Selasini: Mbatia aache kuwasakama CCM na Mahakama apambane na NCCR, afichua Wapinzani wanavyodhuriana Wao kwa Wao na kusingizia Wasiojulikana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,982
141,997
Makamu mwenyekiti wa NCCR mzee Selasini amesema viongozi wa chama hicho wamekabidhi maisha yao mikononi mwa vyombo vya usalama kwa sababu wametishiwa kushughulikiwa na Vijana wa James Mbatia

Selasini amesema Mbatia ameuza shamba la Chama huko Kiromo Bagamoyo, ameuza pia ghorofa mbili za chama pale Bunju tunataka Takukuru wamkamate

Selasini amesema ni aibu kwa Kiongozi wa chama cha Siasa kukaa madarakani kwa zaidi ya miaka 20 kama ilivyo kwa Mbatia na mwenzie wa Chama kikuu cha Upinzani

Selasini ameonya vyama vya Upinzani Kuacha kuwasingizia CCM na Usalama wa Taifa muhusika na mgogoro huo

Mbatia aliwafukuza mzee Mrema, Kafulila nk na sasa ni zamu yake, amesisitiza Selasini
 
naye yatamkuta haya haya. Mahakamani atwashinda
 
Nyote ni takataka
 
Ameshtakiwa huko.Akamjibu Mbatia mahakamani hoja kwa hoja zenye ushahidi usiotia shakashaka.
 
Makamu mwenyekiti wa NCCR mzee Selasini amesema viongozi wa chama hicho wamekabidhi maisha yao mikononi mwa vyombo vya usalama kwa sababu wametishiwa kushughulikiwa na Vijana wa James Mbatia

Selasini amesema Mbatia ameuza shamba la Chama huko Kiromo Bagamoyo, ameuza pia ghorofa mbili za chama pale Bunju tunataka Takukuru wamkamate

Selasini amesema ni aibu kwa Kiongozi wa chama cha Siasa kukaa madarakani kwa zaidi ya miaka 20 kama ilivyo kwa Mbatia na mwenzie wa Chama kikuu cha Upinzani

Selasini ameonya vyama vya Upinzani Kuacha kuwasingizia CCM na Usalama wa Taifa muhusika na mgogoro huo

Mbatia aliwafukuza mzee Mrema, Kafulila nk na sasa ni zamu yake, amesisitiza Selasini
Ukiwa na siasa za akili za kutumwa hatimaye unaishia kutengeneza siasa tope ndani ya siasa mchakato

Tawala inawala wapinzani hadi wajute
 
30 ni mpuuzi kama mpandisha uzi
Makamu mwenyekiti wa NCCR mzee Selasini amesema viongozi wa chama hicho wamekabidhi maisha yao mikononi mwa vyombo vya usalama kwa sababu wametishiwa kushughulikiwa na Vijana wa James Mbatia

Selasini amesema Mbatia ameuza shamba la Chama huko Kiromo Bagamoyo, ameuza pia ghorofa mbili za chama pale Bunju tunataka Takukuru wamkamate

Selasini amesema ni aibu kwa Kiongozi wa chama cha Siasa kukaa madarakani kwa zaidi ya miaka 20 kama ilivyo kwa Mbatia na mwenzie wa Chama kikuu cha Upinzani

Selasini ameonya vyama vya Upinzani Kuacha kuwasingizia CCM na Usalama wa Taifa muhusika na mgogoro huo

Mbatia aliwafukuza mzee Mrema, Kafulila nk na sasa ni zamu yake, amesisitiza Selasini
 
Joseph Selasini aache kiherehere apambane na hali yake, atimize matakwa ya visasi, chuki na siasa taka kama anazofanya kwa sasa, hakuna wa kumtishia maisha kwanza hayo maisha hana sasa anatishiwa maisha yapi?
 
Makamu mwenyekiti wa NCCR mzee Selasini amesema viongozi wa chama hicho wamekabidhi maisha yao mikononi mwa vyombo vya usalama kwa sababu wametishiwa kushughulikiwa na Vijana wa James Mbatia

Selasini amesema Mbatia ameuza shamba la Chama huko Kiromo Bagamoyo, ameuza pia ghorofa mbili za chama pale Bunju tunataka Takukuru wamkamate

Selasini amesema ni aibu kwa Kiongozi wa chama cha Siasa kukaa madarakani kwa zaidi ya miaka 20 kama ilivyo kwa Mbatia na mwenzie wa Chama kikuu cha Upinzani

Selasini ameonya vyama vya Upinzani Kuacha kuwasingizia CCM na Usalama wa Taifa muhusika na mgogoro huo

Mbatia aliwafukuza mzee Mrema, Kafulila nk na sasa ni zamu yake, amesisitiza Selasini
MBONA ULIKUWA UYASEMI HAYO WAKATI YANATOKEA KWANINI LEO AU KWA KUWA UMESHTAKUWA KULIPA BIL.3? NGOJA UONE KAMA WALIOKUTUMA WATAKUSAIDIA
 
Back
Top Bottom