Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,828
- 50,508
Kila mara CHADEMA! CHADEMA! CHADEMA! Mara CHADEMA hivi mara CHADEMA vile. Siku mkisikia mtu wa CHADEMA ameongea tu na kiongozi wa CCM basi Lumumba kunapikwa pilau na biriani. CHADEMA wakipita tu mitaani mnaagiza wakamatwe.
Yaani ni kama vile CHADEMA ndiyo chama tawala na CCM ndiyo chama pinzani. Umeme ukiwa wa Mgao mnauliza CHADEMA inasemaje. Mkiwa kwenye mikutano yenu na ACT wakija mnaanza kunung'unika kwamba ni kwa nini CHADEMA hawakuja.
Mna ofisi kila kona ya nchi bado mnataka CHADEMA wajenge yao kama vile hamtumii ofisi zenu kwa kuwa CHADEMA hawana ofisi (wanayo pale Ufipa). Inavoonekana wana CCM wengi wanaitamani sana CHADEMA na wanaihusudu.
Kama ni hivyo jiungeni sasa badala ya kuishia kujipendekeza kwa CHADEMA.