Watumiaji wa simu za mkononi wameendelea kuongezeka nchini ikielezwa kuwa ni kutokana na mazingira wezeshi katika sekta ya mawasiliano kuelekea uchumi wa kijidali.
Hayo yamebainishwa katika...
Suala hili la kujiuzulu haswa katika nyadhifa za utawala ndani ya sirikale ya CCM. Hili limekuwa ni mwiba mkali sana kwao maana kila linapotkea jambo lisilokuwa na mashiko na ikatokea shinikizo...
Mbunge tunamvua ubunge, alafu ndani ya week anahamia CCM, huyo huyo anasimamishwa kugombea tena,
Je spika alomvua ubunge atakuwa na akili timamu?
Tume ya uchaguzi inaweza kumpa kweli form tena ya...
Hatimaye aliyekuwa Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Josephine Mushumbusi.
Wawili hao walifunga ndoa nchini Canada jana katika kanisa moja...
Wadau bado Najiuliza kwanini Serikali imetumia kodi za Wananchi kuunda kikosi kazi kufanya kazi ambayo ilikwishafanywa na tume ya Warioba kwa gharama?
Isitoshe tume ya Warioba ilikusanya maoni na...
Inna lillah waina ilayhi rajiun Mhe Mwinyi Haji Makame ametangulia mbele ya haki saa hivi ameanguka ghafla nyumbani kwake amekimbizwa hospital hakufika.
Marehemu ni Mwakilishi wa ACT zanzibar
* Huyu Mukama ni mgonjwa anasema Wananchi wajifunze ya Misri Eti Kuandamana kwao kama Chadema kumeashiria Nchi kuongozwa Kijeshi
Wednesday, 11 May 2011 11:11 newsroom
NA WAANDISHI WETU -...
Waafrika tuna ufundi mwingi wa kujihusianisha na watu maarufu wenye madaraka makubwa huko Ulaya na US. Mtu hata anayeonekana kama ni mchovu tu akianza kuongea atataka awatishe wanaomsikiliza kwa...
NIMEKUA JAPO NI KIDOGO.
Nimefikisha umri wa miaka 27, ninaishangaa akili yangu inayoanza kunirudisha miaka kumi na mitatu 13 nilipokuwa shule ya msingi huku ikiniambia itazame jamii yako...
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amefafanua ukaribu wake na Mwanasiasa Benard Membe akieleza kuwa hana undugu naye kama ambavyo wengi wanazungumza
CHANZO: Mwanachi Instagram
--
Rais Mstaafu, Jakaya...
Kwenye mfumo wa Elimu Yetu tuna matatizo mengi sana ambayo kwa haraka haraka inawezekana ikatuchukua hata miaka zaidi ya 20 kuyarekebisha, tena kama tukiwa makini na tuliodhamiria kufanya...
Kila mara CHADEMA! CHADEMA! CHADEMA! Mara CHADEMA hivi mara CHADEMA vile. Siku mkisikia mtu wa CHADEMA ameongea tu na kiongozi wa CCM basi Lumumba kunapikwa pilau na biriani. CHADEMA wakipita tu...
Daah nchi ina ujinga mwingi sana aise kuna watu wanapenda mamlaka balaaa! Msaidieni Gwajima, ubunge sio cheo cha kimamlaka/udola. Ni cheo cha kisiasa cha kuhudumu umma tu kama kiunganishi cha...
Makala hii imeandikwa katika gazeti la Raia Mwema (25/10/2022).
HESABU za kisiasa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) mara zote ni kama zinakosa uhalisia, hali ambayo inasababisha wao...
Habari wana JF, natumaini wote baadhi yenu ni wazima wa afya, na wale wasiyokuwa wazima afya, nawaombea mtakuwa wazima afya pia.
Kabla sijasema sana napenda kuweka wazi kuwa mimi siyo mnazi wa...
Nape Nnauye ambaye ni Katibu wa zamani wa Itikadi na uenezi wa CCM, amenukuliwa leo akitaka mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa iruhusiwe, kwa vile jambo hilo litasaidia kuamsha chama chake cha...
CHADEMA wapo kimya ila CCM wenyewe kila siku ndiyo wamekuwa wasemaji kwa niaba ya CHADEMA. Yaani CHADEMA wakitaka kusema CCM wanatumia vyombo vya dola kuwazuia kusema, wakikaa kimya bado inakuwa...
Kazi ya kuandika katiba inapaswa kupewa umuhimu wa juu kwani ni tendo takatifu linalotupeleka kwenye maisha mapya ya uhuru wetu.
Taifa letu bado liko katika mfumo wa kikoloni lakini mkoloni wa...
Habari wana JF,
Kupitia uchambuzi wa magazeti redioni, kuna habari kuhusu FINCA ilivyomfilisi mtu kwa deni la laki sita na kuuza nyumba ya mdaiwa mwingine yenye thamani ya mil.20 kwa deni la mil...
Ni wakati sahihi sasa Tuwe na KATIBA MPYA KATIBA ambayo Watu wote Mil.60 tutatoa Maoni na Mapendekezo yetu na hiyo itaitwa KATIBA ya WANANCHI kwani ndio wenye NCHI.
Watanzania tumechoka kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.