voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,944
1-Tangu lini mtu anayelala mlango wazi usiku akawa mwenye furaha?
2-Tangu lini mtu akaufurahia Umaskini na kujivunia wingi wa Madeni?
3-Hivi tangu lini mtu mwenye umaskini wa kipato Njaa,Ukosefu wa ajira,Elimu Duni,na tena ikielekea ku-Dunishwa zaidi siku si nyingi.
Akawa mwenye furaha?
4-Na huko matumboni amewaunganisha watanzania wangapi?
5-Je, ameweza kudhibiti mfumko wa bei za bidhaa muhimu kote nchini?
6-Je, ni watanzania wangapi wanaonufaika na huo ufungukaji wa nchi tofauti na kundi la wachache, mnaoshinda mkipishana kwenye milango ya ndege kwa safari zisizo na tija?
7-Pamoja na Makongamano,Warsha,Semina,Ufunguzi,Uteuzi lukuki ni kipi mnaweza kututajia kama kielelezo chanya kilichotokana na yote hayo kwa Taifa hili?
Mnakaa kutuimbia "Kufungua Nchi"wakati ni kufungua "HAZINA" iporwe!
Mnauza vyakula nje bila tahadhali kuangalia huku kimebaki nini!
Sasa tunaenda kuingia baa la njaa kwa sehemu kubwa,kutokana na ukame unaoinyemelea nchi na Afrika Mashariki kwa ujumla.
Ukianzia huko juu Somalia na sasa uko Northern Kenya,huku ukiwa unabisha hodi Tanzania.
Au mnataka njaa itunyooshe ili CCM muweze kutumia chakula cha msaada wa njaa kwenye kampeni 2025?
Huyo Mama "Nyasafari" wenu,mnampangia safari lukuki,ili mpate mwanya na nafasi ya kuiba!
Na vile mmemjua anapenda kusifiwa,mkishaiba na kuficha,ndio mnasambazwa machawa kama wewe "mshamba" kuja huku kutuletea ujinga wenu!
Hivi nyinyi walamba "ASALI" mnaijua "HASIRA" iliyoko kwenye vifua vya wananchi hususan walalahoi mitaani.na vijijini?
Hasahasa Machinga wote nchini?
Ambao wengi kwa maelfu nchini,wamevurugiwa miundombinu yao na hatimae wengi kupoteza raslimali mtaji yao,huku wakiwa hawawezeshwi kwa mikopo, ili wajikusanyie nguvu ya mitaji na hatimae kurudia kwenye ujasiriamali wao huko walikopelekwa upya!
Na hilo ndio kundi kubwa ambalo,kama msipolijali na kuendelea kuliacha.
Ndilo litakaloinufaisha chadema na wapinzani wengine nchini.
Endapo kama wakijua kulitumia ili kumpiga "Mama Nyasafari" wenu chini,uchaguzi ujao 2025.
Alamsikhi.