sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,369
Nina mengi nimeyatafakari Kwa kina, sana ndani ya Juma Ili nikaona,nisubili lifike mwisho naweza kufa na vihoro moyoni mwangu, Bora nife na dhambi kuliko vihoro maana dhambi ntahojiwa Na muumba!
Suala la polisi kuua Kwanza Panya Road linafikilisha sana kimsingi vijana wa Rika dogo wameuawa na ushaidi wa kutosheleza hauko, Rais wa nchi anaombwa aunde Tume ya Kijaji yeye maskio kaweka pamba.
Kama ilo halitoshi mauaji ya wananchi watu mkoani Mara wilaya ya Serengeti, nalo ni tukio kingine,sipingi yakuwa pengine yakuwa walio uawa ni majambazi ila swali linakuja JAMBAZI akikamatwa kabla ya kuuawa Kwa makosa yake lazima alazimishwe kufanya NGONO? Je yanayosambaa mtandaoni yakuwa alilazimishwa afanye zinaaa, (na mwanae), hayaonekani haya?
Je, walioua majambazi Serengeti watuelezee ni haki yabjambazi kabla hajafa afanye ngono?je kama Hana wa kufanya nae atalazimishwa ajifanye? No PGO ipi yatoa mwongozo wa namna Ile?
Matendo haya lazima niseme sisi watanzania ni vilaza tena vilaza wa kutupwa,Tanzania moja ya kazi zinazofanywa na watu WA ovyo Form four FELIA ni hii ya jeshi polisi,polisi wengi Tanzania ni FELIA. Hekima zao ni ndogo sana kira mmoja wetu anajua tunashimdwa kuwahoji polisi tunawaogopa Nini Ili hali tunawalipabsisi Kwa Kodi zetu?
Ushauri, vinyago tunavichonga wenyewe iweje vitipande?
Msamaha wa Kodi!
Lazima Kwa Ili nikili Mimi ni miongoni mwa vijana walio nufaika na msamaa wa Kodi uliopitishwa na Raisi, ila mchakato wake kimekuwa kichaka kikubwa cha rushwa kuanzia wizara ya fedha, mpaka ofisi ndogo za TRA, Sasa zimeenda mpaka Kwa wanahabari Ili watetee rushwa hizo Kwa lugha za kebehi kkwa viongozi wanao jaribu kutaka kujua hiyo misamaa imefanyikaje?
Mpina akiwa kijana pekee wa ccm anaejitanabaisha kutaka kuhoji ukweli wa mambo, dhidi ya msamaha. Wa TILIONI 360 za makinikia majibu aliyopewa ni TRAT na TRAB nyongeza ya majibu hayo ni Ya ya ya ya ya a ya ya kutoka kwa waziri wa fedha.
Kama haitoshi wizara ya fedha inatafuta waandiishi wa habari ambao masikini ya Mungu Mwendazake aliwaamini sana na kuwasifu kupitia vyombo vyao yaani wakina Balile na magazeti Yao ya Udaku Jamhuri, Ili waandike makala za kuwakei wanahoji dhidi ya Tilioni 360, hili nalo ni tatzo Tena kubwa.
Tunatakiwa kuambiwa zile Tilioni 360 zilikuwa miongoni mwa Kodi ambazo zilikuwa hazijalipwa na migodi yetu Kwa kipindi Cha nyuma chote?au ni kitu gani?au ni malipo ya gharama za thamani ya madini (makinikia yaliyokuwa yakibebbwa Kwa njia za wizi? Katika msamaha wa Kodi ulio tamkwa na Raisi umekuwa kichaka kikubwa cha kunufaisha watu,mbaya zaidi usalama wa Taifa mpo.
Sina mengi naishia hapa naomba muelewe tu. Nchi hii wenye nchi ni wananchi.
Usalama wa Taifa msaidieni Raisi ipasavyo ataliponya Taifa Hali ya maisha mtaani ni mbaya wenyewe na ho wanazidi kuongezewa Kwa njia za panya.