Didier Drogba atinga bungeni kushuhudia uwasilishwaji wa makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

Didier Drogba atinga bungeni kushuhudia uwasilishwaji wa makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,714
Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Ivory Coast na klabu ya Chelsea, Didier Drogba amewasili Bungeni Jijini Dodoma akiwa ni miongoni mwa wageni watakaoshuhudia uwasilishwaji wa makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2026/2027

drogba.jpg
 
Kwa hiyo serikali imemlipia air ticket, imemlipia hoteli, imempa na per diems za kutosha kijinga-jinga tu wakati watu wetu wana shida mpaka kwenye kope.
Wenzetu huwezi kukuta serikali inafanya matumizi ya kipuuzi namna hii, sijui itatuchukua miaka mingapi kupata ufahamu. Angalau JPM alikuwa na ufahamu wa kujua nchi nacwatu wake wanahitaji nini, isivyo bahati hakuishi muda mrefu.

Vv
 
Makonda Kuna Vitu huwa anahisi kama anafanya Ubunifu ila havina Logic yoyote ile kabisa wakuu, just imagine cost zilizotumika kumleta uyo Drogba zinabebwa na nani? Kwa sababu sio marafiki najua watu wengi hata hapo wizarani watakuwa wanamcheka tu jamaa Kwa aina hio ya Ushamba Mkubwa

Yake yale ya Wasukuma Kulipwa Hela ili wapige Picha na Jey blass wa misukosuko

Ushamba wa kiwango Cha juu kabisa
 
Back
Top Bottom