Bodi ya Sukari nchini Tanzania imesema jitihada zinazofanyika za upanuzi na uanzishaji wa viwanda vya uzalishaji wa sukari, vitawezesha kufikia tani 756,000 ifikapo mwaka 2025 hivyo kuondokana na...
Rais Magufuli alirithi nchi yenye mzunguko wa pesa imara na Ukuaji ulioimarika toka kwa Jakaya Kikwete, Uchumi wa Jakaya Kikwete wa kuajiri maelfu ya watu kila mwaka, na kulipa malimbikizo...
VURUGU ZA HAI, KUCHOMWA MOTO OFISI ZA CHADEMA ARUSHA NA UASI ULIOBALEHE NA KUKOMAA NDANI YA CHADEMA
Leo 12:15hrs 15/08/2020
Mwaka 2015 Lissu alisoma mashtaka ya kumfukuza CHADEMA aliyekuwa Naibu...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kimewataka makatibu wa chama hicho kuanzia ngazi ya tawi hadi mkoa kuhakikisha
wanasimamia vizuri mali za chama ili kukifanya chama hicho kuwa na maendeleo...
Makamba! Muunge mkono Waziri Mwenzio Biteko na "Mkaa wa Mawe" badala ya Rostam na "Taifa Gas"
Hapo chini ni taarifa ya serikali![emoji116]
11,Aug,2022.
"Dkt. Biteko amesema STAMICO imeagiza...
BUNGE LA WANANCHI:
KAMATI YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
TAMKO KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE (2022)!
“Mapungufu Makubwa ya Muswada Huu, Tahadhari na Ushauri Wetu kwa Taifa”
I...
CCM ni Chama kinachoamini Katika utu wa Mtu
Moja ya Imani ya CCM ni " Binadamu wote ni Sawa kila mtu anastahili haki ya Kutambuliwa na Kuthaminiwa UTU wake"
Rais Ruto amemtia ndani mkuu wa...
Waziri Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni ametoa agizo hilo baada ya kumalizika muda aliotoa kwa wamiliki wa Mabasi kufunga vifaa vya Mfumo wa Kufuatilia Gari (VTS) au GPS Tracker...
2020 hayati Magufuli alimshauri Tundu Antipas Lissu ajitoe kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu wananchi hawamkubali na kwamba atamteua kumsaidia majukumu mengine lakin " Ni Yeye" akakataa...
Chalamila anaropoka ambayo ametumwa. Haya mambo tunaomba sana. Mwacheni Rais jamani. Huyu ataendelea kuwepo mpaka 2030 so mnaoanza kutaka kufanya mchakato komeni kabisa.
Chalamila anatumika...
Mimi sio muumini wa ubaguzi wa Rangi, kabila wara elimu na vingine vingi.
Ila sijawai kubaliana na mfano Muhindi kuwa mbunge wa morogoro maana hawanaga wanachofanya,ila lazima tukubaliane yakuwa...
Tume za Uchaguzi za nchi za Maziwa makuu zakutana Tanzania kujifunza namna bora ya kuendesha Chaguzi
Ikumbukwe NEC huendesha Chaguzi kwa Uwazi na Uhuru
Chanzo: Star tv
Wananchi wajipange na kununua majenereta.
Wasio na uwezo wa majenereta wanunue taa za kandiri na koroboi.
Wenye pesa za uhakika wanunue Solar power.
This is too much.
Ukiwa Mgeni na SIASA za TANGANYIKA ukisoma Mitandao ya Kijamii ukianzia Facebook Instagram Twita na Jamii Forum Neno au Habari zinazoihusu CHADEMA Zimetawala kwa kiasi kukubwa zaidi ya CCM...
Mheshimiwa Membe nashindwa kuamini kuwa wewe ni mwanaintelejensia makini.
Intelligence maana yake ni uwezo wa kuona mbali zaidi ya wengine that's why hata hapa Tanzania ndege anayeona mbali...
Hivi nini Watanzania hujiita Watanganyikwa wakati ukweli ni kwamba hawakuwa raia wa Tanganyika? Wahindi na Waarabu ndio waliokuwa citizens wa nchi ya Tanganyika.
Mtu mweusi amepata citizenship...
Itifaki imezingatiwa..
Wakatu Waziri wa Nishati, January Makamba Akiandaa Kongamano la kujadili policy intervention ya kuwa na Nishati Salama ya kupikia ili kuokoa vifo vya Wanamama na watoto...
Hakuna ubishi kwamba utendaji kazi uliotukuta wa Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan umewafanya Wapinzani wengi kuona kile walichokuwa wanakipigania kwa miaka mingi ndicho...
Ndugu zangu Rais Samia hakika amefanikiwa kujenga umoja wa kitaifa, amefanikiwa kuliunganisha Taifa, amefanikiwa kuwaweka watanzania pamoja, amefanikiwa kuishi katika mioyo ya watanzania ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.