Way back, Mapokezi ya Bush na Obama

Itscharlie

JF-Expert Member
Apr 15, 2022
3,795
15,777
Kubali kataa waafrica bado tupo utumwani unakumbuka hii

Huu ni Mtaa Mmoja wapo wa Jiji la Dar es Salaam, ndani ya hilo Gari alikuwepo Rais wa Taifa lenye nguvu duniani yani Barack Obama wa Marekani.Unakumbuka tukio gani kwenye ujio wake? nakumbuka barabara zilipigwa deki kabisa watu walipigwa na jua kwanzia asubuhi Hadi muda waliowaasiri.
20221022_204711.jpg
images%20(1).jpg
 
Hahaha nakumbuka barabara zilipigwa deki, watu walikaa pembeni ya barabara kumsubiri, zipo familia walipika wali na nyama.

Pale mjini shule na vyuo vilikatazwa kufunguliwa, nakumbuka nilikua IFM wakati huo, masomo yalisimamishwa kwa muda.

Nchi z Africa zina laana na ushamba wa asili, hili tutakataa hadharani ila tutalikubali kimoyo moyo, ndani kwa ndani.
 
We una wabishia na uku ARV wanakusaidia mpaka leo.
Na huenda hata ndugu yako muhanga
 
Na kumbuka Bush alipokuja Arusha miaka ile, sasa pale kwenye barabara inayotoka sanawari kushukia huku AICC kulikuwa na polisi wengi waliojipanga pembeni ya bara bara wakimsubiria Bush mwenyewe atimbe akitokea KIA, basi wakaja watu kadhaa, kama wanne hivi, wawili ma Black na wawili wa zungu, wakaangalia angalia wale askari wetu waliojipanga barabarani kisha wakaanza kuwasukuma nje ya barabara !! Halafu wakawaamuru waondoke maeneo hayo chap! Maafande wetu wakatii bila shuruti na kusepa ASAP! nilijidharau mno

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hahaha nakumbuka barabara zilipigwa deki, watu walikaa pembeni ya barabara kumsubiri, zipo familia walipika wali na nyama.

Pale mjini shule na vyuo vilikatazwa kufunguliwa, nakumbuka nilikua IFM wakati huo, masomo yalisimamishwa kwa muda.

Nchi z Africa zina laana na ushamba wa asili, hili tutakataa hadharani ila tutalikubali kimoyo moyo, ndani kwa ndani.
Nakumbuka bush anakuja tulimsubiri toka saa 8 Hadi saaa 2 usiku ndio anafika na ndege yake ya Obama ndo ilikuwa show kabambe
 
Na kumbuka Bush alipokuja Arusha miaka ile, sasa pale kwenye barabara inayotoka sanawari kushukia huku AICC kulikuwa na polisi wengi waliojipanga pembeni ya bara bara wakimsubiria Bush mwenyewe atimbe akitokea KIA, basi wakaja watu kadhaa, kama wanne hivi, wawili ma Black na wawili wa zungu, wakaangalia angalia wale askari wetu waliojipanga barabarani kisha wakaanza kuwasukuma nje ya barabara !! Halafu wakawaamuru waondoke maeneo hayo chap! Maafande wetu wakatii bila shuruti na kusepa ASAP! nilijidharau mno

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Africa bado sana m kila nikikumbuka nilivopigwa na jua kisa namsubiri binadamu mwenzangu kisa tu anacheo kikubwa najionaga mjinga sana.
 
Nakumbuka mwaka 2000 kama sikosei Billy Clinton alikuja Arusha kama Rais.tulikua bado wadogo sana kipindi kile,ila nakumbuka lile nyomi la kuanzia sanawari mpaka AICC pale lilikua kubwa mno.
 
Back
Top Bottom