Makamba amedanganya Umma Mbele ya Rais Geita

voicer

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
5,545
Reaction score
11,944
Ni hivi majuzi,Serikali hii ya CCM chini ya Rais Samia ilitangaza kufuta bei ya kuunganisha umeme wa REA kule vijijini.
Kutoka ile ya 27,000/= mpaka 320,000/=.

Sasa Makamba mbele ya Rais anatamka serikali kuendelea na uunganishaji umeme wa REA vijijini Geita,takriban vijiji 1400 bila kuainisha ni kwa bei ipi?

Kuna ushahidi kote nchini juu ya kusuasua na baadhi ya sehemu kusimama kabisa kwa zoezi la REA kwa bei e ya zamani.

Sasa hivi bei inayoendelea ni hii mpya ya 320,000,ingawa mteja haambiwi rasmi,bali anaishia kuchengwa kimyakimya.
Huku wale wana tender sasa hivi kupitia App ya Nickonect ya Tanesco,na kwa bei mpya.
Ndio wanaoendelea kuunganishiwa Umeme huo.

Pia Makamba ametumia muda wake kuendelea kuipigia chapuo miradi mipya ya umeme wa maji kupitia mto Rusumo na mingineyo mitatu,ambayo inatarajiwa kuzalisha megawati 400,
pale itakapokamilika.

Lakini cha kushangaza zaidi ni pale ambapo Makamba amemaliza hotuba yake,kwa kuendelea kuinadi gesi ya kupikia ya Rostam,bila kututajia kinachoendelea kule kwenye mradi mkubwa wa uzalishaji umeme la JNHP!
Je!
Hii hii nini maana yake?

Alamsikhi!

====

UFAFANUZI

Ufafanuzi

Ndugu mteja

Tunakukujulisha kuwa gharama za kuunganishia wateja wa vijijini zipo pale pale yaani ni Tsh 27000 tu, gharam uliyotaja hapo ya 321000 inahusisha wateja wa mijini waliopo ndani ya mita 30, Kwa maelezo haya tafadhali onesha ushahidi wa mteja wa REA aliyelipia kiwango zaidi tulichotaja kwa hatua zaidi

Ahsante
 
Jamaa anaupotezea mradi mkubwa wa umeme wa maji, kisha anaendelea kuipigia debe miradi midogo ya umeme wa maji, akitoka hapo anaenda kuipigia debe gesi ya swahiba wao..

Hii serikali imekaa kiujanja janja mpaka mtoto mdogo ataitambua, ni watu wanaoonekana walikuwa na hamu sana ya kurudi kwenye system sasa ndio wanatimiza malengo yao.

Ameamua kwa uwazi kabisa kufanya biashara huku akiwa kiongozi wa serikali huku mamlaka zinamuangalia tu, na sisi pia tunamuangalia tu, wacha wajidai.
 
Mradi mkubwa wa umeme hela ipo!?..yule jamaa yenu aliambiwe ajenge kinyerezi 3&4 akakimbilia huo mradi kana kwamba hela anazo
 
Ni lini serikali ilitoka na kutamka kwamba mradi ule pesa ya kuuendesha haipo?

Au wewe cheti fake ndio unaijua hazina ya nchi kuliko waziri wa fedha?

Kama una uchungu na Magufuli binafsi,bado hujazuiwa kumfuata alipo ili mkamalizane. Hukohuko...
.maana hauhotaji ticket wala viza ili kufika huko.
Ni wewe na Roho yako tu!
 
Yani kinachoendelea hivi sasa nchi hii,ni kumsifia Samia kusha kumpangia ziata nyingi huku nchi ikifilisiwa na hili genge la Msoga team!
 
Ni lini serikali ilitoka na kutamka kwamba mradi ule pesa ya kuuendesha haipo?

Au wewe cheti fake ndio unaijua hazina ya nchi kuliko waziri wa fedha?

Kama una uchungu na Magufuli binafsi,bado hujazuiwa kumfuata alipo ili mkamalizane. Hukohuko...
.maana hauhotaji ticket wala viza ili kufika huko.
Ni wewe na Roho yako tu!
Mradi kuendesha au kujenga!?..utaendesha kitu hakijakamilika!!!...ule mradi mwanao atafika la nne itakua haujakamilika,$3.4b si mchezo
 
Ni hivi majuzi,Serikali hii ya CCM chini ya Rais Samia ilitangaza kufuta bei ya kuunganisha umeme wa REA kule vijijini.
Kutoka ile ya 27,000/= mpaka 320,000/=.

Sasa Makamba mbele ya Rais anatamka serikali kuendelea na uunganishaji umeme wa REA vijijini Geita,takriban vijiji 1400 bila kuainisha ni kwa bei ipi?

Kuna ushahidi kote nchini juu ya kusuasua na baadhi ya sehemu kusimama kabisa kwa zoezi la REA kwa bei e ya zamani.

Sasa hivi bei inayoendelea ni hii mpya ya 320,000,ingawa mteja haambiwi rasmi,bali anaishia kuchengwa kimyakimya.
Huku wale wana tender sasa hivi kupitia App ya Nickonect ya Tanesco,na kwa bei mpya.
Ndio wanaoendelea kuunganishiwa Umeme huo.

Pia Makamba ametumia muda wake kuendelea kuipigia chapuo miradi mipya ya umeme wa maji kupitia mto Rusumo na mingineyo mitatu,ambayo inatarajiwa kuzalisha megawati 400,
pale itakapokamilika.

Lakini cha kushangaza zaidi ni pale ambapo Makamba amemaliza hotuba yake,kwa kuendelea kuinadi gesi ya kupikia ya Rostam,bila kututajia kinachoendelea kule kwenye mradi mkubwa wa uzalishaji umeme la JNHP!
Je!
Hii hii nini maana yake?

Alamsikhi!
Ufafanuzi

Ndugu mteja

Tunakukujulisha kuwa gharama za kuunganishia wateja wa vijijini zipo pale pale yaani ni Tsh 27000 tu, gharam uliyotaja hapo ya 321000 inahusisha wateja wa mijini waliopo ndani ya mita 30, Kwa maelezo haya tafadhali onesha ushahidi wa mteja wa REA aliyelipia kiwango zaidi tulichotaja kwa hatua zaidi

Ahsante
 
Wakakutana kwenye vijiwe vya magazeti akili zipo kwenye kurasa za sports Tu.
 
Mradi mkubwa wa umeme hela ipo!?..yule jamaa yenu aliambiwe ajenge kinyerezi 3&4 akakimbilia huo mradi kana kwamba hela anazo
Hakuna Mradi uliowahi kukwama mbele ya Magufuli! Na hakuna mradi ambao ungekwama iwapo angekuwa bado yupo! Tulijengwa tabia ya kuwa low expactations kuwa hatuwezi yeye akajaribu kufundisha watu kuwa na high expectations kuwa kila jambo0 linawezekana, lakini sasa tunarudishwa kwenye low expactations tena eti hakuna hela wakati hela za kusafri dunia kote na za kulipia misafari mirefu ya ziara za mwaziri zipo.
 
Ni hivi majuzi,Serikali hii ya CCM chini ya Rais Samia ilitangaza kufuta bei ya kuunganisha umeme wa REA kule vijijini.
Kutoka ile ya 27,000/= mpaka 320,000/=.

Sasa Makamba mbele ya Rais anatamka serikali kuendelea na uunganishaji umeme wa REA vijijini Geita,takriban vijiji 1400 bila kuainisha ni kwa bei ipi?

Kuna ushahidi kote nchini juu ya kusuasua na baadhi ya sehemu kusimama kabisa kwa zoezi la REA kwa bei e ya zamani.

Sasa hivi bei inayoendelea ni hii mpya ya 320,000,ingawa mteja haambiwi rasmi,bali anaishia kuchengwa kimyakimya.
Huku wale wana tender sasa hivi kupitia App ya Nickonect ya Tanesco,na kwa bei mpya.
Ndio wanaoendelea kuunganishiwa Umeme huo.

Pia Makamba ametumia muda wake kuendelea kuipigia chapuo miradi mipya ya umeme wa maji kupitia mto Rusumo na mingineyo mitatu,ambayo inatarajiwa kuzalisha megawati 400,
pale itakapokamilika.

Lakini cha kushangaza zaidi ni pale ambapo Makamba amemaliza hotuba yake,kwa kuendelea kuinadi gesi ya kupikia ya Rostam,bila kututajia kinachoendelea kule kwenye mradi mkubwa wa uzalishaji umeme la JNHP!
Je!
Hii hii nini maana yake?

Alamsikhi!
Upuuzi tuu unakusumbua,weka huo ushahidi wako au chuki ndio ushahidi?
 
Ufafanuzi

Ndugu mteja

Tunakukujulisha kuwa gharama za kuunganishia wateja wa vijijini zipo pale pale yaani ni Tsh 27000 tu, gharam uliyotaja hapo ya 321000 inahusisha wateja wa mijini waliopo ndani ya mita 30, Kwa maelezo haya tafadhali onesha ushahidi wa mteja wa REA aliyelipia kiwango zaidi tulichotaja kwa hatua zaidi

Ahsante
Ushaidi hana ni muongo kama waongo wengine gharama za REA ni Sh 27000 tu ndani ya mita 30
 
Back
Top Bottom