Waziri Mhagama Pongezi kwa Chuo cha Utumishi wa Umma

Kikotii

New Member
Sep 28, 2022
2
3
Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama (MB), kwanza nikupongeze kwa jitihada zako za kuujenga na kuuendeleza utumishi wa umma Tanzania. Natambua wewe ni kiongozi bora na si bora kiongozi na ndio maana Rais wetu ameendelea kukuamini katika kuendelea kusimamia Utumishi wa umma.

Nikiwa kama mdau wa zamani wa chuo hicho cha utumishi wa umma naomba kuelekeza kwako pongezi hizi za chuo cha utumishi wa umma kwa kazi kubwa inayofanywa na uongozi wake ikiwa ni moja ya mafanikio makubwa katika wizara yako ya utumishi wa umma chuo hiki kimeendelea kujenga uwezo utumishi wa umma kwa malengo ya kutoa huduma bora.

Hivyo ningeomba kwa ushauri niliotoa apo chini kwa baadhi ya changamoto basi zifanyiwe kazi.

Mh. Waziri labda kwa kuweka kumbukumbu sawa majukumu ya chuo cha utumishi wa umma Tanzania yameainishwa katika notisi ya serikali Na. 473 iliyochapishwa tarehe 15 Desemba, 2000.

Chuo cha Utumishi wa umma Tanzania hadi sasa kina jumla ya kampasi sita ambazo ni ( Dar es Salaam Campus, Tabora Campus, Mtwara Campus, Singida Campus, Mbeya Campus na Tanga Campus.

Chuo cha Utumishi wa Umma ukiachana na majukumu yake ya msingi ambayo imekuwa ikiyatekeleza ipasavyo pia ni chuo pekee kwa asilimia kubwa kimekuwa kikizingatia maadili ya utumishi wa umma kuanzia kwa watumishi wake mpaka hata mazao yake katika mafunzo ya muda mrefu ngazi ya stashahada na cheti kwa wanafunzi wanaosoma katika chuo hiki cha utumishi wa umma wengi wamekuwa mfano wa kuigwa hata katika jamii kutokana na maadili waliyokuwa nayo.

Ila kila kizuri hakikosi kasoro na pale penye changamoto lazima zisemwe ili pawekwe sawa ila pia penye unafiki na nia mbaya lazima tupaweke wazi kutokana na makala iliyowekwa na Lijendali katika ukurasa wa “Habari na Hoja mchanganyiko hapa Jamii Forums” mimi kama mdau wa zamani wa chuo hiki cha utumishi wa umma naona ni hoja za kupotosha na zenye nia ya kimaslahi zaidi maana kwa yeyote atakaye atasoma makala hiyo atagundua haina nia ya kuboresha chuo hicho bali ni kuharibu na kuweka maslahi ya kimadaraka mbele tena hususani kwa watumishi ndani na wale waliohamishwa kwa maelekezo ya katibu mkuu Mhe Dr. laurean Ndumbalo mwaka 2019 baada ya mkuu wa chuo wa sasa kuthibitishwa wakati huo wizara hiyo ikiongozwa na Mhe. Captain George Mkuchika (MB) chini ya uongozi wa mpendwa wetu Hayati Mhe Dr. John Joseph Pombe Magufuli ambaye alimwamini pia mtendaji mkuu wa sasa Dr. Emanuel Seleman Shindika ambaye huyo pia ameishi kwa slogani ya magufuli HAPA KAZI TU! Huku akiendana na awamu ya sita ya kiongozi mama yetu Mpendwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ambaye naye slogani yake imesisitiza KAZI IENDELEE! na hicho ndicho anachokifanya Dr. Shindika.

Mimi kama mdau wa chuo hiki japo nimehamia katika Taasisi nyingine kwa sasa ila penye ukweli nitazungumza labda nichagie na mimi jinsi ninavyokijua chuo hiko kwa kipindi nilichohudumu katika Taasisi hiyo.

Chuo cha utumishi wa umma majukumu yake ya msingi yameainishwa katika notisi ya serikali Na. 473 iliyochapishwa tarehe Desemba 15,2000.

Mpaka sasa chuo cha utumishi kimefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutekeleza majukumu yake kama ilivyoanishwa katika notisi ya serikali Na: 473.

Kwa miaka mingi toka chuo kuanzishwa kimekuwa kikifanya tafiti mbalimbali, machapisho, mafunzo mafupi kwa utumishi wa umma na kutoa shauri za kitaalamu katika utumishi wa umma kama wizara inavyotarajia inayoongozwa na mama yetu mpendwa Mhe. Waziri Jenista Mhagama (MB).

Mafunzo ya muda mrefu na muda mfupi yanafanyika inavyotakiwa na mpaka sasa chuo kimefanikiwa kutoa wahitimu awamu ya 36 katika ngazi ya shahada, stashahada na cheti kutoka katika fani mbalimbali, pia mafunzo ya muda mfupi yamekuwa yakitolewa kwa watumishi katika fani mbambali na mpaka sasa chuo kimefanikiwa kuongeza idadi ya wanafunzi kwa mafunzo ya muda mrefu na muda mfupi.

Chuo cha utumishi wa umma kampasi zote sita zimekuwa zikifanya vyema katika utoaji wa huduma mbalimbali zitolewazo na chuo mfano: mafunzo, ushauri na tafiti, hivyo nashauri kuendelea kupanua wigo wa chuo kwa kuongeza walau kampasi zingine ili jamii ikaendelee kunufaika zaidi na huduma zitolewazo na chuo hiki.

Mh. Waziri mimi kama mdau wa zamani wa chuo hiki naomba kuupongeza uongozi wa chuo hiki cha utumishi wa umma kwa masuala yafuatayo.

  • Uboreshwaji wa miundo mbinu ya chuo hiki mfano mzuri kwa kampasi ya singida kupata eneo la chuo na Tayari ujenzi wa chuo cha Utumishi wa umma kampasi ya singida unaendelea ikiwa ni moja ya mafanikio makubwa katika kuboresha miundombinu ya chuo hiki wakati huo hayo yote yakiendelea ni chini ya kiongozi huyohuyo anae lalamikiwa. na ikumbukwe kuwa kampasi hiyo asingekuwepo yeye ingekuwa imeshafungwa au kuamishwa mkoani hapo lakini yeye na menejimenti yake pamoja na kuungwa mkono na mkuu wa mkoa wa wakati huo Mhe. Rehema Nchimbi wakiwa wameadhimia chuo cha utumishi wa umma kuwepo huko singida.
pia kwa uponde wa kampasi ya Tabora jengo la utawala ambalo lilisuasua ujenzi wake kwa miaka kadhaa chini ya watendaji wakuu watangulizi wake wawili akiwemo Dr. Henery Mambo na Bw. Saidi Nasoro lakini kila kukicha ilikuwa ni historia tu ya ugumu wa umaliziaji wa jengo hilo lakini chini ya uongozi mahiri kabisa wa mtendaji mkuu Dr. Emanuel Shindika Jengo hilo lilikamilika na linafanya kazi.​

  • Kufanya tafiti mbalimbali ambazo zimekuwa zikitoa maarifa juu ya utendaji bora katika utumishi wa umma kwa kufanya tafiti.

  • Kusimamia na kuendesha mafunzo ya muda mrefu na muda mfupi kwa weledi mkubwa ambapo tunaona imekuwa ikileta matokeo chanya kwa chuo na jamii kiujumla.

  • Kufanya mapitio na kuendesha mitihani ya utumishi wa umma kwa kiwango cha juu kama inavyotakiwa hii imekuwa ikichangia kwa kiasi kikubwa kuwa na watumishi wenye weledi mkubwa katika masuala ya utumishi.

  • Kwa awamu 36 mpaka sasa chuo kimefanikiwa kutunuku vyeti katika ngazi ya Shahada, stashahada na cheti kwa wahitimu waliofuzu mafunzo, huku idadi ya wahitimu ikizidi kuongezeka kila mwaka.

  • Kuendeleza ujuzi katika maeneo ya Teknolojia ya habari na mawasiliano kama ilivyo elekezwa na wizara na msisitizo uliotoa katika mahafali iliyofanyika katika kampasi ya Mbeya mwezi mei.

  • Kutoa shauri za kitaalamu katika maeneo ya menejimenti,utawala, uongozi na uendeshaji wa ofisi na utunzaji kumbukumbu katika maadili ya utumishi wa umma ikiwa ni moja ya jukumu la msingi la chuo hicho.

  • Kuendeleza ujuzi, maarifa nauelewa wa watumishi wa umma katika maeneo ya menejimenti, utawala, uongozi, na uendeshaji wa ofisi na utunzaji wa kumbukumbu hii kupitia mafunzo ya muda mfupi yanayotolewa kwa weledi na wakufunzi wa chuo hicho cha utumishi wa umma.

  • Uanzishwaji wa kwaya ya chuo cha Utumishi wa umma kwa kila kampasi ambapo imekuwa ikisaidia katika kukitangaza chuo cha utumishi wa umma ndani na nje ya nchi kwani hata mimi kama mdau wa zamani wa chuo hicho nimevutiwa sana na suala hilo kwani kwaya hiyo imekuwa ikitangaza chuo na Taifa kiujumla pia inajenga uzalendo wa nchi hususani kwa wanachuo na jamii inayotuzunguka kupitia nyimbo mbalimbali za kizalendo pia kuelimisha jamii juu ya masuala mbalimbali ya kijamii, kielimu, kisiasa, kiuchumi, sayansi na tekinolojia.
Umuhimu wa kwaya hii: imekuwa ikisisitiza uzalendo kwa viongozi wan chi, mikusanyiko mikubwa ya ugeni katika mikutano ya mikubwa ya kitaifa kwa hiyo imekuwa kivutio kwa makutano, imekuwa ikiundisha nidhamu haswa kwa suala zima la mavazi ambapo imekuwa ikitumia mavazi hay ohayo ya chuo katika shughuli zake.​

Ambapo katika hatua zake zote hizo ikiwa inatumbuiza tumeona mara kadha wakadha mama yetu mpendwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akifurahishwa na kwaya hiyo Mfano: Alipokuwa kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa makatibu mahususi uliofanyika jijini Dodoma Tarehe 31 mei mpaka Tarehe 3 juni,2022 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete.​
hata hivyo Mhe. Mhagama ziara yake yakwanza chuo cha utumishi wa umma aliitamka wazi kwamba kila tunapowaza tualike kwaya gani tunasema tuite kwaya hiyo ya chuo cha utumishi na kubwa zaidi ulimshangaa Mungu kuletwa katika wizara ambayo kwaya hiyo ipo. pia katika mahafali ya 36 ambapo ulikuwa mgeni Rasmi ulitumbuiza na kwaya hiyo kwa kuonesha kuwa umefurahishwa na kazi nzuri ya kwaya hiyo ambapo wahitimu, wanafunzi na wageni waalikwa walifurahishwa sana na tukio hilo.​

  • Chuo kimekuwa na ushirikiano mzuri sana na watendaji wa wizara mama hali inayosaidia chuo kuzidi kufanya vizuri sana katika shughuli zake mbalimbali za kila siku kwa sababu yote yanayofanywa na chuo cha Utumishi wa umma unatekeleza matarajio ya wizara hiyo baada ta kuanzishwa kama wakala wa serikali mwaka 2000.

  • Watumishi kupata fursa mbalimbali hususani fursa ya kwenda masomoni kwa kuzingatia uhitajikaji wa mtumishi huyo kwa nafasi anayotumikia. Kwa muktadha huo mtendaji mkuu anao uwezo wa kukataa mtu kwenda masomoni kama anaona wizara itakwamba mambo yake kwa kukosekana kwa mtumishi huyo lakuzingatia kila zuio linalotolewa ni la muda tu na hakuna kiongozi ambaye anaweza kumzuia mtu asijiendeleze milele na milele.

Pia kila penye mafanikio hapakosi kasoro au changamoto ningeshauri masuala yafuatayo kwa uongozi wa chuo hicho cha utumishi wa umma na wizara ya Utumishi wa umma pamoja na kurekebisha hoja baadhi kama zilivyoandikwa na Lijendali katika ukurasa wa “Habari na Hoja mchanganyiko hapa Jamii Forums” kama Changamoto za uongozi uliopo katika chuo hicho.

  • Kuongeza jitihada katika uboreshaji wa miundombinu kwa baadhi ya kampasi aidha kujikita katika kutafuta maeneo na kujenga kama inavyofanyika katika kampasi ya singida hii itasaidia chuo kuwa na miundombinu bora na yenye kukidhi haja ya jamii na Taifa.

  • Makampasi meneja wafanye kazi kwa kuzingatia maelekezo ya mtendaji mkuu na wasijitungie sheria zao wao wenyewe ambazo ni kandamizi kwa watumishi bali wamsaidie mtendaji mkuu kwa dhati kwa kutoa ushauri kwa mkuu wa chuo au kupokea ushauri kutoka kwa mkuu chuo na sio kampasi mejena mmoja kuonekana anaongoza kampasi nyingine kwa mkono wa pili ( indirect way).pia Makampasi Meneja Msaidieni kwa Dhati Mtendaji Mkuu na kuondoa ukandamizaji wa watumishi kwa lengo la kumfurahisha mtendaji mkuu kumbe mnamfitinisha na watumishi.

  • Tunapenda kuwakumbusha watumishi wa umma kote nchini ni kosa kuchagua kituo cha kazi srikali ni moja hivyo basi kila mtumishi wa umma anaweza kufanya kazi mahali pengine kokote katika ofisi za Umma.

  • Serikali ilisha toa maelekezo kwa watumishi wa umma kuwa ni huru kuhama kutoka Taasisi moja ya umma kwenda nyingine kama kuna ulazima wa kufanya hivyo, lakini pia mkuu wa Taasisi anaouwezo wakukubali au kukataa mtumishi anapotaka kuhama Taasisi aliyopo na hilo linalosemwa kuhusu watu kuhama mtendaji mkuu ametekeleza utawala bora.

NB: Niwe tu mkweli mnyonge mnyongeni haki yake mpeni baadhi ya wadau wenzangu ambao nao walihama katika chuo hicho cha Utumishi wa umma kwa sababu zao binafsi walishawai kunifuata kipindi cha nyuma na kudai kwamba muda wa mtendaji mkuu kukaa umetosha hivyo tukiandika makala ya kumchafua lazima tume itaundwa sasa mimi nasema kuwa ili hao wanafiki wapatikane nipo Tayari kuwataja na kutoa ushirikiano wangu kwa sababu wengine wapo humo humo ndani ya Taasisi hiyo, Kampasi ya Dar es salaam, Tabora, Mbeya, na Mtwara.

Mhe. Waziri pongezi ziende kwako kwa kuendelea kusimamia vyema utumishi wa umma pia nitoe pongezi kwa uongozi wa chuo cha utumishi wa umma kwa kundelea kufanya kazi zake kama ilivyoanishwa kwenye notisi ya serikali Na: 473, chuo hiki nimuhimu sana katika kujenga Utumishi wa umma ulio bora katika Taifa letu hususani utumishi wenye kutoa huduma bora kwa umma.
 
Nina mdogo wangu, yuko mwaka wa pili hapo utumishi kampasi ya Mtwara kiukweli kwA jinsi alivyo anza mpaka sasa Kuna mabadiliko nimeyaona Hongera sana uongozi wa Chuo kwA kazi nzri mnayofanya hususani kusimamia maadili
 
Ushauri waongeze na kampasi watufikie na huku kanda ya kaskazin tunataman watoto wetu pia wabahatike kupata maekezi mazuri ya Utumishi.
 
Labda kwa kampasi zingine ila kwa kampasi ya tabora hamna kitu pale, “kampasi meneja hana kabisa sifa za kuwa kiongozi kwanza anatumia mabavu watumishi tunanyanyasika mno katika kampasi hii na akija mtendaji mkuu aambiwi ukweli anafichwa fichwa.”

Mambo yanayoendelea katika kampasi hii Tabora,
  • “Sheria kandamizi “Kampasi meneja hutumia madaraka yake kutunga sheria ambazo zimekuwa zikiwakandamiza sana watumishi katika kampasi hii ya Tabora na ikitokea ameulizwa ana dai kuwa ni maagizo kutoka juu, juu wapi?, jambo hili ni kutaka kumfarakanisha Mtendaji mkuu na watumishi wa kampasi hiyo aache unyanyasaji.
  • “kukijua chuo” kampasi meneja amekuwa akidai kukijua chuo sana hali inayopelekea kukwamisha hata shughuli zingine za kiutendaji kwa maamuzi yake yasiyokuwa na busara.
  • “Taasisi kuendeshwa kama familia” kampasi meneja amekuwa akiongoza kampasi hii kama vile familia yake kwa kuitisha vikao huku akiwa na maamuzi yake yeye mwenyewe jambo ambalo ni kosa na limepelekea hadi wakuu wa idara wote katika kampasi hiyo kulalamika juu ya jambo hilo. Kwa tabia hiyo amekuwa akijiaminisha kwa mtendaji mkuu kama vile viongozi wengine wa makampasi wanakosea kusimamia kampasi zao huku akifanya jitihada zakuwafundisha makampasi meneja wengine kama vile Mtwara, Tanga, yeye akiwa kama kinara.
  • “Tabia ya kutaka kutoa elimu kwa makampasi meneja wapya” kama alivyofanya kwa mkurugenzi wa kwanza wa kike wa kampasi ya Tanga ambapo aliingia na mambo ya yasiyofaa ambapo baadae alikuja akakwama hali inayopelekea mazingira mabaya kwa mtendaji mkuu kuonekana kukosa watu mahiri wakumsaidia kwa dhati.
  • “unyanyasaji” kampasi meneja amekuwa akiwanyanyasa sana watumishi katika kampasi hiyo jambo ambalo limepelekea kutokuwa na mahusiano mazuri kati yake na watumishi wenzake katika Taasisi hiyo ambapo hali hii ni mbaya sana kwa Afya ya chuo.
  • “Kuongoza kampasi mbili kwa wakati mmoja” kampasi meneja amekuwa akiongoza kampasi ya Tanga kwa njia isiyo ya moja kwa moja ilhali akijionesha wazi kwamba ni mshauri tu ila amekuwa akitaka viongozi wa kampasi hiyo wamsikilize kwakua viongozi wengi wa kamapasi hiyo hutoka kampasi ya Tabora.
Hayo yote hupelekea baadhi ya mipango ya chuo katika kampasi hii ya Tabora kufeli kutokana na kutokuwa na kiongozi anaewajibika vyema katika nafasi yake Mfano: Mafunzo ya Muda mfupi kufeli. Huku kampasi meneja akiendelea kutokuwa mkweli kwa mtendaji mkuu kwa kuyaficha makucha yake.

OMBI: Mtendaji mkuu wa chuo tunakuomba sana uiokoe kampasi hii ya Tabora tunatambua kazi kubwa unayoifanya. kiukweli watumishi katika kampasi hii ya tabora tunateseka sana ilihali tunashindwa kukufikishia Taarifa zetu moja kwa moja juu ya tabia ya kiongozi wetu katika kampasi hii ya Tabora kwani tumekuwa tukipokea vitisho na kujiona yeye ni kila kitu katika chuo hiki .

Kama ikikupendeza tunaomba siku ukitutembelea katika kampasi hii uulize maswali mtumishi mmoja mmoja juu ya Tabia za kiongozi wetu Tuko Tayari kuyasema yote kwa maendeleo ya chuo chetu hatuwezi tukakaa kimya ilhali hali hii imekuwa ikichafua Taasisi yetu.
 
Mhhhh tabora pachunguzwe🤔🤔
 
Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama (MB), kwanza nikupongeze kwa jitihada zako za kuujenga na kuuendeleza utumishi wa umma Tanzania. Natambua wewe ni kiongozi bora na si bora kiongozi na ndio maana Rais wetu ameendelea kukuamini katika kuendelea kusimamia Utumishi wa umma.

Nikiwa kama mdau wa zamani wa chuo hicho cha utumishi wa umma naomba kuelekeza kwako pongezi hizi za chuo cha utumishi wa umma kwa kazi kubwa inayofanywa na uongozi wake ikiwa ni moja ya mafanikio makubwa katika wizara yako ya utumishi wa umma chuo hiki kimeendelea kujenga uwezo utumishi wa umma kwa malengo ya kutoa huduma bora.

Hivyo ningeomba kwa ushauri niliotoa apo chini kwa baadhi ya changamoto basi zifanyiwe kazi.

Mh. Waziri labda kwa kuweka kumbukumbu sawa majukumu ya chuo cha utumishi wa umma Tanzania yameainishwa katika notisi ya serikali Na. 473 iliyochapishwa tarehe 15 Desemba, 2000.

Chuo cha Utumishi wa umma Tanzania hadi sasa kina jumla ya kampasi sita ambazo ni ( Dar es Salaam Campus, Tabora Campus, Mtwara Campus, Singida Campus, Mbeya Campus na Tanga Campus.

Chuo cha Utumishi wa Umma ukiachana na majukumu yake ya msingi ambayo imekuwa ikiyatekeleza ipasavyo pia ni chuo pekee kwa asilimia kubwa kimekuwa kikizingatia maadili ya utumishi wa umma kuanzia kwa watumishi wake mpaka hata mazao yake katika mafunzo ya muda mrefu ngazi ya stashahada na cheti kwa wanafunzi wanaosoma katika chuo hiki cha utumishi wa umma wengi wamekuwa mfano wa kuigwa hata katika jamii kutokana na maadili waliyokuwa nayo.

Ila kila kizuri hakikosi kasoro na pale penye changamoto lazima zisemwe ili pawekwe sawa ila pia penye unafiki na nia mbaya lazima tupaweke wazi kutokana na makala iliyowekwa na Lijendali katika ukurasa wa “Habari na Hoja mchanganyiko hapa Jamii Forums” mimi kama mdau wa zamani wa chuo hiki cha utumishi wa umma naona ni hoja za kupotosha na zenye nia ya kimaslahi zaidi maana kwa yeyote atakaye atasoma makala hiyo atagundua haina nia ya kuboresha chuo hicho bali ni kuharibu na kuweka maslahi ya kimadaraka mbele tena hususani kwa watumishi ndani na wale waliohamishwa kwa maelekezo ya katibu mkuu Mhe Dr. laurean Ndumbalo mwaka 2019 baada ya mkuu wa chuo wa sasa kuthibitishwa wakati huo wizara hiyo ikiongozwa na Mhe. Captain George Mkuchika (MB) chini ya uongozi wa mpendwa wetu Hayati Mhe Dr. John Joseph Pombe Magufuli ambaye alimwamini pia mtendaji mkuu wa sasa Dr. Emanuel Seleman Shindika ambaye huyo pia ameishi kwa slogani ya magufuli HAPA KAZI TU! Huku akiendana na awamu ya sita ya kiongozi mama yetu Mpendwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ambaye naye slogani yake imesisitiza KAZI IENDELEE! na hicho ndicho anachokifanya Dr. Shindika.

Mimi kama mdau wa chuo hiki japo nimehamia katika Taasisi nyingine kwa sasa ila penye ukweli nitazungumza labda nichagie na mimi jinsi ninavyokijua chuo hiko kwa kipindi nilichohudumu katika Taasisi hiyo.

Chuo cha utumishi wa umma majukumu yake ya msingi yameainishwa katika notisi ya serikali Na. 473 iliyochapishwa tarehe Desemba 15,2000.

Mpaka sasa chuo cha utumishi kimefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutekeleza majukumu yake kama ilivyoanishwa katika notisi ya serikali Na: 473.

Kwa miaka mingi toka chuo kuanzishwa kimekuwa kikifanya tafiti mbalimbali, machapisho, mafunzo mafupi kwa utumishi wa umma na kutoa shauri za kitaalamu katika utumishi wa umma kama wizara inavyotarajia inayoongozwa na mama yetu mpendwa Mhe. Waziri Jenista Mhagama (MB).

Mafunzo ya muda mrefu na muda mfupi yanafanyika inavyotakiwa na mpaka sasa chuo kimefanikiwa kutoa wahitimu awamu ya 36 katika ngazi ya shahada, stashahada na cheti kutoka katika fani mbalimbali, pia mafunzo ya muda mfupi yamekuwa yakitolewa kwa watumishi katika fani mbambali na mpaka sasa chuo kimefanikiwa kuongeza idadi ya wanafunzi kwa mafunzo ya muda mrefu na muda mfupi.

Chuo cha utumishi wa umma kampasi zote sita zimekuwa zikifanya vyema katika utoaji wa huduma mbalimbali zitolewazo na chuo mfano: mafunzo, ushauri na tafiti, hivyo nashauri kuendelea kupanua wigo wa chuo kwa kuongeza walau kampasi zingine ili jamii ikaendelee kunufaika zaidi na huduma zitolewazo na chuo hiki.

Mh. Waziri mimi kama mdau wa zamani wa chuo hiki naomba kuupongeza uongozi wa chuo hiki cha utumishi wa umma kwa masuala yafuatayo.

  • Uboreshwaji wa miundo mbinu ya chuo hiki mfano mzuri kwa kampasi ya singida kupata eneo la chuo na Tayari ujenzi wa chuo cha Utumishi wa umma kampasi ya singida unaendelea ikiwa ni moja ya mafanikio makubwa katika kuboresha miundombinu ya chuo hiki wakati huo hayo yote yakiendelea ni chini ya kiongozi huyohuyo anae lalamikiwa. na ikumbukwe kuwa kampasi hiyo asingekuwepo yeye ingekuwa imeshafungwa au kuamishwa mkoani hapo lakini yeye na menejimenti yake pamoja na kuungwa mkono na mkuu wa mkoa wa wakati huo Mhe. Rehema Nchimbi wakiwa wameadhimia chuo cha utumishi wa umma kuwepo huko singida.
pia kwa uponde wa kampasi ya Tabora jengo la utawala ambalo lilisuasua ujenzi wake kwa miaka kadhaa chini ya watendaji wakuu watangulizi wake wawili akiwemo Dr. Henery Mambo na Bw. Saidi Nasoro lakini kila kukicha ilikuwa ni historia tu ya ugumu wa umaliziaji wa jengo hilo lakini chini ya uongozi mahiri kabisa wa mtendaji mkuu Dr. Emanuel Shindika Jengo hilo lilikamilika na linafanya kazi.​

  • Kufanya tafiti mbalimbali ambazo zimekuwa zikitoa maarifa juu ya utendaji bora katika utumishi wa umma kwa kufanya tafiti.

  • Kusimamia na kuendesha mafunzo ya muda mrefu na muda mfupi kwa weledi mkubwa ambapo tunaona imekuwa ikileta matokeo chanya kwa chuo na jamii kiujumla.

  • Kufanya mapitio na kuendesha mitihani ya utumishi wa umma kwa kiwango cha juu kama inavyotakiwa hii imekuwa ikichangia kwa kiasi kikubwa kuwa na watumishi wenye weledi mkubwa katika masuala ya utumishi.

  • Kwa awamu 36 mpaka sasa chuo kimefanikiwa kutunuku vyeti katika ngazi ya Shahada, stashahada na cheti kwa wahitimu waliofuzu mafunzo, huku idadi ya wahitimu ikizidi kuongezeka kila mwaka.

  • Kuendeleza ujuzi katika maeneo ya Teknolojia ya habari na mawasiliano kama ilivyo elekezwa na wizara na msisitizo uliotoa katika mahafali iliyofanyika katika kampasi ya Mbeya mwezi mei.

  • Kutoa shauri za kitaalamu katika maeneo ya menejimenti,utawala, uongozi na uendeshaji wa ofisi na utunzaji kumbukumbu katika maadili ya utumishi wa umma ikiwa ni moja ya jukumu la msingi la chuo hicho.

  • Kuendeleza ujuzi, maarifa nauelewa wa watumishi wa umma katika maeneo ya menejimenti, utawala, uongozi, na uendeshaji wa ofisi na utunzaji wa kumbukumbu hii kupitia mafunzo ya muda mfupi yanayotolewa kwa weledi na wakufunzi wa chuo hicho cha utumishi wa umma.

  • Uanzishwaji wa kwaya ya chuo cha Utumishi wa umma kwa kila kampasi ambapo imekuwa ikisaidia katika kukitangaza chuo cha utumishi wa umma ndani na nje ya nchi kwani hata mimi kama mdau wa zamani wa chuo hicho nimevutiwa sana na suala hilo kwani kwaya hiyo imekuwa ikitangaza chuo na Taifa kiujumla pia inajenga uzalendo wa nchi hususani kwa wanachuo na jamii inayotuzunguka kupitia nyimbo mbalimbali za kizalendo pia kuelimisha jamii juu ya masuala mbalimbali ya kijamii, kielimu, kisiasa, kiuchumi, sayansi na tekinolojia.
Umuhimu wa kwaya hii: imekuwa ikisisitiza uzalendo kwa viongozi wan chi, mikusanyiko mikubwa ya ugeni katika mikutano ya mikubwa ya kitaifa kwa hiyo imekuwa kivutio kwa makutano, imekuwa ikiundisha nidhamu haswa kwa suala zima la mavazi ambapo imekuwa ikitumia mavazi hay ohayo ya chuo katika shughuli zake.​

Ambapo katika hatua zake zote hizo ikiwa inatumbuiza tumeona mara kadha wakadha mama yetu mpendwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akifurahishwa na kwaya hiyo Mfano: Alipokuwa kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa makatibu mahususi uliofanyika jijini Dodoma Tarehe 31 mei mpaka Tarehe 3 juni,2022 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete.​
hata hivyo Mhe. Mhagama ziara yake yakwanza chuo cha utumishi wa umma aliitamka wazi kwamba kila tunapowaza tualike kwaya gani tunasema tuite kwaya hiyo ya chuo cha utumishi na kubwa zaidi ulimshangaa Mungu kuletwa katika wizara ambayo kwaya hiyo ipo. pia katika mahafali ya 36 ambapo ulikuwa mgeni Rasmi ulitumbuiza na kwaya hiyo kwa kuonesha kuwa umefurahishwa na kazi nzuri ya kwaya hiyo ambapo wahitimu, wanafunzi na wageni waalikwa walifurahishwa sana na tukio hilo.​

  • Chuo kimekuwa na ushirikiano mzuri sana na watendaji wa wizara mama hali inayosaidia chuo kuzidi kufanya vizuri sana katika shughuli zake mbalimbali za kila siku kwa sababu yote yanayofanywa na chuo cha Utumishi wa umma unatekeleza matarajio ya wizara hiyo baada ta kuanzishwa kama wakala wa serikali mwaka 2000.

  • Watumishi kupata fursa mbalimbali hususani fursa ya kwenda masomoni kwa kuzingatia uhitajikaji wa mtumishi huyo kwa nafasi anayotumikia. Kwa muktadha huo mtendaji mkuu anao uwezo wa kukataa mtu kwenda masomoni kama anaona wizara itakwamba mambo yake kwa kukosekana kwa mtumishi huyo lakuzingatia kila zuio linalotolewa ni la muda tu na hakuna kiongozi ambaye anaweza kumzuia mtu asijiendeleze milele na milele.

Pia kila penye mafanikio hapakosi kasoro au changamoto ningeshauri masuala yafuatayo kwa uongozi wa chuo hicho cha utumishi wa umma na wizara ya Utumishi wa umma pamoja na kurekebisha hoja baadhi kama zilivyoandikwa na Lijendali katika ukurasa wa “Habari na Hoja mchanganyiko hapa Jamii Forums” kama Changamoto za uongozi uliopo katika chuo hicho.

  • Kuongeza jitihada katika uboreshaji wa miundombinu kwa baadhi ya kampasi aidha kujikita katika kutafuta maeneo na kujenga kama inavyofanyika katika kampasi ya singida hii itasaidia chuo kuwa na miundombinu bora na yenye kukidhi haja ya jamii na Taifa.

  • Makampasi meneja wafanye kazi kwa kuzingatia maelekezo ya mtendaji mkuu na wasijitungie sheria zao wao wenyewe ambazo ni kandamizi kwa watumishi bali wamsaidie mtendaji mkuu kwa dhati kwa kutoa ushauri kwa mkuu wa chuo au kupokea ushauri kutoka kwa mkuu chuo na sio kampasi mejena mmoja kuonekana anaongoza kampasi nyingine kwa mkono wa pili ( indirect way).pia Makampasi Meneja Msaidieni kwa Dhati Mtendaji Mkuu na kuondoa ukandamizaji wa watumishi kwa lengo la kumfurahisha mtendaji mkuu kumbe mnamfitinisha na watumishi.

  • Tunapenda kuwakumbusha watumishi wa umma kote nchini ni kosa kuchagua kituo cha kazi srikali ni moja hivyo basi kila mtumishi wa umma anaweza kufanya kazi mahali pengine kokote katika ofisi za Umma.

  • Serikali ilisha toa maelekezo kwa watumishi wa umma kuwa ni huru kuhama kutoka Taasisi moja ya umma kwenda nyingine kama kuna ulazima wa kufanya hivyo, lakini pia mkuu wa Taasisi anaouwezo wakukubali au kukataa mtumishi anapotaka kuhama Taasisi aliyopo na hilo linalosemwa kuhusu watu kuhama mtendaji mkuu ametekeleza utawala bora.

NB: Niwe tu mkweli mnyonge mnyongeni haki yake mpeni baadhi ya wadau wenzangu ambao nao walihama katika chuo hicho cha Utumishi wa umma kwa sababu zao binafsi walishawai kunifuata kipindi cha nyuma na kudai kwamba muda wa mtendaji mkuu kukaa umetosha hivyo tukiandika makala ya kumchafua lazima tume itaundwa sasa mimi nasema kuwa ili hao wanafiki wapatikane nipo Tayari kuwataja na kutoa ushirikiano wangu kwa sababu wengine wapo humo humo ndani ya Taasisi hiyo, Kampasi ya Dar es salaam, Tabora, Mbeya, na Mtwara.

Mhe. Waziri pongezi ziende kwako kwa kuendelea kusimamia vyema utumishi wa umma pia nitoe pongezi kwa uongozi wa chuo cha utumishi wa umma kwa kundelea kufanya kazi zake kama ilivyoanishwa kwenye notisi ya serikali Na: 473, chuo hiki nimuhimu sana katika kujenga Utumishi wa umma ulio bora katika Taifa letu hususani utumishi wenye kutoa huduma bora kwa umma.
Haaaaaaaahahhaaa nimecheka sana eti kampasi zote zinafanya vizuri siwezi sema sio sahihi au hapana ila ushauri wangu makampasi meneja waache kuongoza kampasi kwa maono ya kampasi meneja mwenzao bali waendane na maono ya Mtendaji mkuu tumeona mafanikio wakubwa sana kupitia yeye kwani hata kampasi ya Singida isingekuwepo pasipo yeye.

Kampasi “X” inayotajwa kukosa viongozi mahiri hii inatokana na viongozi wengi kutokana na kampasi ya Tabora kwani kule kuna kiongozi ambaye yeye hutaka kila analolisema yeye liwe sheria wakati kwenye kampasi zingine watu hawawezi kubaliana na jambo hilo.

Makampasi meneja waache Tabia ya kuongoza kampasi mbili kwa wakati mmoja bila mtendaji mkuu kujua kwamba kuna jambo hilo, kumekuwa na katabia cha kampasi “X” kutaka kusikilizwa sana na kampasi “X” hali inayopelekea hatari katika chuo.

Na hali hiyo inaleta ugumu kutokana na viongozi wa kampasi “X” kuwa na uwezo mdogo wa viongozi kukabiliana na watumishi wenye uwezo mkubwa wakujua chuo hiki walioko katika kampasi “X”.

Vinginevyo nitoe pongezi kwa Mtendaji mkuu kwa uwajibikaji wako ila watu ulio waamini sana ndio wanao kuwekea ugumu na giza katika maono yako ya kukisaidia chuo hiki cha Utumishi Mungu azidi kukusaidia na kukuongoza kwani si watu sahihi kabisa katika baadhi ya kampasi za chuo hiki.:;:

msisitizo: kibaya zaidi kwa kampasi ya Tanga tunaonea huruma watumishi wa kampasi hiyo kwani viongozi wao wa sasa walionao wanategemea sana ushauri kutoka kwa kampasi meneja wa Tabora kwa sababu hadi sasa watumishi wa kampasi hiyo wameanza kilalama.
 
Kasomeni mjue kazi ya Jambia... Chuo pekee kinachofanya Mwanadamu akae Karibu na RAis... Wengine kukaa Karibu naye Bora Kufa

Ba
Nina mdogo wangu, yuko mwaka wa pili hapo utumishi kampasi ya Mtwara kiukweli kwA jinsi alivyo anza mpaka sasa Kuna mabadiliko nimeyaona Hongera sana uongozi wa Chuo kwA kazi nzri mnayofanya hususani kusimamia maadili
Baada ya kuona Uzi ndo mmejiunga???
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom