Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akihutubia wafanyakazi waliojitokeza kwenye kilele cha sherehe za Siku ya wafanyakazi Duniani (Mei Mosi 2026) Rais Samia amesema mwaka huu TUCTA hawakwenda na madai ya mshahara mpya na viongozi...
9 Reactions
22 Replies
839 Views
Leo nilikutana na clip moja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Chalamila. Katika clip hiyo Chalamila anasema moja ya sababu inayosababisha foleni zisiishe ni uwepo wa magari yenye namba A, na...
16 Reactions
93 Replies
2K Views
No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025. Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani...
13 Reactions
58 Replies
3K Views
Ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania, Rwanda na Kenya ni hatua muhimu katika kuimarisha uchumi wa kikanda na kufungua milango ya fursa kwa wananchi wake. Nchi hizi tatu zimeendelea...
0 Reactions
0 Replies
249 Views
  • Redirect
Didier Drogba apelekewe moto hadi ajue hatutaki usenge wa kusafisha wauwaji by Think Different Anakuja kuhalalisha mauaji ya watanganyika. Makonda anadhani kwa vile watanganyika ni malofa wa...
4 Reactions
Replies
Views
Na África J&L, Dar es Salaam Wakati Rais William Ruto atakapohutubia Bunge la Tanzania Mei 5, 2026, akiwa kiongozi wa kwanza wa Kenya kufanya hivyo, wengi wataona tukio la kihistoria. Lakini...
0 Reactions
3 Replies
287 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza na Wandishi wa habari leo Mei 4, 2026 Jijini Dodoma, amesema; "Katiba mpya ni ajenda yetu na...
0 Reactions
3 Replies
210 Views
Niwe mkweli nipo na mama yenu namwamsha taratibuuuu! Just imagine, kisa madaraka Tundu Lissu muda huu amekumbatia Kuta za gerezani kwa kosa la uhaini ili Hali sio muhaini. Wewe wakili wa...
4 Reactions
15 Replies
337 Views
Kambarage Masatu Wasira akiomba kupigiwa kura za ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo Mei 4, 2026 Bungeni Dodoma
0 Reactions
9 Replies
403 Views
  • Featured
Akiongea kwenye Mkutano wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Kabla na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Jaji Juma amesema kuwa kuna watu hawataki maoni ya watu wengine yasikike, baada ya kutoa...
18 Reactions
48 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/live/K8FOhiBhit4
0 Reactions
3 Replies
167 Views
Jaji Chande na Tume yake imegeuka kuwa toilet paper ya utawala. Common sense must prevail.
25 Reactions
55 Replies
1K Views
NILIWAHI KUSEMA MAREKANI IKIPIGA CHAFYA DUNIA INAUGUA MAFUA Pole Paul Makonda! Kwa uamzi huu wa kumfungia Paul Makonda kuingia Marekani sasa ni rasmi hawezi kuwa rais wa Tanzania, waziri mkuu...
25 Reactions
147 Replies
16K Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza na Wandishi wa habari leo Mei 4, 2026 Jijini Dodoma, amesema Makamu Mwenyekiti wa Chama cha...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Wakuu, Tarehe 02/05/2026 saa tatu asubuhi eneo la Mburahati Kinondoni alikamatwa Dammour Massoumbe Nyakairo, na kupelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya...
5 Reactions
30 Replies
779 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 4, 2026, amesema; "Tume imeshindwa kabisa kusema chochote juu ya nani aliwaua...
1 Reactions
4 Replies
203 Views
Nafikiri watu wengi mnakumbuka yule mwandishi wa habari miaka ya themanini na tisini marehemu stan Katabaro,alikuwa ni mwandishi mahiri kwa miaka ya leo hana tofauti na Saed Kubenea,Johnson...
16 Reactions
209 Replies
37K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo (Bara), Isihaka Mchinjita, amesema msimamo wa Kamati Kuu ya chama hicho kuendelea kuikataa rasmi Ripoti ya Tume ya Jaji Chande, akidai kuwa imeundwa...
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Makamu Mwenyekiti wa ACT wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 4, 2026, ameeleza kuwa tume ya kuchunguza matukio ya wakati na baada ya uchaguzi Mkuu 2025...
0 Reactions
0 Replies
126 Views
Back
Top Bottom