Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameitaka Serikali kuweka wazi gharama ambazo kikosi kazi kimetumia huku akisema hakukuwa na haja ya kuundwa kwa kikosi hicho kwa sababu kazi ya kutafuta maoni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki maadhimisho ya miaka 10 ya kuanzishwa kwa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC), leo tarehe 08 Septemba, 2022 jijini Dar es...
Ndio maana,anatumia nguvu nyingi sana kuuza biashara ya Muajemi,akimpigia chapuo ili apate tenda ya kusambaza hiyo bidhaa ya kupikia kote nchini.
Badala ya kutulia ofisini atatue kero ya stima...
Danadana zinaendelea na kuendelea kutafuna fedha za umma. Ya Nyalali yalitupwa, Kisanga alifokewa na Mkapa, Warioba akashambuliwa na Kikwete na hadi kupigwa ngwala na kijana wake Makonda ambaye...
Nafasi Pekee ya kupata Katiba mpya kwa njia ya kisheria na kidemokrasia Ilikuwa ni mwaka ule 2014
Sina hakika nani aliivuruga ule mchakato kati ya UKAWA na CCM ila ninachoelewa Nahodha Samwel...
Habari za kazi wadau..
Leo nawapa habari njema,Licha ya Mikwara ya Bunge la Umoja wa Ulaya Kuzuia Ujenzi wa Bomba la EACOP lakini ni kwamba wamepuuzwa na ujenzi unaendelea na uko kwenye hatua...
Profesa Ruth Meena amesema Siyo sahihi kuwaweka Wanawake kwenye Kundi Maalum kwa sababu Wanawake ndio wengi kuliko Wanaume hapa nchini
Hivyo kitendo cha Wanawake kuwekwa Kundi Maalum ni...
Hawa Vijana baada ya kushinda kule Australia, sasa hivi wamepata mialiko mingi kwenye nchi mbalimbali kwenda kushiriki mashindano ya sarakasi
Waziri wa Maliasili na Utalii changamkia fursa kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Antoine Tshisekedi, Oktoba 23, 2022 kwa Ziara ya Kiserikali
Watu tuliaminishwa na watu wengine kuwa mobutu alikuwa Rais mbaya saana na yeye ndo chanzo cha vurugu za Kongo
Ndivyo tulivyoaminishwa na historia ya wazungu pamoja na historia ya watu weusi...
Kubali kataa waafrica bado tupo utumwani unakumbuka hii[emoji116]
Huu ni Mtaa Mmoja wapo wa Jiji la Dar es Salaam, ndani ya hilo Gari alikuwepo Rais wa Taifa lenye nguvu duniani yani Barack...
WAZIRI BASHUNGWA AHIMIZA UTUNZAJI WA UOTO WA ASILI NA MISITU.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) ametoa wito kwa Watanzania kutunza uoto wa asili na misitu...
Ninafuatilia kwa karibu kinachoendelea nchi Jirani ya Kenya na kule UK
Itoshe tu Kusema Katika nchi zote za Jumuiya ya Madola Tanzania pekee ndio inaendekeza na kustawisha Siasa za Uchawa
Jumaa...
Wakuu niaje, kuna mikopo ambaypo fedha zake hutengwa kwenye asilimia 10 ya mapato ya halmashauri, mikopo hii inaelezwa inatolewa kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu.
sasa kwenye bajeti...
Mheshimiwa Jaji Mkuu,
Ninaandika haya kwa mambo mawili, kwanza nimesikia wiki jana ukikemea viongozi wa serikali kutoingilia muhimili wako na pia hapohapo ukatangaza kuanza kwa ”Wiki ya Sheria”...
Ndugu Shaka Hamdu Shaka Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi kesho Tarehe 23 Oktoba, 2022 atafanya mkutano na waandishi wa Habari, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Majaji na Kamishna Jenerali wa Magereza leo tarehe 29 Agosti, 2021 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Viongozi watakaoapishwa...
Uchumi, mila, dini, desturi na huduma zetu za afya haviruhusu kutoa Bima ya afya kwa wote. Matibabu ni hitaji la nne la binadamu nyuma ya hewa, maji na chakula (Maslow's). Jiulize je, jamii yote...
Binafsi, kwa dhati ya moyo wangu, napendezwa na approach ya mheshimiwa Rais wetu namna anavyoyaona mambo na anavyoongoza kwa ujumla. Nafurahia utulivu wake na alivyo juu ya mambo ( over board)...
Karibuni weekend nadhani ipo njema kabisa. Sasa ,mimi nimewaita kwa issue moja tu muhimu. Msikasirike sisi watu wenye Ubara ndani yetu huwa hatujui kuuma uma maneno.
Nyie Watanzania wenzangu...