Shaka: CCM itawajengea uwezo kwa kuwapatia mafunzo ya uongozi, viongozi wapya waliochaguliwa katika ngazi zote kichama

Pfizer

JF-Expert Member
Mar 25, 2021
304
518
Asisitiza umuhimu huo ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama kimeona umuhimu wa kuwajengea uwezo viongozi wote wapya ndani ya Chama na kwamba baada ya Kukamilika kwa Uchaguzi unaondelea kote nchini watapatiwa mafunzo ili watekeleze majukumu yao kwa ufanisi.

Aidha, amesema CCM bado ni eneo muhimu katika kuzalisha viongozi bora na tegemeo kwa maendeleo ya nchi ndio maana kimeendelea kuaminiwa na watanzania katika kushika hatamu ya kuliongoza Taifa.

Shaka ameyasema hayo aliposhiriki mkutano mkuu wa uchaguzi wa viongozi wa CCM Wilaya ya Dimani, Mkoa wa Magharibi kichama ambao umefanyika leo Oktoba 2, 2022, Kiembesamaki.

Asema viongozi wanapaswa kufanya kazi kwa kuzingatia mipaka kulingana na Katiba ya CCM, kanuni na miongozo ya Chama, hivyo ni lazima kujengewa uwezo kuanzia ngazi ya shina hadi Taifa ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan katika hatua ya kujiimarisha.

"Wengi tuliopo hapa ni viongozi wapya, tumekabidhiwa dhamana hii muhimu ya uongozi, Chama kimeweka mpango maalumu, kama alivyoelekeza Mwenyekiti wetu Samia Suluhu Hassan ndani ya muda mfupi ujao wa kuwapatia mafunzo elekezi viongozi katika ngazi zote ili muweze kumudu vyema kazi zenu," amesema Shaka.
IMG-20221002-WA0002.jpg
IMG-20221002-WA0013.jpg
IMG-20221002-WA0006.jpg
IMG-20221002-WA0009.jpg
IMG-20221002-WA0011.jpg
IMG-20221002-WA0015.jpg
 
~Asisitiza umuhimu huo ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama kimeona umuhimu wa kuwajengea uwezo viongozi wote wapya ndani ya Chama na kwamba baada ya Kukamilika kwa Uchaguzi unaondelea kote nchini watapatiwa mafunzo ili watekeleze majukumu yao kwa ufanisi.

Aidha, amesema CCM bado ni eneo muhimu katika kuzalisha viongozi bora na tegemeo kwa maendeleo ya nchi ndio maana kimeendelea kuaminiwa na watanzania katika kushika hatamu ya kuliongoza Taifa.

Shaka ameyasema hayo aliposhiriki mkutano mkuu wa uchaguzi wa viongozi wa CCM Wilaya ya Dimani, Mkoa wa Magharibi kichama ambao umefanyika leo Oktoba 2, 2022, Kiembesamaki.

Asema viongozi wanapaswa kufanya kazi kwa kuzingatia mipaka kulingana na Katiba ya CCM, kanuni na miongozo ya Chama, hivyo ni lazima kujengewa uwezo kuanzia ngazi ya shina hadi Taifa ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan katika hatua ya kujiimarisha.

"Wengi tuliopo hapa ni viongozi wapya, tumekabidhiwa dhamana hii muhimu ya uongozi, Chama kimeweka mpango maalumu, kama alivyoelekeza Mwenyekiti wetu Samia Suluhu Hassan ndani ya muda mfupi ujao wa kuwapatia mafunzo elekezi viongozi katika ngazi zote ili muweze kumudu vyema kazi zenu," amesema Shaka.

#CCMImara
#KaziIendelee

IMG-20221002-WA0054.jpg
IMG-20221002-WA0053.jpg
IMG-20221002-WA0059.jpg
IMG-20221002-WA0036.jpg
IMG-20221002-WA0040.jpg
 
#KaziIendelee View attachment 2375156View attachment 2375157View attachment 2375158View attachment 2375159View attachment 2375160View attachment 2375161View attachment 2375162View attachment 2375163
KATIBA KATIBA KATIBA
Acha popoma, mafunzo ya wizi wa kuraa.!
 
SHAKA: CCM ITAWAJENGEA UWEZO KWA KUWAPATIA MAFUNZO YA UONGOZI, VIONGOZI WAPYA WALIOCHAGULIWA KATIKA NGAZI ZOTE KICHAMA

Asisitiza umuhimu huo ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama kimeona umuhimu wa kuwajengea uwezo viongozi wote wapya ndani ya Chama na kwamba baada ya Kukamilika kwa Uchaguzi unaondelea kote nchini watapatiwa mafunzo ili watekeleze majukumu yao kwa ufanisi.

Aidha, amesema CCM bado ni eneo muhimu katika kuzalisha viongozi bora na tegemeo kwa maendeleo ya nchi ndio maana kimeendelea kuaminiwa na watanzania katika kushika hatamu ya kuliongoza Taifa.

Shaka ameyasema hayo aliposhiriki mkutano mkuu wa uchaguzi wa viongozi wa CCM Wilaya ya Dimani, Mkoa wa Magharibi kichama ambao umefanyika leo Oktoba 2, 2022, Kiembesamaki.

Asema viongozi wanapaswa kufanya kazi kwa kuzingatia mipaka kulingana na Katiba ya CCM, kanuni na miongozo ya Chama, hivyo ni lazima kujengewa uwezo kuanzia ngazi ya shina hadi Taifa ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan katika hatua ya kujiimarisha.

"Wengi tuliopo hapa ni viongozi wapya, tumekabidhiwa dhamana hii muhimu ya uongozi, Chama kimeweka mpango maalumu, kama alivyoelekeza Mwenyekiti wetu Samia Suluhu Hassan ndani ya muda mfupi ujao wa kuwapatia mafunzo elekezi viongozi katika ngazi zote ili muweze kumudu vyema kazi zenu," amesema Shaka.
 
Attachments

  • IMG-20221003-WA0023.jpg
    IMG-20221003-WA0023.jpg
    40.9 KB · Views: 2
  • IMG-20221003-WA0025.jpg
    IMG-20221003-WA0025.jpg
    57.5 KB · Views: 2
  • IMG-20221003-WA0017.jpg
    IMG-20221003-WA0017.jpg
    72.9 KB · Views: 2
  • IMG-20221003-WA0019.jpg
    IMG-20221003-WA0019.jpg
    66.3 KB · Views: 2
  • IMG-20221003-WA0016.jpg
    IMG-20221003-WA0016.jpg
    33.4 KB · Views: 2
  • IMG-20221003-WA0015.jpg
    IMG-20221003-WA0015.jpg
    68.1 KB · Views: 2
  • IMG-20221003-WA0018.jpg
    IMG-20221003-WA0018.jpg
    81.1 KB · Views: 2
  • IMG-20221003-WA0014.jpg
    IMG-20221003-WA0014.jpg
    94.2 KB · Views: 2
  • IMG-20221003-WA0020.jpg
    IMG-20221003-WA0020.jpg
    95.7 KB · Views: 2
  • IMG-20221003-WA0021.jpg
    IMG-20221003-WA0021.jpg
    107.9 KB · Views: 2
  • IMG-20221003-WA0013.jpg
    IMG-20221003-WA0013.jpg
    59.5 KB · Views: 2

Similar Discussions

Back
Top Bottom