BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,404
- 8,182
Kampuni hiyo ya uzalishaji mafuta imetakiwa kufika mbele ya jopo la Wabunge wa Umoja wa Ulaya Oktoba 10, 2022 kujieleza kuhusu athari za Kimazingira na Ukiukaji wa Haki za Binadamu kwenye utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP).
Mtendaji Mkuu wa Kampuni, Patrick Pouyanné ametakiwa kuwasilisha vielelezo vya utetezi kuhusu uhalali wa mradi huo mbele ya Kamati ya Bunge ya Mazingira, Chakula na Maliasili, pamoja na Haki za Binadamu.
Mradi wa EACOP umekuwa ukipata upinzani kutoka kwa wanamazingira pamoja na wafadhili ambapo wiki iliyopita Bunge la Umoja wa Ulaya lilipitisha azimio la kuusimamisha kwa mwaka mmoja, ili kushughulikia masuala ya Mazingira na Haki za Binadamu, hata hivyo uamuzi huo umepingwa na Serikali za Tanzania na Uganda.
============================
International oil major TotalEnergies will on October 10 answer to charges of environmental and human rights abuse before the European Union parliament in Brussels in a new threat to the actualisation of its East African Crude Oil Pipeline (Eacop) and related upstream oil projects in Uganda’s Lake Albert region.
The European Parliament has summoned chief executive Patrick Pouyanné to Brussels to justify the project that the lawmakers denounced last week. He will appear before the parliamentary Committee on Environment, Food and Natural Resources, as well as that of Human Rights. The outcome will determine how the company navigates this latest crisis.
Last week, the European Union parliament passed a resolution calling for the French oil major and its joint venture partners to delay the projects by one year, to address environmental and human rights concerns. That decision was dismissed by Ugandan President Yoweri Museveni who said the country will look for alternatives if Total obeys the European Parliament.
Source: Business & Human Rights Resource Centre