Idofu
Senior Member
- Oct 24, 2022
- 108
- 187
CAPTION
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura, leo tarehe 28.10.2022 amemuapisha Kamishna wa Utawala na Rasilimali Watu CP Suzan Salome Kaganda baada ya kupandishwa cheo na kuteuliwa kuwa Kaimshna wa Utawala na Rasilimali Watu.
IGP Wambura amemuapisha kwa niaba ya Mhe, Rais na Amiri Jeshi Mkuu na hafla ya uapisho imefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, Makao Makuu ya Polisi Dodoma.