Hivi chama cha upinzani kinaweza kuwa na nguvu kuliko chama tawala?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Unajua mimi nimezoea kuona chama cha utawala kuwa na nguvu kuliko chama cha upinzani nina maana nguvu ya kuamua vitu

Ila kitu icho naona ni tofauti kidogo kwenye siasa za Kongo

Rais wetu mpendwa Felix Tshisekedi alipitisha sheria kuwa hakutakuwa na mgeni yeyote au mkongomani yeyote yule ambaye atagombea urais kama sio mkongomani wa baba na mama

Sheria hizo zilikuwa zimebana chama cha upinzani cha akina Moise Katumbi kutogombea urais maana yeye ni Muisrael upande wa baba na mkongo upande wa mama.

Lakini cha ajabu chama hicho kilipeleka candidats yao ya kugombea Urais mwaka 2023 na kukubaliwa na huku wakitowa mikwala kwa chama tawala kuwa

Ni lazima mwaka 2023 chama cha UPDF yaani chama cha akina Felix Tshisekedi kitoke madarakani kwa vyovyote vile

Yaani mikwala mingi saana

Je, haya mambo yapoje?

Naomba kueleweshwa hivi chama cha upinzani kinaweza kugeuza matokeo ya uchaguzi bila wao kuwa chama tawala?

View attachment 2374732
 
Inawezekana kabisa na hata ccm walijua hili na ndio maana wanatumia mapolisi, usalama na mahakama kuwakamata, kuwatesa, kuwabambikia kesi wapinzani ili kudhoofisha upinzani.
 
Back
Top Bottom