Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni maadui watatu waliotajwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere tangu tunapata uhuru – ujinga, umaskini na maradhi. Hadi anazikwa kijijini kwake Butiama Oktoba, 1999, maadui wa Taifa walibaki...
1 Reactions
9 Replies
823 Views
Wilaya Songwe Kuna shida mahali kwenye Kila kitu kuanzia miradi yake mpaka mpaka watu wake. Kwa taarifa zilizopo watumishi walioajiriwa mwaka jana HawaJathibitishwa kazini.kila siku Siasa tu...
1 Reactions
4 Replies
636 Views
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwasa, akimkabidhi Tuzo ya heshima kama kiongozi kijana wa mfano Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka wakati wa uzinduzi wa...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Wabunge waliounga mkono juhudi za Shujaa Magufuli wanafanya vizuri ndani ya Chama bunge na Serikali Katambi, Gekui, Mwambe, Silinde, Nassari, Waitara, Mashinji, Ole Milly, Dr Mollel na Hata hawa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Takwimu za Kidunia juu ya afya zinaonyesha takribani nusu ya watu Duniani hawapo kwenye mfumo wa Bima ya afya na hutumia zaidi ya asilimia 10 ya mapato yao katika matibabu. Serikali kupitia...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima ametahadharisha unafiki wa kisiasa unaoendelea miongoni mwa Watanzania kwa sasa kwa kupenda kusifia kila jambo kuwa...
26 Reactions
116 Replies
9K Views
Bodi ya Mto Wami imezuia Kilimo cha Umwagiliaji kutokana na upungufu wa Maji mtoni Wakulima wa mpunga nk wameshauriwa kusubiri Mvua za msimu kwani kipaumbele cha sasa ni Maji kutumika majumbani...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Au huu mgao ni huku tu? Wanakata Jtatu, tano na leo ijumaa. Wanawasha siku mbili za wiki na wikiendi. Hii inasumbua uchumi wa watu sana. Taifa litaendeleaje kwa kufanya kazi siku mbili. Fanyeni...
3 Reactions
11 Replies
825 Views
Ndugu wanaJF na Watanzania kwa ujumla amani ya Mungu na ikawe juu yenu kila mmoja KWa imani yake. Husika na mada tajwa hapo juu, Matabaka ya elimu Tanzania limekua zimwi linaloendelea kututafuna...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania Mgao wa umeme unaoendelea ni matokeo ya kupungua kwa kina cha maji kwa vyanzo vyetu tunavyovitegemea KILA mwaka! Ikumbukwe KWAMBA mvua za Msimu wa mwaka 2021/2022 zilikuwa...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Lugha Bashungwa ameripoti rasmi Wizarani na kulakiwa na Watumishi wa Wizara, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Mimi ni mdau wa maendeleo nchini nimesoma mijadala kuhusu ujenzi wa jengo la abiria uwanja wa ndege mwanza ninakubaliana na wale wanaosema halina viwango vya kimataifa, na wala haliwezi kutumika...
1 Reactions
0 Replies
645 Views
Hivi karibuni, na hadi sasa, kuna mijadala ya kisiasa ambayo kimsingi chimbuko lake ni utawala bora. Baadhi ya mijadala ni pamoja na: [emoji830]︎ Madai ya Katiba mpya; [emoji830]︎ Utawala wa...
0 Reactions
0 Replies
666 Views
BAADA YA MIAKA HAMSINI;TUTAMPATA TENA MWALIMU JULIUS NYERERE,EDWARD MORINGE SOKOINE NA DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI. Leo 18:00hrs 03/10/2021 Ni nadra sana kupata viongozi wanaoibadili dunia...
10 Reactions
55 Replies
5K Views
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete, ametahadharisha ya watu wanaokwamisha uwepo wa baadhi juhudi za Serikali katika taasisi nyeti za umma zinazohusika na masuala ya biashara na uwekezaji. Dk...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Mh. Rais, Pole na majukumu ya kazi, tunaomba kulipwa malimbikizo ya mishahara, kila mara tumekuwa tukiomba kulipwa na tunaendelea kusisitiza kutendewa haki ya kulipwa malimbikizo ya mishahara ya...
0 Reactions
2 Replies
786 Views
Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF. Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya umeme wa mafuta mazito. Kwa sasa scarcity ya umeme inatengenezwa ili...
38 Reactions
119 Replies
8K Views
Hongera kwa siku ya kuzaliwa kwa viongozi hawa.
1 Reactions
3 Replies
708 Views
RAIS Jakaya Kikwete leo Oktoba 7, 2022 anaadhimisha miaka 72 tangu kuzaliwa kwake ni jambo la kheri na tunaungana na Watanzania wengine kumtakia kheri Mzee wetu wa Maisha Bora kwa Kila Mtanzania...
11 Reactions
67 Replies
6K Views
Uwanja wa Polisi Chalinze kwenye kilele cha sherehe ya siku ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…