Ikulu mpya ya Chamwino yaiva, kuzinduliwa Mei 2022

Kijogoodi

JF-Expert Member
Mar 29, 2021
985
1,000
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwino uliofikia 91% ambayo itazinduliwa rasmi na kukabidhiwa kwa watanzania mwezi wa tano mwaka huu.

Ikulu ya Chamwino inaongoza kwa ukubwa wa eneo Duniani kote.
RIP Magufuli hata Chadema watafaidi siku moja wakishinda urais.

20220117_134232.jpg
 

Malchiah

JF-Expert Member
Feb 10, 2021
1,705
2,000
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa ikulu mpya ya Chamwino uliofikia 91% ambayo itazinduliwa rasmi na kukabidhiwa kwa watanzania mwezi wa tano mwaka huu.

Ikulu ya Chamwino inaongoza kwa ukubwa wa eneo Duniani kote. View attachment 2084978
Tumpongeze mwendazake alipambana sanaa kuhakikisha huu mji unakuwa na hadhi ya makao makuu ya nchi.
 

Mwamba 777

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
1,549
2,000
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa ikulu mpya ya Chamwino uliofikia 91% ambayo itazinduliwa rasmi na kukabidhiwa kwa watanzania mwezi wa tano mwaka huu.

Ikulu ya Chamwino inaongoza kwa ukubwa wa eneo Duniani kote. View attachment 2084978
mbona kaa vile majengo ya kizamani. Nikajua itakuwa kama mawasiliano tower ya Dar au PPF Plaza ya mwanza.
 

Fundi Mchundo

Platinum Member
Nov 9, 2007
7,660
2,000
Umeongia ndani ukaona miundombinu yake?

Hiyo structure ya nje ni STATE ICON.

Usiwe unakuwa mjuaji wa kila kitu, saa ingine vema kuuliza kuliko kuliko kejeli.
Unajua maana ya neno Icon? STRUCTURE ya nje ndio nini?
Tunajivunia kweli jengo lililojengwa na mjerumani ili kuonyesha kuwa anatutawala? Tunajivunia kutawaliwa na mjerumani? Ikulu ni kioo cha utaifa wetu na tulitakiwa tujenge jengo ambalo tungejivunia kuwa ni la kwetu. Kinachoonekana ni jengo sio miundombinu yake. Sijawahi kumsikia mtu akisifia nyumba yake kuwa ina wiring babu kubwa!
Na sio vizuri kuona kila wazo ambalo haukubaliani nalo kuwa kejeli. Ulichotakiwa ni kutoa sababu kwa nini ku copy and paste ni kuzuri kwa jengo hili na sio kukimbilia kunikashif. Kama hauna, waachie wenye nazo wazitoe.

Amandla...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom