TBC yazima Matangazo Swali la Mpina lisisikike kwa watanzania

saidoo25

JF-Expert Member
Jul 4, 2022
602
1,407
Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) wakati likiendelea kurusha kipindi cha Maswali na Majibu leo Septemba 23, 2022 ghafla wakakatiza matangazo kupisha Swali lililoagizwa na Spika lirudiwe upya kutoka kwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ili watanzania wasisikie majibu ya Serikali

Baada ya kumalizika kujibiwa Swali hilo la Mpina bila wananchi kuona majibu yake muda mfupi baadae TBC ikarejea tena live Bungeni kurusha hotuba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

Swali la Msingi lilikuwa linauliza

Je ni kwa nini kesi 1,097 za kodi zenye thamani ya shilingi Trilioni 360 na Dola za Marekani Milioni 181.4 hazijaamuliwa hadi sasa
 
Na wewe unakuwa kama Mwigulu husomi Ripoti ya CAG unataka kwenda kubishana na wabunge bungeni. Ukisoma maelezo yangu yanaeleweka baada ya kuzimwa swali wakarudisha Bungeni Hotuba ya PM na sasa wameenda Msumbuji kwenye tukio la Rais Samia Suluhu Hassan hapo hujaelewa nini

Nimekuelewa mkuu
 
Jibu mbona ni rahisi tuu? Kwani serikali huwa inaingilia masuala ya mahakama za biashara? Aukizwe Jaji Mkuu/Msajili wa mahakama na Mwanasheria Mkuu wa serikali..

Hata hivyo Mpina kadanganya kwamba til.369 haipo huko badala yake kuna 4.2 Tiln,hapa ndio kungekuwa na swali.
 
lile swali lilimchanganya sana finance minister. lilimpeleka mbali sana sasa katika kurudi ndio ikatokea hali ile.
 
Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) wakati likiendelea kurusha kipindi cha Maswali na Majibu leo Septemba 23, 2022 ghafla wakakatiza matangazo kupisha Swali lililoagizwa na Spika lirudiwe upya kutoka kwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ili watanzania wasisikie majibu ya Serikali

Baada ya kumalizika kujibiwa Swali hilo la Mpina bila wananchi kuona majibu yake muda mfupi baadae TBC ikarejea tena live Bungeni kurusha hotuba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

Swali la Msingi lilikuwa linauliza

Je ni kwa nini kesi 1,097 za kodi zenye thamani ya shilingi Trilioni 360 na Dola za Marekani Milioni 181.4 hazijaamuliwa hadi sasa
Mjibuni Mheshimiwa Mpina kuwa ni kwasababu Pesa zote zimeenda Kulipa Kwanza Mishahara ya Wachezaji wa Singida Big Stars FC na zingine zimetumika Kusajilia Wabrazili na Chenji iliyobakia imeenda kwa Wachezaji wa Yanga SC hasa hasa Feisal Salum na Fiston Mayele kwa Kuifunga Simba SC.
 
Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) wakati likiendelea kurusha kipindi cha Maswali na Majibu leo Septemba 23, 2022 ghafla wakakatiza matangazo kupisha Swali lililoagizwa na Spika lirudiwe upya kutoka kwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ili watanzania wasisikie majibu ya Serikali

Baada ya kumalizika kujibiwa Swali hilo la Mpina bila wananchi kuona majibu yake muda mfupi baadae TBC ikarejea tena live Bungeni kurusha hotuba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

Swali la Msingi lilikuwa linauliza

Je ni kwa nini kesi 1,097 za kodi zenye thamani ya shilingi Trilioni 360 na Dola za Marekani Milioni 181.4 hazijaamuliwa hadi sasa
TBC ina mambo ya kipumbavu sana. Na mnaoingalia mna moyo kweli kweli
 
Na wewe unakuwa kama Mwigulu husomi Ripoti ya CAG unataka kwenda kubishana na wabunge bungeni. Ukisoma maelezo yangu yanaeleweka baada ya kuzimwa swali wakarudisha Bungeni Hotuba ya PM na sasa wameenda Msumbuji kwenye tukio la Rais Samia Suluhu Hassan hapo hujaelewa nini

Uko sahihi mkuu, lakini ni nani anafuatilia hilo bunge la majizi ya kura? Labda sukuma gang wenzake ndio wanaangalia hiyo tbccm.
 
Back
Top Bottom