Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni wakati sahihi sasa Tuwe na KATIBA MPYA KATIBA ambayo Watu wote Mil.60 tutatoa Maoni na Mapendekezo yetu na hiyo itaitwa KATIBA ya WANANCHI kwani ndio wenye NCHI. Watanzania tumechoka kuwa na...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
1. Kuhusu Mikutano ya Hadhara na Mikutano ya Ndani ya Vyama Vya Siasa, Kikosi Kazi kinapendekeza Sheria ya Vyama vya Siasa ifanyiwe marekebisho ili: a) kulipatia Baraza la Vyama vya Siasa...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakati kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ikitarajiwa kutajwa leo, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema upelelezi...
1 Reactions
5 Replies
764 Views
Penye njia pana njia Act Wazalendo wana nia thabiti ya kuwa ruling political party. Chadema imejaa waswahili na wajanja ambao hawana nia njema kabisa.
7 Reactions
56 Replies
4K Views
Nafasi aliyopewa Suzan Kaganda ni nafasi ya juu sana ndani ya jeshi la polisi. Ni muadilifu na mwenye misimamo. Anakwenda kusimamia nidhamu, utawala na uendeshaji wa Jeshi la Polisi. Tutegemee...
17 Reactions
52 Replies
6K Views
Hivi vyama vinafanana Falsafa zake na husaidiana kupambana na CHADEMA na kwa kuwa ni vyama vya kijamaa, kwa nini chama kidogo cha kijamaa (ACT) kisijiunge na chama Kikubwa cha kijamaa (CCM) na...
1 Reactions
11 Replies
704 Views
UTANGULIZI Maisha ya mwanadamu yamejikita katika ngazi mbalimbali za kijamii kulingana na muundo au mfumo ambao jamii husika hujiwekea. Ukubwa wa jamii zetu huanzia chini kabisa na hatimae...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeona picha ina trend ya kiti cha Raisi kuingizwa kanisani kwamba hawezi kalia kiti kingine tofauti na cha kwake kutoka Dodoma. Baada ya hapo nikakumbuka picha ziliozo triend za Raisi Ruto...
11 Reactions
185 Replies
13K Views
Nasema hivyo Kwa sababu, Vilaza na wafoji vyeti, mpaka Leo bado wanamachungu na hayati JPM Mpaka sasa bado wanalisakama jina lake, licha kwamba aliwasaidia ili warudi shule kuongeza marifa Bado...
21 Reactions
83 Replies
4K Views
  • Closed
Wakuu, Tunafarijika kuwafahamisha kuwa tumerejea hewani baada ya kupata mashambulizi ya makusudi yenye kulenga kuzuia upatikanaji wa huduma kwa watumiaji wa JamiiForums (DDOS Attack) kwa...
51 Reactions
335 Replies
37K Views
Atakayebisha kuwa CCM hawaibi kura basi huyo ni mwehu. Wanasema kuwa kinachosemwa na mpishi ndiyo chakula halali. Haya maneno yanasemwa na mwana ccm mwenyewe kama anavyoonekana.
13 Reactions
29 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amewataka wadau wa mifugo kutoa elimu ya ufugaji bora kwa wafugaji ili kuwawezesha kufanya ufugaji wa kisasa ambao utaepusha ng'ombe kutembea umbali mrefu...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Yapata miaka 7 tangu 2015 Mchakato wa mabadiliko ya katiba mpya ulipokwama baada ya wawakilishi wa makundi mbalimbali katika bunge la katiba kushindwa kuafikiana kupitisha katiba pendekezwa...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Sababu mama ni kuwa Katiba mpya ndio Tiba ya matatizo yote ya Tz,kama ilivyoelezwa kwenye rasimu ya Jaji Warioba na mama alikua Mwenyekiti wa Bunge la katiba anajua zaidi yangu faida za katiba...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Maoni ya kikosi kazi, kilichokuwa kikiongozwa na Profesa Mkandala, kimewasilisha rasmi maoni yake kwa Rais Samia, iliyoyakusanya kutoka kwenye makundi mbalimbali ya wananchi. Hata hivyo...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Wapendwa, bila shaka kila Mtanzania ana shauku ya kuona Katiba mpya inapatikana sasa. Nitoe rai kwa wenye mamlaka. Ni muhimu sana kutilia maanani suala la upatikanaji wa Katiba mpya sasa.
3 Reactions
2 Replies
584 Views
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati...
66 Reactions
433 Replies
33K Views
KAMATI YA BUNGE YAPOKEA TAARIFA YA UJENZI WA SHULE MPYA KUPITIA MRADI WA SEQUIP. OR -TAMISEMI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Bora na Serikali za mitaa (USEMI) ikiongozwa na Mhe. Jaffari A...
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Tuhuma za Erick Kabendera dhidi ya Marehemu Magufuli, ni nzito mno ikiwa ni pamoja na madai ya Kabendera kuwa Magufuli alitaka kumkamata Kikwete kwa tuhuma za kuhongwa fedha na mfanyabiashara...
20 Reactions
160 Replies
12K Views
Nimeona maajabu Mkoa wa Geita. Kila Rais anakopita haruhusu wananchi watoe yaliyo moyoni mwao kwa nini? Ukweli wananchi wana kero nyingi ambapo JPM alikuwa anawasikiliza na watu kuuliza sasa...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Back
Top Bottom