Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa...
11 Reactions
73 Replies
5K Views
Viongozi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Mkoa wa Dodoma (DWJ) jana tarehe 28 Septemba, 2022 walimtembelea Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu...
0 Reactions
0 Replies
466 Views
Walikuwa kwenye maandalizi ya kongamano la Katiba mpya Ni Askofu Mwamakula, Dkt. Lwaitama na Twaha Mwaipaya Pia soma Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya Uoga: Kongamano la Katiba...
28 Reactions
423 Replies
33K Views
Hii ni Kesho tarehe 11/07/2022 kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chadema zilizoko Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia Saa 4 Asubuhi . Mwaipaya ambaye ni Kiongozi wa...
9 Reactions
43 Replies
4K Views
Rais wa Zanzibar , Dr Hussein Mwinyi amemteua Mgeni Jalan Jecha kuwa Mkurugenzi mpya wa Mashitaka wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar . Bado haijafahamika Uhusiano wa Jecha huyu na yule...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
guest-1786390423
Watanzania ni washenzi, nianze kwa kusema hivyo. Tumekabidhi hii nchi mikononi mwa CCM na tumeacha itupeleke kama inavyotaka na hatutaki kuhoji. Wakati wa uchafuzi mkuu wa 2020 mzee wangu...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Wana jamvi. Napendekekeza umri wa kugombea urais wa jamh. Tanzania uwe kati ya miaka 25 hadi 70. Hii ni baada ya kuona kuna vijana wanaweza kuwa marais kwa umri husika maana wazee wanazingua...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Labda ipigwe kura tujue watanzania wanataka serikali iwe inatoa wapi Fedha za kujiendesha na zile za Maendeleo Haiwezekani tulalamike katika kila Jambo Jamanii Wakitozwa matajiri mnasema Shujaa...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Waziri mkuu mh Majaliwa amesema kitendo cha Watumishi wa Umma kuendelea kubaki Dar wakati wanatakiwa wawe Dodoma kunaitia hasara Serikali Mh Majaliwa ameagiza Watumishi hao wawe wamehamia Dodoma...
7 Reactions
55 Replies
4K Views
Wanamichezo Rudini na Ushindi: Yakubu Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu Bw. Saidi Yakubu amewaaga wanamichezo wa Wizara hiyo ambao wanakwenda...
0 Reactions
0 Replies
414 Views
Nccr Mageuzi wamependezwa na ubora wa Katiba ya CCM kuhusu ukomo wa muda wa Mwenyekiti wa taifa kukaa madarakani wa miaka 10 Hivyo mkutano mkuu wa Nccr nao umefanya mabadiliko ya Katiba yake na...
1 Reactions
12 Replies
699 Views
Mwanza. Swali la Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina limewasha upya moto wa ahadi ya malipo ya mabilioni ya shilingi kutokana na malimbikizo ya kodi kutoka kampuni ya Barrick Gold. Maswali ya...
1 Reactions
0 Replies
588 Views
Wadau Nawasalimu. Naomba kupata Ufafanuzi juu ya Utoaji wa Fedha za Serikali kwenda kwenye Miradi ya Serikali. Kwanini Siku hizi Hatusikii tena kuwa SERIKALI imetoa Sh.kadhaa kwa ajili ya Mradi...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna hii dhana ya kumsifia kiongozi fulani eti anaifungua nchi, kitu ambacho hata mwenyewe bila hata yeye mwenyewe anashangaa!!nchi ilifungwaje? nani aliifunga? maana serikali haijabadilika! Ilani...
0 Reactions
7 Replies
892 Views
Urusi ilialika watu au taasisi zinazohitaji kuwa waangalizi kwenye kura ya maoni iliyohusu majimbo manne ya ukraine kukubali kujiunga na Urusi au kubaki kwenye himaya ya Ukraine. Urusi ilikuwa na...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Shirika la nyumba za Taifa (NHC) linatarajia kujenga nyumba za bei nafuu katika eneo la Kawe Tanganyika Packers jijini Dar es salaam, lengo likiwa ni kuwa na makazi bora na nafuu yatakayoendana na...
0 Reactions
1 Replies
921 Views
Kama mjuavyo, kutokana na namna ya uchaguzi mkuu ulivyofanyika hapa nchini mwaka 2020, hakuna Mbunge yeyote wa upinzani aliyechaguliwa, isipokuwa wawili tu ambao ni yule mama wa Chadema...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
ACT–Wazalendo Yauvalia Njuga Mgogoro wa Ardhi Chasimba Bunju. ACT Wazalendo kupitia Msemaji wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Ndg. Bonifasia Mapunda, kimetoa msimamo wa kuunga mkono mapambano ya...
0 Reactions
1 Replies
799 Views
Wanajf subalaheri! Siitaji kusema mengi sana kuhusu kilichotokea NCCR-Mageuzi kikiongozwa na Selasini lakini ifahamike pia kuwa Joseph Selasini ameendesha vuguvugu la mapinduzi nccr akiwa ni...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom