Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SHAKA:RAIS SAMIA KANYAGA TWENDE,CHAMA KINARIDHISHWA, WANANCHI WANAKUELEWA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amemtia shime Rais Samia Suluhu...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Nazir Karamagi na Yogesh Manek watafanikiwa kuendelea kuinyonya Tanzania kupitia bandari ya DSM? Na Juma Kambi, Kuli Bandarini DSM Wawili hawa ni wamiliki wa kampuni ya kusimamia makontena...
1 Reactions
2 Replies
889 Views
Dar es Salaam. Kesi ya wabunge wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya chama chao hicho cha zamani imeanza...
13 Reactions
50 Replies
12K Views
RAIS SAMIA AZINDUA CHUO CHA VETA MKOA WA KAGERA. - Ni chuo Cha kisasa kilichogharimu Shilingi Bilioni 22 ikiwa ni ufadhili kutoka Serikali ya China. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
1 Reactions
0 Replies
980 Views
Kura ya kuilaani Urusi kwa kitendo chake cha kuyaongezea majimbo ya Donesk, Luhansk, Kherson na Zaporizhia kwenye ramani ya nchi yao imepigwa kwenye Umoja wa Mataifa, huku Tanzania ikiamua...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Geita. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku mbili mkoani Geita ikiwa ni ziara yake ya kwanza ya kikazi toka achaguliwe kuongoza Watanzania. Akizungumza na waandishi wa...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
OWMS YAENDESHA MASHAURI 6,043 YA MADAI NA USULUHISHI ❖ OWMS Yaiwakilisha Serikali Kwenye Mashauri ya Madai na Usuluhushi ❖ Yamaliza Migogoro na Wawekezaji, Wafanyabiashara kwa Njia ya Majadiliano...
0 Reactions
0 Replies
534 Views
Rais Samia Suluhu katika ufunguzi wa chuo cha ufundi mkoani Kagera leo ameongelea mambo mengi sana lakini lililonikosha ni hili la kusomesha vijana wanaotoka katika familia duni hii inaonyesha kua...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni kudhoofika kwa hali ya juu kwa Taifa, kujifanya huelewi hata kwa mambo yaliyo wazi. Tanzania ya enzi za Mwalimu, Tanzania yenye misimamo thabiti juu ya mambo yaliyo wazi, yenye kutoa kauli...
3 Reactions
11 Replies
688 Views
Baada ya Baraza Kuu la Chadema kutupilia mbali Rufaa zao na kuthibitisha kuwafukuza uanachama wa Chadema, Halima Mdee na wenzake hawatathubutu kwenda Mahakamani Kwa sababu zifuatazo; 1. Watakuwa...
27 Reactions
50 Replies
5K Views
Labda ni mawazo yangu kulingana na mambo ya hapa na pale yanayotokea kwenye nchi yetu. Wakati sijaanza kukusimulia ndoto yangu. Nikuchekeshe kidogo, utajisikiaje kama utapewa adhabu ya kuto...
1 Reactions
0 Replies
602 Views
Nasema hivo kwa kuwa tokea aingie kinachofaanyika ni ujuaji na kubishana tu na watendaji wenzake! Mosi! Mfano mzuri ni ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege MWANZA maana mkuu wa mkoa amesikika...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
Tunaposema kila Mtanzania amuunge mkono Rais wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hassan tunamaanisha mambo kama haya, Niwe mkweli tu tangu Uhuru Mama huyu ni watofauti sana hebu ona alichofanya kwenye...
21 Reactions
109 Replies
9K Views
Spika mstaafu mh Makinda amesema Mwalimu Nyerere alikuwa na Nidhamu ya Muda Katika kutimiza jambo lolote. Hivyo Makinda amewataka viongozi wa sasa waige tabia ya kuheshimu muda kutoka kwa baba wa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ama tuseme ni ile hali ya kutengeneza tatizo kisha kurudi na namna ya kulitatua? Simlaumu sana rais.. Maana kila jicho linamwangalia yeye, huku naye macho yake yakitegemea watendaji wake! Hawa...
20 Reactions
62 Replies
4K Views
Ndugu yangu John Mnyika, umekitumikia CHADEMA toka ukiwa Mwanachama wa kawaida, Mbunge hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Hakuna anayeweza kupinga kuwa muda wako mwingi umetumia kutetea Chama chako...
6 Reactions
68 Replies
5K Views
Mkuu wa Wilaya Ilala jijini Dar es salaam Sophia Mjema leo Mei 4 ameagiza kukamatwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Namaingo Business Agency, Ubwa Ibrahim baada ya kudaiwa kuwatapeli wananchi zaidi ya...
6 Reactions
86 Replies
21K Views
Naamini TAKUKURU wapo kuanzia Ngazi ya Wilaya mpaka TAIFA katika ngazi ya Wilaya ndiko ambako Serikali imemwaga Mabilioni ya Fedha ambazo ni KODI TOZO na MIKOPO yanapelekwa kwenye MIRADI...
0 Reactions
7 Replies
639 Views
Upelelezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabiliwa washtakiwa 13, wakiwemo waliyokuwa watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), bado haujakamilika. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashitaka...
4 Reactions
30 Replies
5K Views
Back
Top Bottom