Lipumba: Mihemko ya Tundu Lissu itaiharibia CHADEMA

Kijogoodi

JF-Expert Member
Mar 29, 2021
1,363
2,372
Mwenyekiti wa chama cha Cuf Prof Lipumba amesema mkutano uliitishwa na Jaji Mtungi ulikuwa wa manufaa makubwa kwa vyama vya siasa kwa kujadili msitakabali wa taifa ila cha kushangaza mihemko ya Tundu Lissu ikaiharibia CHADEMA na kushindwa kuhudhuria mkutano huo.

Prof Lipumba amesema Tundu Lissu bado hatambui kama yeye ni makamu mwenyekiti wa chama cha siasa cha Chadema na akiendelea na mihemko yake ya kiharakati ataiharibia chadema kwa kupoteza mashabiki wake wengi sana.

Hivi kuna mwenye akili timamu anaweza kumsikiliza Lipumba ?
Ndie alikuwa mpinzani wa kwanza kushtukia mipango ya CCM kusimamisha wagombea wawili katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, baada ya Kikwete kuambiwa kuwa chama kitamfia mikononi, na lisemwalo likielekea kutimia ndo akaja na mpango madhubuti ambao ulizaa matunda tulioyaona mwaka ule. So jamaa ana maono sana maana aliyosema yalitimia na baada ya kazi kukamilika alietumwa (Lowasa) alirudi alipotoka.
 
Kabisa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom