Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huyu hapa. Akemea wawekezaji uchwara
15 Reactions
93 Replies
7K Views
Levinus Kidanabi , ambaye ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilayani Bariadi , amehukumiwa Kifungo cha Miaka 7 Jela , kwa kinachodaiwa kuwa ni TUHUMA ZA KUMKASHIFU RAIS SAMIA MITANDAONI . Sina...
38 Reactions
137 Replies
13K Views
Habari Wakuu, Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule? Yaani Bwana yule na watu wake wa...
99 Reactions
331 Replies
82K Views
Wanabodi, Nchi zote zinazoheshimu katiba, zinaendeshwa kwa mujibu Katiba, sheria, taratibu na kanuni na sio kwa kauli za viongozi tuu ambazo kauli nyingine zinakwenda kinyume cha katiba, sheria...
8 Reactions
26 Replies
5K Views
Katikati hapo tuliaminishwa Aweso ni waziri mchapakazi anayeleta matokeo chanya. Ajabu iwe mijini na hata huko vijijini hali ya upatikanaji wa maji ni ya kusuasua. Binafsi siyo muumini wa...
10 Reactions
57 Replies
3K Views
Kila siku huwa tunaambiwa na wapenda mamlaka ya Rais kwamba "Kauli ya Rais ni Sheria".. Hivi kauli ya Rais ili iwe sheria inatakiwa iwe na vigezo vipi ama kila akisemacho Rais ni sheria!!??
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna wakati mh Gambo aliwahi kusema vijana wa uvccm wakizeeka wanakuwa wachawi, maana yake ni kwamba Wana Fikra za kizee Kiukweli Chadema ndiyo chaguo la kizazi kipya japokuwa Ukweli huu...
3 Reactions
2 Replies
552 Views
Kama title inavyojieleza, hivyo ndivyo ilivyo. Kama kiongozi wa nchi ni chaguo la Mungu, nchi hiyo itabarikiwa na itastawi. Hakuna sababu ya kusingizia mabadiliko ya tabia nchi, vita nk! Binafsi...
1 Reactions
6 Replies
695 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema serikali itaendelea kuhakikisha ina imarisha sekta ya uchakataji wa bidhaa za nafaka Zanzibar. Ameyasema hayo...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Kiwango cha posho ya Tsh 5000 kwa siku kwa mwanachuo kwa mazingira ya sasa kwa Tanzania, ni kiwango kinachoweza msaidia kama anaakili ya kupanga vizuri bajeti yake. Kama wanachuo wanataka kuishi...
0 Reactions
174 Replies
15K Views
Taarifa Kwa Vyombo vya Habari
0 Reactions
0 Replies
465 Views
MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umesema kila mwezi huwalipa Sh. bilioni 60 wastaafu wa mfuko huo. Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mfuko huo, James Mlowe, alisema...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Inavyoonekana harakati za kudai mageuzi ya kweli kupitia chadema zimeingia kwenye zama ngumu sana kuwahi kutokea katika taifa letu. Kwa kadri ccm inavyobadilibadili ma dj wake na midundo ya...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Mkuu Bei ya debe la mahindi kwenye baadhi ya vijiji nchini ni 25000/= hadi sasa, watu wameshaanza kula kwa kununua unga kwa kilo sh.1700 hadi sasa na hii ni Oktoba hatujui January hali itakuwaje...
17 Reactions
127 Replies
7K Views
To be honest Huu uongozi ni Sahihi kwa ustawi wa Taifa . Nipo DSM naona miradi ya kuchagiza uchumi ikianzishwa , simaanishi madaraja no hapa nazungumzia Mambo muhimu tu. Vijana wanapambana life...
0 Reactions
1 Replies
424 Views
Kasim Kasim Kasim Kasim Majaliwa nimekutaja mara nne , Una mapungufu yako ya kuwa obdient sana kwa aliyekuchagua yeyote Ila kazi yako naikubali sana Naona Cross broad ya Kikwete na Mkapa !!!! May...
2 Reactions
8 Replies
777 Views
Kuna taarifa nimesoma mahali juu ya upatikanaji wa maji. Mwaka huu mvua za Vuli hazijanyesha kabisa imeathiri sana upatikanaji wa maji katika mikoa ya pwani na Dar es saalam. Tatizo lililopo si...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Inapendeza sana kuona wenyewe kwa wenyewe wanaumbuana hadharani na kutaka kuungwa mkono na CHADEMA kila upande kwa kwa wakati wake, inafurahisha sana!
3 Reactions
10 Replies
782 Views
Habari ndugu wanajamii. Aisee kwanza Mimi Sio mtanzania ni mtanganyika. Kama Zanzibar ipo iweje Tanganyika? Je, mzanzibar ni mtanzania?? Hapa ndo utaona mwalimu Nyerere pamoja na sifa mnazompa ni...
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Ndugu zangu Rais wa Marekani John F Kennedy amewahi kuwaambia Wamarekani kuwa wasijiulize Marekani itawafanyia Nini Bali Wajiulize Wataifanyia Nini Marekani, Nimeamua kuazima na kukopa maneno hayo...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom