Mmesahau zile sauti zilipodukuliwa? Mmesahau alivyojifanya kujipendekeza kwa hayati JPM na kuomba msamaha.
Leo anajinasibu ni mwanasiasa msafi na anahuruma ya upinzani ili iweze kufanya mikutano...
Niliweka thread humu JF kwamba suala la Urusi na Ukraine ni dogo sana kwa mtu asie na ukahaba wa kisiasa wa kufuata bwana atakaekupa maslahi bila kujali utu wa mtu huyo.
Nilisema wazi, leo hii...
Serikali kupitia wizara husika inapasa kufanya mabadiliko kidogo katika sheria ya uhalifu wa kimtandao ya mwaka 2015 yaani Cyber Crimes Act , 2015 kwani tangu ilipoanzishwa na kupitishwa na Bunge...
BARUA YA WAZI KWENDA KWA DKT MWIGULU LAMECK NCHEMBA
Anaandika Hassan Ruangwa
Wasalaam Dkt Mwigulu Lameck Nchemba, Natumai ubukheri wa afya ya akili na Mwili, Dhumuni la Barua yangu kwako ni...
Muswada huo uliosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza Septemba 2022, unaendelea kwenye mchakato, Oktoba 18, 2022 utawasilishwa katika Kamati ya Bunge, Oktoba 19, 2022 wadau watawasilisha maoni yao...
Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka Mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.
Mh ZZK ametufumbua macho sisi...
Akiongea kupitia youtube chanel yake ya GLema Tv amemuonya DPP kuacha kutisha watu.
”…Mimi nimwambie DPP kwamba taifa hili linaanza kushuhudia kuwa yeye ni DPP wa kwanza anayeweza kutoka...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi tarehe 15 Oktoba, 2022 amekutana na kuzungumza na wajumbe wa kamati ya siasa...
Wakati akitoa maelekezo alipotembelea mradi wa kufua wa umeme wa stiglers gorge , Mh. Mpango alipongeza kwa kazi nzuri unayoendelea na kuongea mengi yakiwemo
1. Mkandarasi Hana Uzoefu wa kutosha...
Ni Dk Ogwell.
Huyo mwamba huwa anajifanya mpenda demokrasia na huwahusudu sana wazungu na kuwaponda Viongozi wa ki Afrika.
Sasa juzi Wajerumani wamemuonyesha yeye siyo mwenzao pamoja na kuwa na...
Kwenye Ibada Maalum ya kumbukumbu ya miaka 23 ya kifo cha Mwalimu Nyerere, iliyofanyika huko Mkoani Kagera, Viongozi kadhaa wa Kitaifa wamehudhuria, akiwemo Mh Rais Samia Suluhu na Makamu wake, Dr...
Kipindi cha JPM palikuwa na wababe wa utekaji, uuaji na uporaji.
Ni ktk awamu hii ambapo tulishuhudia utamaduni mpya ukiibuka hapa nchini wa viongozi kutishiwa na bastola mchana kweupe na wengine...
WALIOTUMWA KUIVURUGA CCM JIMBO LA HAI WAANZA KUHAHA, MCHANA WAKO CCM USIKU KWA MBOWE
Na Imani Kwayu
Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi katika Jimbo La Hai umeacha makovu makubwa Kwa wasaliti wa...
1. Mwaka 1985-1995 Tanzania iliongozwa na Rais Alli Hassan Mwinyi. Alilirithi nchi iliyotoka kupigana Vita miaka 5 nyuma na kuacha uchumi uliodhoofika kiasi cha Rais wa nchi Mwalimu Julius...
Hivi ujenzi wa jengo la abiria uwanja wa ndege wa Mwanza kuna nini?
Je, linakwamishwa na maslahi binafsi au kuna mkono wa mtu unazuia lisimaliziwa kwa viwango. Juzi Mkuu wa Mkoa Adam Malima...
Hii ndio Chadema
Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika amesema Serikali inatakiwa ieleze ndani ya Bunge na Nje imejipangaje kukabiliana na baa la njaa linalokuja na bei kali za bidhaa...
Mama Samia tuokoe sisi maskini na usisahau kumkamata Biswalo ambaye katudhulumu sisi wanyonge bila makosa yoyote.
Najua naye yule angekuwepo angekamatwa pia kwa kudhulumu watu uhai na pesa zao...
Habarini wakuu.,
Nimeona kuna haja ya kuja na uzi huu, ni baada ya tathmini halisi iliyofanywa na wachambuzi mbali mbali kuhusu maendeleo ya wazanzibari wote unguja na pemba.
Sera ya Dr Mwinyi...
Si Sawa kuzuia Chama Kikuu cha Upinzani kufanya Siasa zake za ndani nchi nzima
Vyama vya mifukoni vinajulikana lakini Chadema na ACT wazalendo Kule Zanzibar Wana majukumu ya kiserikali...
Mpaka sasa hakuna chombo cha habari kilichoandika au kutanga za maandamano ya wapemba kupinga ujenzi wa kanisa. Hakuna kiongozi yeyote wa kiserikali au wa kisiasa anayeliongelea. Inaweza kuwa ni...