Gazeti la Mwananchi..'Mwigulu anafanya Kile Alichokikataa Kwa Wengine' Makala inamhusisha na Hujuma kwa Rais.

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,586
14,137
Gazeti la Mwananchi limenukuu kitabu alichoandika mtumishi wa Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani kikielza jinsi washirika wa Rais wa 11 wa Ufikipino Madam Carry Aquino alivyohujumiwa na washirika wake wa karibu..

Kwa mujibu wa maudhui ya makala hii linamtaja Mwigulu Nchemba kwa kuhusika na jambo hilo Kwa kufanya mambo Kinyume na maelekezo ya mh.Rais.,

Binafsi ni mshabiki wa Mwigulu Nchemba na siamini contents za hii makala ingawa Mwigulu amekuwa na tabia ya mwenendo wa ukigeu geu..👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220923-084010.png
    Screenshot_20220923-084010.png
    125.8 KB · Views: 3
Gazeti la Mwananchi limenukuu kitabu alichoandika mtumishi wa Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani kikielza jinsi washirika wa Rais wa 11 wa Ufikipino Madam Carry Aquino alivyohujumiwa na washirika wake wa karibu..

Kwa mujibu wa maudhui ya makala hii linamtaja Mwigulu Nchemba kwa kuhusika na jambo hilo Kwa kufanya mambo Kinyume na maelekezo ya mh.Rais.,

Binafsi ni mshabiki wa Mwigulu Nchemba na siamini contents za hii makala ingawa Mwigulu amekuwa na tabia ya mwenendo wa ukigeu geu..👇
Kaskazini mnaendelea kusotea Uwaziri! Leteni hja za maana. Sio lazima kila awamu muwe na waziri wa fedha. Zamu hii ni Iramba.
 
Back
Top Bottom