Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

BARAZA LA WAFANYAKAZI KUWEKA MAHALA PA KAZI SEHEMU SALAMA ❖ Wajumbe Wajengewa Uelewa Umuhimu wa Baraza la Wafanyakazi ❖ OWMS Kuhamia Dodoma Mwaka Huu Na Mwandishi Wetu, OWMS, Dodoma Naibu...
0 Reactions
1 Replies
693 Views
Ni ushauri tu kwamba kuna Vyama vinashiriki Uchaguzi lakini vinashindwa kuweka Mawakala Kwenye Vituo vya kupigia kura kwa sababu ya kukosa fedha Matokeo yake kura za Wagombea wao hupewa Wagombea...
0 Reactions
7 Replies
624 Views
Kigogo wa Juu Mkoani Arusha Anatuhumiwa Kuanza Kampeni za CCM Mkoa Mapema Kwa kumnadi mmoja wa Wagombea wa nafasi ya mwenyekiti Chama hicho mkoa wa Arusha, Kwa Madai kuwa ana Maelekezo kutoka...
1 Reactions
4 Replies
745 Views
Salaam Wakuu, Huwa nasikia watu wanamsifia Magufuli eti ni Baba wa Barabara/Mabarabara, hakutaka Demokrasa Nchini eti yeye ni Hapa kazi tu. Lakini hakuna kazi hata moja alofanya inatambulika...
14 Reactions
111 Replies
9K Views
Huku centre boulevards of Brussels bila shaka hii ni mitaa maarufu ambako Lissu anapendelea zaidi kutembelea! Au Kama yupo nje na Brussels huko Antwerp au Le ROI centre hawezi kukumbuka tena...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Wanazengo Umofia kwenu. Katika muhula wa awamu mbili zilizopita tulishuhudia wimbi la wanasiasa kambi ya upinzani hasa wawakilishi Bungeni wakihamia CCM kwa wingi. Yalisemwa mengi yakiwemo ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wataibuka matapeli wa kuchangisha michango ya kila namna. Kwa kisingizio cha kujenga chama na ofisi makao makuu. Huko Twita itakuwa ni upuuzi uliotamalaki kuhamasisha nonsensical ideas...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Rais Samia akiwaapisha mawaziri leo, Oktoba 3 amesema waziri hatakiwi kusema hakubaliani na maamuzi ya Serikali au kusema kuwa nimeelekezwa hivi ila sikubaliani. Hatakiwi kujitoa bali kuwa sehemu...
16 Reactions
122 Replies
12K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana amewataka viongozi kuepuka utukufu, badala yake wajikite katika utumishi akisema masuala ya itifaki yanawaweka mbali na wananchi. Amesema si vema...
0 Reactions
5 Replies
640 Views
Chadema imebahatika kupata Kiongozi Jasiri mwenye maono na asiyejali kupoteza yeye binafsi ili wengi wafaidike Tatizo la Chadema ni aina ya Wanachama wake yaani ni wapiga porojo mno huku...
1 Reactions
13 Replies
696 Views
Kwako Waziri wa Fedha, Mtani wangu Mwigulu Nchemba, nakushauri kama mtanzania mzalendo Serikali ichukue elfu moja shilingi kwa kila raia atakaekua anamiliki kisimbuzi cha television yoyote iwe...
12 Reactions
135 Replies
8K Views
Kwa vijana wengi, hii kitu / tume ya ajira imekua kichefu chefu sana na yanayoendelea yanakatisha tamaa mno. 1. Udhaifu Tume inafanya kazi manual, yaani chaguzi za watahiniwa / wasahili...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wananchi sasa wamechoka kuendelea kuwa na baridi ya kifikra juu ya mateso ya ccm. Tazameni hii video chini mtoe maoni yenu.
4 Reactions
24 Replies
3K Views
MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amejumuika pamoja na viongozi wa Dini, Serikali, Chama Cha Mapinduzi na Wananchi mbalimbali katika Dua maalum aliyoiandaa ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Akiwa kwenye mahojiano na kipindi maalum cha Clouds leo aliyekuwa Rais wa awamu ya Nne Jakaya Kikwete amesema kuwa mchakato uliokuwa mgumu zaidi kwake ni kuzuia uhuni wa kubadili muhula wa uongozi...
40 Reactions
323 Replies
29K Views
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Mwasonga wamempongeza Katibu wa umoja wa Wazazi Tawi hilo kwa kuwawezesha kupata mfadhili ambaye amefanikisha wao kupata eneo la Chama.
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ameunda Kikosi kazi chenye Wajumbe 11 kitakachoangalia mwenendo wa Demokrasia nchini humo Kikosi kazi kimepewa Siku 14 kukamilisha kazi yake na kumkabidhi Ripoti...
4 Reactions
54 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu anataka kuifanya Tanzania kuwa nyumba ya Haki. Kutenda haki ni kuwa na akiba ya kesho kila mmoja wetu anatakiwa amthamini mwenzake na kumpatia haki anayostahili. Rais Samia ana...
2 Reactions
13 Replies
762 Views
Katika pita pita yangu humu JF nimekutana na huu mjadala kati ya ninaoamini ni watetezi wakubwa wa kazi iendelee na wana CCM kindaki ndaki. A: Kazi iendelee, Shaka apewe Urais tu! B: Bado...
1 Reactions
4 Replies
619 Views
Hawa mawaziri wetu wamekuwa kama yule mpuliza filimbi wa Hamelin I kelele nyingi sana; wanashindana na MITANDAO leo nimeona kwenye tangazo moja mchele supaa kabisa kilo 1500 kutoka mikoani , akini...
17 Reactions
58 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…