Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,227
- 12,953
Asalaam Alyekum Ndugu zangu Watanzania!
Tumsifu Yesu Kristo ndugu zangu Watanzania!
Kwanza nitaanza kurejea mgogorowa IPTL na Serikali juu ya Escrow Account, nakumbuka vyema jinsi Serikali ya Rais Kikwete ikivyojitahidi kusimama upande wa IPTL na kusisitiza zaidi kuwa Serikali haikuwa na hela kwenye Escrow Account ila fedha zote ni za IPTL.
Mh Kafulila wakati uo akiwa mbunge alisimama kidete sana kutuonyesha Watanzania jinsi Serikali ilivyo bariki hela za umma kuliw huku watumishi wake wakuu wakigawana kwenye viroba, Rais Kikwete, AG Welema alifikia mpaka kumuita Kafulila Tumbili kote ni kupigania zile hela walizokula ambazo ni Watanzania, Rais Kikwete alisimama kweupe kusema Serikali haikuwa na hela kwenye Escrow Account huku akipingwa na Bunge, CAG pamoja na TRA hawa wakisema Serikali ilikuwa na hela kwenye ile Account.
Niende kwenye issue ya Makinikia. Watanzania tumegawanyika katika issue ya Makinikia, kwasasa aliehakikisha kuwa tunapata chetu hatukuwa tayari kumsuport zaidi sasa tunawapigania Barrick Gold Mine! Sina hakika kama issue ni Amount iliyoibuliwa kwenye tume Prof Mruma au issue tunapinga kama tulikuwa hatuibiwi rasimali zetu?
Miaka ya nyuma Watanzania kila mmoja wao tulikuwa na tunaamini kuwa tunapigw sana kwenye migodi ya madini huku nchi yetu ikiachwa na mashimo mara baada ya wawekezaji na wachimbaji wa madini kuondoka, ila sasa mbona kama tumegeuka tena tumeanza kuwapigania tukio walalamikia? Bado najiuliza maswali ya Msingi
1. Hatukabaliani na Amount iliyoletwa na Prof. Mruma au hatukubaliani na ripoti yote ya Prof. Mruma kama tulikuwa tunaibiwa?
2. Kama Ripoti ya Prof. Mruma ilikuwa si yakweli ilikuwaje mpaka Barick Gold Mine waliamua kuindoa Acacia Mining waliokamkabidhi migodi yao?
3. Kama ripoti ya Prof. Mruma haikuwa ya kweli, Ilikuwaje mpaka mwenyekiti mtendaji wa Barrick Gold Corporation akaja Tanzania na akakubali kuingia kwenye mazungumzo na Serikali mpaka kuhafikiana kulipa fedha zaidi Billion 700 za Kitanzania na kukubali kuanza kulipa fedha zaidi ya Matriion ambazo iliripotiwa kuwa imeisababishia serikali hasara?
4. Swali la Luhaga Mpina aliulizwa kwa bahati mbaya au alipata fununu kuwa Kikao cha Rais Samia na Mark Bristow Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa Barrick Gold Corporation tarehe July 8, 2021 walihafikiana kusitisha malipo ya fedha waliyokubaliana kwenye awamu iliyopita chini ya Hayati Magufuli?
5. Kikao cha Rais Samia na Rais, Mkurugenzi Mtendaji wa Barrick Gold Corporation kilihusu nini hasa kama sio issue ya mtifuano uliokaibuka katika Serikali iliyopita?
5. Kama Riport ya Prof Mruma ilikuwa ni ya uongo kwanini Barrick au Accacia hawakuigomea eidha na kuamua kuondoka na kuachana na Tanzania au kufungua shauri la madai kwa kuchafuliwa na Serikali ya Tanzania kwenye mahakama za kimataifa?
6. Wanzania huwa tunaangalia nani kaibua issue ndo tusimame nayo au tunaangalia issue kama ina maslahi kwa nchi yetu?
7. Watanzania tuna nini chakujifunza kama Taifa katika Issue ya Makinikia uku ikilifikiria kwa karibu issue ya Escrow Account?
pascal-mayalla
Johnny Sack jovas jonathan @