Jebra Kambole: Tutakata Rufaa kesi ya kuondolewa wafugaji Loliondo

SemperFI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
1,425
2,968
Akitoa ufafanuzi wa uamuzi uliotolewa na EACJ, Wakili Jebra Kambole amesema kesi hiyo ni ya “Uvamizi wa Serikali” unaodaiwa kufanywa mwaka 2017 na haihusiani na ‘Mateso ya Wamasai’ ya Juni 2022 ambayo ameeleza kuwa kesi yake GN 421 ya mwaka 2022 bado ipo Mahakamani.

Kambole amesema wameona uamuzi wa kesi hiyo una mapungufu makubwa ya Kisheria na uchambuzi wa ushahidi hivyo watakata Rufaa katika Kitengo cha Rufaa cha Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) dhidi ya uamuzi huo.

Pia soma > Mahakama ya Afrika Mashariki yatupilia mbali kesi ya Wamasai kuondolewa Loliondo
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom