Mshituko; Tundu Lissu ni mfanyakazi hewa wa CHADEMA?

Kijogoodi

JF-Expert Member
Mar 29, 2021
1,363
2,372
Habari,

Tundu Lissu alichaguliwa kwa mbwembwe kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema na wafuasi wa upinzani wakawa na matumaini makubwa kuwa atakuja na mawazo mapya ya kuinua CHADEMA na Upinzani kwa ujumla nchini. Laa! Kama ilivyokuwa alipochaguliwa kuwa Rais wa TLS badala ya kufanya kazi za taasisi iliyomchagua Lissu yuko bize kufanya kazi zake na kujiimarisha yeye binafsi!

Tundu Lissu tokea achaguliwa kuwa makamu Mwenyekiti wa CHADEMA hamna clip wala mkutano wowote akiipromote Chadema lakini anaendelea kulipwa mshahara mnono kama makamu mwenyekiti wa Chadema.

Hili halikubaliki Lissu ni mfanyakazi hewa wa Chadema na anatakiwa kutumbuliwa haraka.

BAVICHA amkeni mhoji matumizi ya hela za Chadema maana Mbowe ni mwenyekiti bubu.
 
Wewe unapenda mtoto kuliko mama yake?

Hautakuwa fataki wewe?

Dawati la jinsia murikeni hii mitu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom