Hilo gari la polisi limepita hapo lilikuwa linawalinda wabomoe vizuri au
tatizo letu watanzania ni woga, ona comment yako, woga mtupu. Unakufa kama wanawake wa Iran...wanaume kama mabinti na sasa mabinti wametuzidiKwenye kutenda mnakuwa wengi ikianza kamatakamata hapo ni kila mtu na nafsi yake.
Acha uzuzu na woga wa kipumbavuKwenye kutenda mnakuwa wengi ikianza kamatakamata hapo ni kila mtu na nafsi yake.
NYUNDO ilotumika kubomoa Ina RANGI ya KIJANI kama Ile iliyoko kwenye nembo ya chama Cha KIJANI .Wananchi sasa wamechoka kuendelea kuwa na baridi ya kifikra juu ya mateso ya ccm.
Tazameni hii video chini mtoe maoni yenu.
View attachment 2383627
Your too judgmental brother. Nimeandika nilichowaza mimi ila anyways sihusiki na ulichoelewa wewe.Acha uzuzu na woga wa kipumbavu