Ally Bananga alalamikia Rushwa kwenye Chaguzi za CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,247
Nadhani huu ndio Mshangao wa kwanza kwangu tangu mwaka huu uanze , na hasa kama mlalamikaji ni Bananga .

Bananga ni Mwanaccm ambaye ameishi na kukulia kwenye mazingira ya ccm , chama ambacho RUSHWA NDIO NGUZO MUHIMU YA CHAMA , leo anashangaaje rushwa kutumika kwenye chaguzi za ccm ? ambacho hakijafahamika ni kama Yeye mwenyewe alikuwa mgombea au alikuwa Chawa wa Mgombea Mwingine .

Ama kweli kua uyaone .
 
Rushwa ni chande na pete, mauaji ni chanda na pete, kupoteza watu ni chande na pete, kubambikia watu kesi chanda na pete, kuiba kura/uchaguzi chanda na pete......................tutafika kweli? Kidumu, kidumu chama cha majambazi johnthebaptist
 
Nadhani huu ndio Mshangao wa kwanza kwangu tangu mwaka huu uanze , na hasa kama mlalamikaji ni Bananga .

Bananga ni Mwanaccm ambaye ameishi na kukulia kwenye mazingira ya ccm , chama ambacho RUSHWA NDIO NGUZO MUHIMU YA CHAMA , leo anashangaaje rushwa kutumika kwenye chaguzi za ccm ? ambacho hakijafahamika ni kama Yeye mwenyewe alikuwa mgombea au alikuwa Chawa wa Mgombea Mwingine .

Ama kweli kua uyaone .
Huyu na mwenzie Sufian kuna nati imefyatuka kichwani.
 
Nadhani huu ndio Mshangao wa kwanza kwangu tangu mwaka huu uanze , na hasa kama mlalamikaji ni Bananga .

Bananga ni Mwanaccm ambaye ameishi na kukulia kwenye mazingira ya ccm , chama ambacho RUSHWA NDIO NGUZO MUHIMU YA CHAMA , leo anashangaaje rushwa kutumika kwenye chaguzi za ccm ? ambacho hakijafahamika ni kama Yeye mwenyewe alikuwa mgombea au alikuwa Chawa wa Mgombea Mwingine .

Ama kweli kua uyaone .
Aanzishe tu chama hii itampunguzia malalamiko kwani kila anapokuwa hakosi sababu haswa pale anaposhindwa kupata alichokitaka .Amesahau kwamba alijiunga na taasisi kubwa na sio automatic kuwa kiongozi, tofauti na taasisi aliyotokea hata uwenyekiti angeweza kupata kama angekuwa mtulivu
 
Bananga ni tangatanga lala popote
Aanzishe tu chama hii itampunguzia malalamiko kwani kila anapokuwa hakosi sababu haswa pale anaposhindwa kupata alichokitaka .Amesahau kwamba alijiunga na taasisi kubwa na sio automatic kuwa kiongozi, tofauti na taasisi aliyotokea hata uwenyekiti angeweza kupata kama angekuwa mtulivu.
 
Nadhani huu ndio Mshangao wa kwanza kwangu tangu mwaka huu uanze , na hasa kama mlalamikaji ni Bananga .

Bananga ni Mwanaccm ambaye ameishi na kukulia kwenye mazingira ya ccm , chama ambacho RUSHWA NDIO NGUZO MUHIMU YA CHAMA , leo anashangaaje rushwa kutumika kwenye chaguzi za ccm ? ambacho hakijafahamika ni kama Yeye mwenyewe alikuwa mgombea au alikuwa Chawa wa Mgombea Mwingine .

Ama kweli kua uyaone .
Akalime matikiti.
Ccm ina wenyewe
 
Aanzishe tu chama hii itampunguzia malalamiko kwani kila anapokuwa hakosi sababu haswa pale anaposhindwa kupata alichokitaka .Amesahau kwamba alijiunga na taasisi kubwa na sio automatic kuwa kiongozi, tofauti na taasisi aliyotokea hata uwenyekiti angeweza kupata kama angekuwa mtulivu

CCM ni taasisi kubwa ila sio bora, bali mafungamano yake na vyombo vya dola ndio yanaifanya ijione ni imara. Leo hii CCM ikipoteza dola, itakufa kama yalivyokufa mashirika ya umma baada ya ujio wa soko huria.
 
Nadhani huu ndio Mshangao wa kwanza kwangu tangu mwaka huu uanze , na hasa kama mlalamikaji ni Bananga .

Bananga ni Mwanaccm ambaye ameishi na kukulia kwenye mazingira ya ccm , chama ambacho RUSHWA NDIO NGUZO MUHIMU YA CHAMA , leo anashangaaje rushwa kutumika kwenye chaguzi za ccm ? ambacho hakijafahamika ni kama Yeye mwenyewe alikuwa mgombea au alikuwa Chawa wa Mgombea Mwingine .

Ama kweli kua uyaone .

Nakumbuka wakati anatoka CDM baada ya kushindwa siasa zisizo na upendoleo wa vyombo vya dola, alianza kujipendekeza waziwazi kwa mama Samia ili apate madaraka. Na kwa bahati mbaya huo mkeka wake hata huko alikoenda kujipendekeza amepigwa chini. Ni kipi Bananga hakijui kuhusu rushwa ndani ya ccm?
 
Back
Top Bottom