Polisi Tunduru wazuia mkutano wa Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo kutokana na kuwepo matishio ya ugaidi

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,165
4,581
Mnatuzuga
20221003_214756.jpg
 
Kuna siku itatokea kweli, nimekumbuka kile kisa Cha yule Kijana aliyeliwa na chui, Kila siku anawatania Wanakijiji kuwa analiwa na chui, Watu wanatoka na silaha wakifika hakuna kitu,...siku ya siku akavamiwa na chui kweli, akapiga kelele hakuna mwanakijiji aliyejitokeza akiamini ni mchezo wake ule ule ....ndio wanachofanya Askari wa CCm
 
Ugaidi.jpg

Jeshi la Polisi Wilayani Tunduru limezuia ziara ya Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu Wilayani Tunduru kwa madai ya vitisho vya ugaidi. Ado yupo kwenye ziara ya kuimarisha Chama kwenye Majimbo ya Tandahimba, Tunduru Kusini na Tunduru Kaskazini iliyoanza tarehe 30 Septemba.

Chanzo: ACT Wazalendo
 
Vitu vingine Hadi kinyaaa

Polisi oneni Raha tu, hakuna shida. Alafu siku msimame mseme mnaomba wananchi waungane kusaidia kitu Fulani, au msimame mseme mnashangaa wananchi hawatoi ushirikiano kulisaidia jeshi la polisi kitu Fulani.

Polisi hamuisaidii ccm kama hamjui, mnachofanya ni kuligawa Taifa
 
Mimi sio CCM, na siipendi CCM, na siwapendelei police, Ila mimi ni mtu WA kusini ukweli ni kwamba Kuna skendo jamaa wameingia HIYO sio siri hata mikusanyiko ya sherehe siku izi kwa kusini haifanyiki wanazuia. Ni kusi iyote Lindi mtwara, masasi, nachingwea nk
 
Jeshi la Polisi Wilayani Tunduru limezuia ziara ya Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu Wilayani Tunduru kwa madai ya vitisho vya ugaidi. Ado yupo kwenye ziara ya kuimarisha Chama kwenye Majimbo ya Tandahimba, Tunduru Kusini na Tunduru Kaskazini iliyoanza tarehe 30 Septemba.

Chanzo: ACT Wazalendo
Eh! Kwahiyo, tupo hatarini. Kesho mtu akiripoti tishio la ugaidi anaitwa polisi.
 
Tunaenda sokoni kama Kawa!!!!

Tunaenda nyumba za ibada kama Kawa!!!!

Mikutano ya hadhara ya CDM inayoratibiwa kuzuiwa Kwa KIVULI Cha ACT, itafanyika kama Kawa.

Nchi Iko salama.

Ameeeen.
 
Pamoja na kujipendekeza kote kwa Huyo jamaa ila bado kakaziwa tu.
 
Huna akili mpuuzi mkubwa
ungesema upuuzi wangu nini ningejua wewe sio mpuuzi kama mm vinginevyo nachelea kuamini kwamba wewe ni mpuuzi zaidi yangu.
swali: huo ugaidi wa Tunduru ulitangazwa na chombo gani cha habari unachokijua wewe hapa nchini ? anzia huko fb unaposhinda, radio, tv na magazeti yote?
ivi Tunduru kunaweza kuwa na ugaidi afu usitangazwe ili watu wachukue tahadhari kweli?
juzi kulikuwa na mikutano ya uchaguzi ya ccm nchi nzima. Je Tunduru hawajafanya uchaguzi ndani ya CCM TUNDURU kwasababu ya huo ugaidi?
unaita watu hawana akili bila kujua uwezo wako wa kufikiria wewe mwenyewe?
jitafakari jamaangu
 
Kuna siku itatokea kweli, nimekumbuka kile kisa Cha yule Kijana aliyeliwa na chui, Kila siku anawatania Wanakijiji kuwa analiwa na chui, Watu wanatoka na silaha wakifika hakuna kitu,...siku ya siku akavamiwa na chui kweli, akapiga kelele hakuna mwanakijiji aliyejitokeza akiamini ni mchezo wake ule ule ....ndio wanachofanya Askari wa CCm
Hyo imetokea wapi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom