Rais Samia Suluhu Hassan, muondoe Mwigulu

adobe

JF-Expert Member
May 6, 2009
2,776
1,877
Naandika kwa heshima taadhima kabisa kukuomba umuondoe katika wizara ya Fedha Phd Mwigulu Mchemba.

Ukijaribu kuona huyu bwana ameweza kukuingiza mkenge mara mbili kwenye suala la tozo.

Mwaka jana alichomeka tozo zikaja kufanyiwa adjustment ambayo inaathiri bajeti na hivyo kupelekea mipango yote isitimie, na sasa tena karudia.

Mh Rais, kwa uchache huu unadhani ni makubwa mangapi anafanya kifichoni na huyajui.

Mbaya zaidi anatujibu sisi wapiga kura wako kuwa waende Burundi, kumbuka kuwa huyu hakupigiwa kura na watanzania wote bali na watu wa jimbo lake pekee ila wewe utapigiwa kura na Watanzania wote.

NB: Mwigulu, nkuita Mwigulu mdomo uliponza kichwa.
 
Kiufupi Mwigulu ndiye anaibeba hii Serikali Kwa sasa na yeye amekubali kujitoa kafara, tatizo amevimbewa na Kwa mdomo mchafu, dharau, kibri na jeuri ya kukalia fedha. Kimfumo wao hana tatizo na mtu, hawana uwezo na nguvu ya kumtoa na hio hoja ya mashiko hawana ya kumtoa.
 
Mwigulu ameondoa tozo kwenye miamala ya mabenki inayofanywa maeneo machache nchi kwasababu ya ukosefu wa huduma za kibenki maeneo mengi vijijini.

Halafu akaacha tozo kwenye miamala ya simu inayopatikana maeneo mengi nchini, sasa hapo amemsaidia nini mtanzania wa kawaida?

Hiyo PhD yake ya ujinga sijui aliisomea chuo gani.
 
Mama anasoma humu jamani, anaona
Kodi ni muhimu sana ila utii na unyenyekevu mdomoni na akilini ni lazima sio ombi, tunaihitaji Kodi ili tusonge mbele ila ije katika hamasa na matamko yenye Nia njema na kutoa moyo bidii ya kusongesha uchumi na maendeleo.

Kimuonekano Mwigulu anafana na Rais Kikwete, sijui historia ya Kikwete ila kama damu yake vile, sina hakika ila nikimcheki Mwigulu kila siku naona kitu Kwa Kikwete.

Mwigulu anafaa ila kwa Ile kauli ngumu kusamehewa na Samia atachukiwa sana Mwigulu akiendelea kubaki hapo. Mwigulu Cha ajabu yeye ndiye nguzo ya uchumi mtachagua wenyewe, mimi nataka abaki ila aombe radhi waziwazi pale bungeni kuhusu kuhamia Burundi na kwamba sisi watanzania ndio tuliomba tozo za miamala. Kodi ni muhimu Kwa maendeleo haikwepeki
 
Naandika kwa heshima taadhima kabisa kukuomba umuondoe katika wizara ya Fedha Phd Mwigulu Mchemba.

Ukijaribu kuona huyu bwana ameweza kukuingiza mkenge mara mbili kwenye suala la tozo.

Mwaka jana alichomeka tozo zikaja kufanyiwa adjustment ambayo inaathiri bajeti na hivyo kupelekea mipango yote isitimie, na sasa tena karudia.

Mh Rais, kwa uchache huu unadhani ni makubwa mangapi anafanya kifichoni na huyajui.

Mbaya zaidi anatujibu sisi wapiga kura wako kuwa waende Burundi, kumbuka kuwa huyu hakupigiwa kura na watanzania wote bali na watu wa jimbo lake pekee ila wewe utapigiwa kura na Watanzania wote.

NB: Mwigulu, nkuita Mwigulu mdomo uliponza kichwa.
Unamuonea bure Mwigulu haya mambo yana baraka zote za Ikulu
 
Kodi ni muhimu hatukatai ila siyo za uonevu hazikubaliki kwa namna yoyote ile
 
williamswtf.png

Huyo Jamaa vipi?
 
Naandika kwa heshima taadhima kabisa kukuomba umuondoe katika wizara ya Fedha Phd Mwigulu Mchemba.

Ukijaribu kuona huyu bwana ameweza kukuingiza mkenge mara mbili kwenye suala la tozo.

Mwaka jana alichomeka tozo zikaja kufanyiwa adjustment ambayo inaathiri bajeti na hivyo kupelekea mipango yote isitimie, na sasa tena karudia.

Mh Rais, kwa uchache huu unadhani ni makubwa mangapi anafanya kifichoni na huyajui.

Mbaya zaidi anatujibu sisi wapiga kura wako kuwa waende Burundi, kumbuka kuwa huyu hakupigiwa kura na watanzania wote bali na watu wa jimbo lake pekee ila wewe utapigiwa kura na Watanzania wote.

NB: Mwigulu, nkuita Mwigulu mdomo uliponza kichwa.
Mwigulu ana kosa gani?,unafikiri tozo alijitungia?
Fuatilia collective responsibilities ndio ulete ungese wako
 
Kodi ni muhimu hatukatai ila siyo za uonevu hazikubaliki kwa namna yoyote ile
Wanaonea kisa ni wezi na wanaiba kweli, ndio mgutuke Sasa, Tozo ya miamala ya kibenki haijafutwa mkumbuke hilo mkienda Benki October chukueni receipts mtajua makato wakati wa withdrawals zenu. He lacked explicit details on issues at hand and that's why he was shy throughout.
 
jamaa ovyo sana eti lilisema tozo wananchi walishirikishwa wakazikubali
Sasa mbona amezifuta, huyu jamaa inabidi ajiuzulu kwa udanganyifu wake wa waziwazi
 
Kodi ni muhimu sana ila utii na unyenyekevu mdomoni na akilini ni lazima sio ombi, tunaihitaji Kodi ili tusonge mbele ila ije katika hamasa na matamko yenye Nia njema na kutoa moyo bidii ya kusongesha uchumi na maendeleo.

Kimuonekano Mwigulu anafana na Rais Kikwete, sijui historia ya Kikwete ila kama damu yake vile, sina hakika ila nikimcheki Mwigulu kila siku naona kitu Kwa Kikwete.

Mwigulu anafaa ila kwa Ile kauli ngumu kusamehewa na Samia atachukiwa sana Mwigulu akiendelea kubaki hapo. Mwigulu Cha ajabu yeye ndiye nguzo ya uchumi mtachagua wenyewe, mimi nataka abaki ila aombe radhi waziwazi pale bungeni kuhusu kuhamia Burundi na kwamba sisi watanzania ndio tuliomba tozo za miamala. Kodi ni muhimu Kwa maendeleo haikwepeki
Nguzo ya uchumi?!!??
Kivipi?

Mbona wasomi wataalamu wabobevu waadilifu wapo wengi sana nchi hii?!!!
 
Mwigulu ana kosa gani?,unafikiri tozo alijitungia?
Fuatilia collective responsibilities ndio ulete ungese wako
Sasa tunajiuliza mbona kila sehemu anapowekwa panakuwa na matatizo? Wizara ya mambo ya ndani alileta mtifuano na makelele kwa raia. Ikabidi aondolewe kidogo makelele yakapungua. Leo wizara ya fedha mayowe kila Kona nchi nzima. Yaani mtu mmoja anafanya watu wanaishi Kama wapo utumwani.

Unasema je kuwa yeye sio mhusika wa kuleta tozo Kama waziri? Labda tuelimishane maana ya waziri ni kumshauri rais au ni kuamua anavyotaka.

Hawezi kufanya jambo bila kulichunguza kama litaleta madhara kwa jamii na kumshauri boss upokeaji wa wale wanaotendewa au wanaotenda.

Naona apumzishwe tu. Aondolewe kabisa.
 
Back
Top Bottom