Shaka Hamdu Shaka atunukiwa TUZO ya heshima na Uchapakazi uliotukuka

World light

JF-Expert Member
Aug 4, 2022
275
258
IMG-20221007-WA0094.jpg

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwasa, akimkabidhi Tuzo ya heshima kama kiongozi kijana wa mfano Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka wakati wa uzinduzi wa msimu wa kilimo kimkoa zilizofanyika Wilaya ya Kilosa Oktoba 4, 2022
 
Huyu apewe tu Urais wa Zanzibar baada ya Mwinyi anafaa Kuwa Kiongozi mkubwa wa nchi
 
Wenye akili zao, unaingia maabara unatengeneza kirusi chenye sumu kali sana unakitupa mtaani. Unakitengenezea mfumo wa kuvamia akili ya mtu na kutambua mrengo wake wa kisiasa, kikikuingia kika-detect wewe ni CCM kinamwaga sumu kali ya kuua na kukausha ndani ya dakika kumi alafu kinarukia mtu mwingine kwa mfumo wa hewa. Mbona kuna mikoa itabaki na watu wasio zidi mia.
 
Ndio ujue sasa kila mtu ni CCM,
 
View attachment 2379607
View attachment 2379609
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwasa, akimkabidhi Tuzo ya heshima kama kiongozi kijana wa mfano Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka wakati wa uzinduzi wa msimu wa kilimo kimkoa zilizofanyika Wilaya ya Kilosa Oktoba 4, 2022
Lucas mwashambwa umetumia na hii ID huku? Safi... Pia usiwe unamsahau shaka. Atakusaidia sana kufika huku tuliko. Pambana dogo...kwa namna zote alizokushauri.
 
😂😂😂Wewe CHADEMA mambo ya CCM yanakuumiza nini?
Daaah.... Yamekuwa hayo tena ndugu yangu? Mi siyo chadema. Chadema hailipi....mimi kada mwenzio..sema angalau mimi nipo sehemu ya juu kidogo. Anyway....tuendelee kupigania chama chetu dogo. Ile ID nyingine nayo iwe active mi na record mabandiko.
 
Safi sana kada, Shaka ni jembe sana,

CHADEMA majizi tu aise,
 
Huyu apewe tu Urais wa Zanzibar baada ya Mwinyi anafaa Kuwa Kiongozi mkubwa wa nchi
Hakika Apewe tu bila shida maana sote tunaona namna alivyo na kiu ya maendeleo, sote tunaona alivyombunifu na Aliyejaa moyo wa upendo na uzalendo mkubwa Sana kwa Taifa letu, Shaka Ni Hazina kwa CCM yetu inayopaswa kutumiwa kwa ajili ya kuwatumikia wananchi hasa kwa kupewa nafasi ya juu kabisa ya kiuongozi Kama ulivyopendekeza
 
Mkuu i salute you, unaongea point point tu
 
View attachment 2379607
View attachment 2379609
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwasa, akimkabidhi Tuzo ya heshima kama kiongozi kijana wa mfano Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka wakati wa uzinduzi wa msimu wa kilimo kimkoa zilizofanyika Wilaya ya Kilosa Oktoba 4, 2022

Ila CCM mna maigizo ya kishamba ile mbaya. Sasa hapo kupeana tuzo ndio nini, au wako kimapenzi mpaka wanahamishia mahaba yao kiserikali?
 
Back
Top Bottom