Kuna kiongozi alidai eti tutamkumbuka, nani amkumbuke?

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,487
Wanasiasa wakikalia viti wanajiona wapo juu ya kila kitu. Akijiona na cheo anaona yeye ndiyo ana akili na uwezo kuliko yoyote. Yaani anadhani bila yeye hakuna wa kuweza kufanya zaidi yake.

Hata kifo anaona hakimhusu kwani hata akili inamtuma ukiwa na ulinzi mkali wa wanajeshi wa kukodi, usalama, magari mengi na helkopta ikiwa inapita kwa juu kwenye msafara wako, utadumu na kutawala milele. Bila kujua uhai hupanga Mungu.

Tanzania hii ina watu kibao wanaoweza kuwa Rais na nchi ikasonga mbele.

Unashangaa mtu kutoka huko wapi sijui anajipiga kifua eti bila mimi nani ataendeleza miradi sijui nini. Eti Watanzania wote ni wezi isipokuwa mimi tu. Mara oooh, mtanikumbuka!

Kwa taarifa hamna wa kukumbuka. Afrika Mashariki wanakumbukwa watu wawili tu. Mwalimu Julius Nyerere na Mzee wetu Sir. Baden Powell, ambaye alifia Uingereza na watu wema wakamzika huko Kenya.

Wengine wote Watanzania wanalazimishwa kuwakumbuka.

Pumzika kwa amani Mwalimu Nyerere, Baden Powell, Ben Saanane, Simon Kangoye, Alfonce Mawazo, Azory Gwanda, Godfrey Luena.
 
Kama unalamba asali huwezi kumkumbuka

Lkn kama ndio kama akina sisi ambao hatulambi asali tunamkumbuka sana tuu

Mambo machache
1.Umeme nilikuwa natumai tariffs ndogo sawa na Tsh 9500 sasa ivi wamenipandishia makusudu natumia 30000

2. Mchele ilikuwa 2,200 sasa 30000

3 sabuni ya mche bei 2000 sasa 3500 unga ndio usifungue mdomo

4. Gas kujaza 48 sasa 60 elfu

Hayo ni machache tuu.

Ni mwendawazimu kama wewe usiweza kumkumbuka MZALENDO WA WAKWELI KUWAHI KUTOKEA NCHI JPM ukiacha Nyerere baba mzalendo wa taifa hili.

Achana na hivi vilamba asali Hawajui chochote

Vinawaza Tozo tuu leo tuongeze wapi

Usishangae kesho wakaja tena kutumbia tozo ya usafari kutoka mkoa mmoja to mkoa mwingine maana hawashindwi.

Povu ruksaaa ,na jaribu nikulipue leo.
 
Nyie vijana wa halaiki mna tabu.

According-to-Psychology-696x696.jpg
 
Wanasiasa wakikalia viti wanajiona wapo juu ya kila kitu. Akijiona na cheo anaona yeye ndiyo ana akili na uwezo kuliko yoyote. Yaani anadhani bila yeye hakuna wa kuweza kufanya zaidi yake.

Hata kifo anaona hakimhusu kwani hata akili inamtuma ukiwa na ulinzi mkali wa wanajeshi wa kukodi, usalama, magari mengi na helkopta ikiwa inapita kwa juu kwenye msafara wako, utadumu na kutawala milele. Bila kujua uhai hupanga Mungu.

Tanzania hii ina watu kibao wanaoweza kuwa Rais na nchi ikasonga mbele.

Unashangaa mtu kutoka huko wapi sijui anajipiga kifua eti bila mimi nani ataendeleza miradi sijui nini. Eti Watanzania wote ni wezi isipokuwa mimi tu. Mara oooh, mtanikumbuka!

Kwa taarifa hamna wa kukumbuka. Afrika Mashariki wanakumbukwa watu wawili tu. Mwalimu Julius Nyerere na Mzee wetu Sir. Baden Powell, ambaye alifia Uingereza na watu wema wakamzika huko Kenya.

Wengine wote Watanzania wanalazimishwa kuwakumbuka.

Pumzika kwa amani Mwalimu Nyerere, Baden Powell, Ben Saanane, Simon Kangoye, Alfonce Mawazo, Azory Gwanda, Godfrey Luena.
Mbona tupo tunaomkumbuka
 
Kama unalamba asali huwezi kumkumbuka

Lkn kama ndio kama akina sisi ambao hatulambi asali tunamkumbuka sana tuu

Mambo machache
1.Umeme nilikuwa natumai tariffs ndogo sawa na Tsh 9500 sasa ivi wamenipandishia makusudu natumia 30000

2. Mchele ilikuwa 2,200 sasa 30000

3 sabuni ya mche bei 2000 sasa 3500 unga ndio usifungue mdomo

4.gas kujaza 48 sasa 60 elfu

Hayo ni machache tuu.

Ni mwendawazimu kama wewe usiweza kumkumbuka MZALENDO WA WAKWELI KUWAHI KUTOKEA NCHI JPM ukiacha Nyerere baba mzalendo wa taifa hili.

Achana na hivi vilamba asali Hawajui chochote

Vinawaza Tozo tuu leo tuongeze wapi

Usishangae kesho wakaja tena kutumbia tozo ya usafari kutoka mkoa mmoja to mkoa mwingine maana hawashindwi.

Povu ruksaaa ,na jaribu nikulipue leo
Sukari ilikuwa1800 kabla yake,alipoingia sukari ilikuwa sh ngapi?
Mafuta ya kula je!
SUKUMA GANG AKILI MU KISODA.
 
Back
Top Bottom