kuabudiwa JPM na sasa umekuwa ndio utaratibu.
Utasikia Raisi Katoa PESA kadhaa mara Raisi katafuta PESA kuafanya kitu kadhaa.
Hivi Rais...
Ni kama vile mikakati ya gizani ya Wamarekani inaenda kutimia
Thamani ya US Dollar inazidi kuimarika kila Dakila hulu Chinese Yuan, Pound sterling na Euro zikipumulia mashine
Tutegemee misaada...
MARAIS WA AFRIKA KUPAKIWA KWENYE BUS NI DHIHAKA?
Na Abbas Mwalimu
(0719258484).
Jumatatu tarehe 19 Septemba, 2022.
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu viongozi wa Afrika kupakiwa kwenye usafiri...
Unajua ukicheki jinsi inchi za Ulaya wanavyoziongoza itoshe kusema Afrika sisi tuna wafalme kabisa, sio marais.
Ulaya rais anaweza kufanywa chochote akizingua.
Afrika rais anaweza kutufanya...
RAIS SAMIA KUMALIZA CHANGAMOTO YA HUDUMA YA MAJI MJINI MTWARA
Serikali imetoa shilingi bilioni Kumi na Tisa kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Mtwara (MTUWASA) ili kufumua mfumo...
Standard Bank Group, benki ya kimataifa na yenye ushawishi katika ufadhili wa miradi mikubwa ya maendeleo barani Afrika imesema ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki...
Wakati wa siasa za mwanzo wa vyama vingi na kabla kidogo ya kuanza mfumo wa vyama vingi awamu ya pili, James Mbatia alionekana kuwa mwanasiasa shupavu na kama ungemuona miaka hiyo, siasa zake...
Ndo ukweli!
Kwa sasa hakuna hoja tena, ni kujifariji na kujifariji na kujisariji na kujifariji kwa kutumia mgongo wa Mungu.
Ukiuliza tundu lissu anafanya nini ughaibuni? Utasikia 'chadema mpango...
Ikumbukwe kuwa Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya ndiye mwenye Serikali pale wilayani.
Kitendo cha kupata Wenyeviti wa CCM wa Wilaya ambao ni Wasomi kwa mara ya kwanza tangu chama kiasisiwe...
Nimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija.
Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar...
Nimesikia tu kuwa kuna sera mpya ya elimu ambayo kwa sasa wanadau wanaipitia.
Swali langu je sera hii inapatikana wapi? Je, kuna forum yoyote inayoijadili?
Au ndio mnaini ninyi mlio serikalini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.