Mara: Kuuawa kwa majambazi 3 Serengeti, wananchi wawapongeza Polisi

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
295
679
Wananchi mbalimbali mkoani Mara wamejitokeza kulipongeza Jeshi la Polisi kudhibiti vikali vitendo vya ujambazi ambavyo vilianza kushamiri mkoani humo hivi karibuni.

Wananchi hao wameelezea namna vitendo vya uhalifu wa silaha za moto ambavyo hutekelezwa na baadhi ya ndugu na wanafamilia wenzao katika kaya mbalimbali vinavyoathiri biashara na kufilisi mali za wakaazi wa mkoani humo.

"Wananchi wanaishi kwa hofu, wafanyabiashara wanafilisiwa mali zao, wanavunja majumba ya watu usiku na kukosesha watu amani wakiwa na silaha, na wengine tunaishi nao na tunawafahamu hivyo tunashukuru Jeshi la Polisi hata kuwaua kwetu ni furaha tosha" - Amesema Yusuph Wambura ambae ni kiongozi wa vikundi vya ulinzi wa jadi mkoani humo almaarufu kama 'Litongo'.

Vilevile, mwananchi aliefahamika kwa majina ya Mugale Chacha, ambae ni ndugu na jambazi aliyepoteza maisha katika tukio la mapambano ya kurushiana risasi na askari polisi hivi karibuni nae amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuzidisha ulinzi na kuchukua taarifa za viongozi wa vijiji kwani ndugu yao huyo ameshajadiliwa sana katika vikao vya kiukoo ili kumdhibiti na tabia ya ujambazi wa kutumia silaha bila kukoma.

"Ndugu yangu Mugale ambae amepoteza maisha kwa vitendo vya ujambazi tulishamuasa sana aachane na vitendo hivyo, lakini mpaka mauti yanamkuta ni kweli jamii ilishamchoka, walishafungwa gereza la Butimba na taarifa zao zipo, vifungo kadhaa ila bado wanatoka wanarudi uraiani, hivyo sisi Mugale tulishamchoka kwa historia na vitendo vyake vya uhalifu na alikuwa anamiliki silaha za moto za kufanyia uhalifu".

Wakati huo huo, wananchi hao wametumia nafasi ya kuongea na mwandishi wetu kuwaomba wanasiasa, kutoingiza siasa katika maslahi mapana ya wananchi ya mkoa wa Mara ama kulichonganisha Jeshi la Polisi na Raia kisiasa kwa kutumia tukio la majambazi hao ambao wamesumbua sana amani na kuiba mali za wana-Mara.

"Wanasiasa waache kulichonganisha Jeshi letu la Polisi na wananchi, sisi tumefurahi majambazi hawa kudhibitiwa, na pengine Polisi wangeuawa iwapo wasingekua makini na majambazi hawa wenye silaha, hivyo tumefurahi na kiukweli tulidhani polisi labda wameshindwa kuwadhibiti majambazi mkoani humu, ila sasa tumeona kazi ya Jeshi la Polisi ikiwa imara".

Kama hiyo haitoshi, wananchi hao wamelitaka Jeshi la Polisi kuendelea na msako wa majambazi hao, huku wakimtaja mtu mmoja aitwae 'Barassa Barassa' kuwa ni jambazo sugu ambae bado yupo uraiani na anapaswa adhibitiwe na Jeshi la polisi kwa usumbufu wa wizi wa mali za raia kwa kutumia silaha mkoani humo.

"Tunaliomba Jeshi la Polisi liendelee kumtafuta Barassa Barassa, ambae amebaki uraiani, majambazi hawa wana mnyororo mrefu sana wa matukio na washirika wao wa masuala ya ujambazi mkoani humu, huyu Barassa ndie jambazi sugu mwingine ambae tunatamani vyombo vya dola vimtie nguvuni haraka iwezekanavyo, na sisi tuko tayari kuja mbele kuwataja wote wanaohusika na ujambazi akiwemo Barassa Barassa".

Barassa Barassa akimbie tu nchi

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Wananchi hao wameelezea namna vitendo vya uhalifu wa silaha za moto ambavyo hutekelezwa na baadhi ya ndugu na wanafamilia wenzao katika kaya mbalimbali vinavyoathiri biashara na kufilisi mali za wakaazi wa mkoani humo.

Screenshot 2022-09-28 at 09.18.37.png

"Wananchi wanaishi kwa hofu, wafanyabiashara wanafilisiwa mali zao, wanavunja majumba ya watu usiku na kukosesha watu amani wakiwa na silaha, na wengine tunaishi nao na tunawafahamu hivyo tunashukuru Jeshi la Polisi hata kuwaua kwetu ni furaha tosha" - Amesema Yusuph Wambura ambae ni kiongozi wa vikundi vya ulinzi wa jadi mkoani humo almaarufu kama 'Litongo'.
Screenshot 2022-09-28 at 09.13.31.png
Vilevile, mwananchi aliefahamika kwa majina ya Mugale Chacha, ambae ni ndugu na jambazi aliyepoteza maisha katika tukio la mapambano ya kurushiana risasi na askari polisi hivi karibuni nae amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuzidisha ulinzi na kuchukua taarifa za viongozi wa vijiji kwani ndugu yao huyo ameshajadiliwa sana katika vikao vya kiukoo ili kumdhibiti na tabia ya ujambazi wa kutumia silaha bila kukoma.

"Ndugu yangu Mugale ambae amepoteza maisha kwa vitendo vya ujambazi tulishamuasa sana aachane na vitendo hivyo, lakini mpaka mauti yanamkuta ni kweli jamii ilishamchoka, walishafungwa gereza la Butimba na taarifa zao zipo, vifungo kadhaa ila bado wanatoka wanarudi uraiani, hivyo sisi Mugale tulishamchoka kwa historia na vitendo vyake vya uhalifu na alikuwa anamiliki silaha za moto za kufanyia uhalifu".

Wakati huo huo, wananchi hao kuwataka wanasiasa, kutoingiza siasa katika maslahi mapana ya wananchi ya mkoa wa Mara ama kulichonganisha Jeshi la Polisi na Raia kisiasa kwa kutumia tukio la majambazi hao ambao wamesumbua sana amani na kuiba mali za wana-Mara.

"Wanasiasa waache kulichonganisha Jeshi letu la Polisi na wananchi, sisi tumefurahi majambazi hawa kudhibitiwa, na pengine Polisi wangeuawa iwapo wasingekua makini na majambazi hawa wenye silaha, hivyo tumefurahi na kiukweli tulidhani polisi labda wameshindwa kuwadhibiti majambazi mkoani humu, ila sasa tumeona kazi ya Jeshi la Polisi ikiwa imara".

Screenshot 2022-09-28 at 09.24.32.png
Kama hiyo haitoshi, wananchi hao wamelitaka Jeshi la Polisi kuendelea na msako wa majambazi hao, huku wakimtaja mtu mmoja aitwae 'Barassa Barassa' kuwa ni jambazo sugu ambae bado yupo uraiani na anapaswa adhibitiwe na Jeshi la polisi kwa usumbufu wa wizi wa mali za raia kwa kutumia silaha mkoani humo.

"Tunaliomba Jeshi la Polisi liendelee kumtafuta Barassa Barassa, ambae amebaki uraiani, majambazi hawa wana mnyororo mrefu sana wa matukio na washirika wao wa masuala ya ujambazi mkoani humu, huyu Barassa ndie jambazi sugu mwingine ambae tunatamani vyombo vya dola vimtie nguvuni haraka iwezekanavyo, na sisi tuko tayari kuja mbele kuwataja wote wanaohusika na ujambazi akiwemo Barassa Barassa".
 
Wananchi mbalimbali mkoani Mara wamejitokeza kulipongeza Jeshi la Polisi kudhibiti vikali vitendo vya ujambazi ambavyo vilianza kushamiri mkoani humo hivi karibuni.

Wananchi hao wameelezea namna vitendo vya uhalifu wa silaha za moto ambavyo hutekelezwa na baadhi ya ndugu na wanafamilia wenzao katika kaya mbalimbali vinavyoathiri biashara na kufilisi mali za wakaazi wa mkoani humo.

"Wananchi wanaishi kwa hofu, wafanyabiashara wanafilisiwa mali zao, wanavunja majumba ya watu usiku na kukosesha watu amani wakiwa na silaha, na wengine tunaishi nao na tunawafahamu hivyo tunashukuru Jeshi la Polisi hata kuwaua kwetu ni furaha tosha" - Amesema Yusuph Wambura ambae ni kiongozi wa vikundi vya ulinzi wa jadi mkoani humo almaarufu kama 'Litongo'.

Vilevile, mwananchi aliefahamika kwa majina ya Mugale Chacha, ambae ni ndugu na jambazi aliyepoteza maisha katika tukio la mapambano ya kurushiana risasi na askari polisi hivi karibuni nae amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuzidisha ulinzi na kuchukua taarifa za viongozi wa vijiji kwani ndugu yao huyo ameshajadiliwa sana katika vikao vya kiukoo ili kumdhibiti na tabia ya ujambazi wa kutumia silaha bila kukoma.

"Ndugu yangu Mugale ambae amepoteza maisha kwa vitendo vya ujambazi tulishamuasa sana aachane na vitendo hivyo, lakini mpaka mauti yanamkuta ni kweli jamii ilishamchoka, walishafungwa gereza la Butimba na taarifa zao zipo, vifungo kadhaa ila bado wanatoka wanarudi uraiani, hivyo sisi Mugale tulishamchoka kwa historia na vitendo vyake vya uhalifu na alikuwa anamiliki silaha za moto za kufanyia uhalifu".

Wakati huo huo, wananchi hao wametumia nafasi ya kuongea na mwandishi wetu kuwaomba wanasiasa, kutoingiza siasa katika maslahi mapana ya wananchi ya mkoa wa Mara ama kulichonganisha Jeshi la Polisi na Raia kisiasa kwa kutumia tukio la majambazi hao ambao wamesumbua sana amani na kuiba mali za wana-Mara.

"Wanasiasa waache kulichonganisha Jeshi letu la Polisi na wananchi, sisi tumefurahi majambazi hawa kudhibitiwa, na pengine Polisi wangeuawa iwapo wasingekua makini na majambazi hawa wenye silaha, hivyo tumefurahi na kiukweli tulidhani polisi labda wameshindwa kuwadhibiti majambazi mkoani humu, ila sasa tumeona kazi ya Jeshi la Polisi ikiwa imara".

Kama hiyo haitoshi, wananchi hao wamelitaka Jeshi la Polisi kuendelea na msako wa majambazi hao, huku wakimtaja mtu mmoja aitwae 'Barassa Barassa' kuwa ni jambazo sugu ambae bado yupo uraiani na anapaswa adhibitiwe na Jeshi la polisi kwa usumbufu wa wizi wa mali za raia kwa kutumia silaha mkoani humo.

"Tunaliomba Jeshi la Polisi liendelee kumtafuta Barassa Barassa, ambae amebaki uraiani, majambazi hawa wana mnyororo mrefu sana wa matukio na washirika wao wa masuala ya ujambazi mkoani humu, huyu Barassa ndie jambazi sugu mwingine ambae tunatamani vyombo vya dola vimtie nguvuni haraka iwezekanavyo, na sisi tuko tayari kuja mbele kuwataja wote wanaohusika na ujambazi akiwemo Barassa Barassa".
View attachment 2370083
View attachment 2370084
View attachment 2370085
View attachment 2370087
View attachment 2370088
View attachment 2370090
Hivi KATIBA yetu ni Mahali Gani imeandikwa POLISI amepewa mamlaka ya kuhukumu mtu KIFO?

Kama mazingira ya KAZI ni magumu Serikali iboreshe, kama ni Wachache waajiriwe. Kama tatz ni technologia wafunge camera Kwa key areas,washukiwa wachukuliwe finger print Ili zitumike kuwabaini wafanyapo matukio.

IGP, Waziri wa Ulinzi, DC, RPC wawajibishwe ktk hili.
 
Eti majambazi!!

Wewe ni mahakama?

Hao walituhumiwa je nani alithibitisha?

Binadamu mwenzio ananyanyaswa wewe unafurahi?

Sheria inasemaje kuhusu wahalifu?

Je, kuua ni haki za binadamu?

Kapime akili
 
Rubbish harakati za Polisi kujisafisha eti wanapongezwa kwa kuua ,kumaliza uhalifu kwa kufanya uhalifu wajinga wengine bwana! Polisi haisafishiki hata kwa JIK acheni kupigia watu kelele
 
Hivi KATIBA yetu ni Mahali Gani imeandikwa POLISI amepewa mamlaka ya kuhukumu mtu KIFO?

Kama mazingira ya KAZI ni magumu Serikali iboreshe, kama ni Wachache waajiriwe. Kama tatz ni technologia wafunge camera Kwa key areas,washukiwa wachukuliwe finger print Ili zitumike kuwabaini wafanyapo matukio.

IGP, Waziri wa Ulinzi, DC, RPC wawajibishwe ktk hili.

mkuu hakuna popote katika katiba polisi ameruhusiwa kuua.

ila ukikaza matako,wanakupunguza nguvu unakufa ukikimbizwa hospital,ndio maana wananing'iniza bunduki shingoni.

sasa kama unadhani zile ni kwa ajiri ya kutishia watu you are good to go.
 
Swadaktaaaa

Ova
 
I once died and rose again on the third day, I won't die twice.

By the way I' m not a criminal.

Nchi Ina Katiba na Sheria, tuzifuate, tukishindwa bas tuwakabidhi wale jamaa tujue moja.

Ameeeen.
 
CHADEMA chama cha demokracia ya majambazi..........................Raia wema wanakufa kila siku kwa madhara yanayoletwa na ao Majambazi lakini Chadema, Human rights na mavi wengine wooote wanabaki kimya, Ngoja sasa jambazi moja liuwawe Midomo yao michafu inaanza kutema nyongo iliyochacha
 
Hivi KATIBA yetu ni Mahali Gani imeandikwa POLISI amepewa mamlaka ya kuhukumu mtu KIFO?

Kama mazingira ya KAZI ni magumu Serikali iboreshe, kama ni Wachache waajiriwe. Kama tatz ni technologia wafunge camera Kwa key areas,washukiwa wachukuliwe finger print Ili zitumike kuwabaini wafanyapo matukio.

IGP, Waziri wa Ulinzi, DC, RPC wawajibishwe ktk hili.
Kwani hao ndugu zako majambazi hawajui Katiba? Kama wao wanaua basi wauawe tu.
 
I once died and rose again on the third day, I won't die twice.

By the way I' m not a criminal.

Nchi Ina Katiba na Sheria, tuzifuate, tukishindwa bas tuwakabidhi wale jamaa tujue moja.

Ameeeen.
Waambie hao majambazi wafuate sheria pia lasivyo waendelea kupigwa risasi za vichwa tu mpaka waishe.
 
Rubbish harakati za Polisi kujisafisha eti wanapongezwa kwa kuua ,kumaliza uhalifu kwa kufanya uhalifu wajinga wengine bwana! Polisi haisafishiki hata kwa JIK acheni kupigia watu kelele
Unaonekana na wewe ni jambazi au unafaidika na hao majambazi. Na waomba Polisi waendelea kuwapiga risasi tena ya vichwa hata wewe kama ni jambazi wakutafute wakupige ya kichwa ili tupumzike na ujambazi wenu.
 
Rubbish harakati za Polisi kujisafisha eti wanapongezwa kwa kuua ,
Nchi ngumu Sana hii. Huu utaratibu wa kuwaua majambazi badala ya kuwakamata na kuwafungulia mashitaka umeanza lini?

Halafu wananchi wanawapongeza polisi kwa kuua!!!? Duuh!
 
Unasema
 
Attachments

  • VID_20220930_213852_906.mp4
    17.8 MB
  • IMG_20220930_213658_498.jpg
    IMG_20220930_213658_498.jpg
    44 KB · Views: 4
  • IMG_20220930_213647_927.jpg
    IMG_20220930_213647_927.jpg
    40.4 KB · Views: 3
  • IMG_20220930_213641_722.jpg
    IMG_20220930_213641_722.jpg
    19.9 KB · Views: 3
  • IMG_20220930_213627_840.jpg
    IMG_20220930_213627_840.jpg
    47.9 KB · Views: 3
  • IMG_20220930_213612_894.jpg
    IMG_20220930_213612_894.jpg
    25.7 KB · Views: 3
1. Catherine ni kiongozi wa kitaifa wa Bawacha na sio mbunge wao. Halazimiki kushinda kijijini kusikiliza matatizo yao. Anapofanya hivyo ni kama mwanakijiji mwengine yeyote. Kumkatalia asimtetee ndugu yake kwa sababu ni mwanasiasa ni kutomtendea haki.
2. Catherine hakusema kuwa polisi walimlazimisha mtuhumiwa atembee na binti yake. Aliyesema hivyo ni binti mhusika na mdogo wake akathibitisha maneno ya dada yake.
3. Ni mara ya kwanza kusikia mtu akilalamika kuwa aliuliwa.
Hapa si mahali pa kuleta siasa. Panatakiwa juhudi zifanyike ili ukweli wa jinsi walivyouawa ujulikane. Suala hapa si dhana ya ujambazi wao bali namna walivyouliwa.

Amandla...
 
Back
Top Bottom