Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inasikitisha sana kuona hali ya foleni jijini Dar es Salaam imefikia kiwango hiki. Haiwezekani mtu kukaa sehemu moja kwa zaidi ya saa moja bila kusogea. Njia ya kutoka Morocco kuelekea mjini...
3 Reactions
6 Replies
282 Views
China is an engineers' country, but US and Germany are now lawyers' countries: former German chancellor By: Global Times | Published: May 04, 2026 04:01 PM "China is, as the US and Germany in the...
6 Reactions
29 Replies
526 Views
25 April 2026 CHAMA cha WANASHERIA wa AFRIKA (PALU) WAFUNGUA KESI MAHAKAMA ya AFRIKA -WATAKA WAUAJI WAKAMATWE NCHI YOYOTE https://m.youtube.com/watch?v=FUh-ut4VDyQ Chama cha Wanasheria wa...
20 Reactions
45 Replies
1K Views
Chawa nawasalimu, au ndo kwakuwa miili iliyoopewa sio ya ndugu zenu basi hili haliwahusu? Mpaka siku aopolewe nduguyo wa damu ndo macho yatafunguka? Sio mbuzi, ng'ombe au kondoo, ni watu, miili...
10 Reactions
18 Replies
334 Views
Kamati Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) iliyokutana leo Jumanne, Mei 5, 2026 Kinondoni jijini Dar es Salaam imemteua Daudi Masasi kuwa mgombea ubunge wa Isimani mkoani Iringa. Uchaguzi...
1 Reactions
3 Replies
168 Views
Zanzibar iko katika mazungumzo na wawekezaji, ikiwa ni sehemu ya hatua zake za kuanzisha shirika la ndege la kitaifa. Mpango huu unaonekana kama hatua ya kimkakati ya kuboresha miundombinu ya...
1 Reactions
147 Replies
5K Views
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo akichambua ripoti ya Kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi ameeleza kuwa Tume hiyo haikuwa na mamlaka kisheria kutoa amri...
4 Reactions
3 Replies
291 Views
Waziri wa Habari, Michezo, Sanaa na Utamaduni, Paul Makonda, ameibuka na ahadi kemkem za kuwaletea Watanzania watu maarufu duniani ili kuwafurahisha. Alianza kwa kuwaahidi wananchi wa jiji la...
1 Reactions
7 Replies
238 Views
Maana akitegemea hawa wanaowaza kuchapa mikwaju wana harakati watoe ruhusa ya tarehe ya Kesi kupangwa atakaa sana huko sero Au kesi ikishafika mahakamani huwezi fanya mgomo wa kutokula, Nakumbua...
2 Reactions
6 Replies
129 Views
https://youtu.be/Pqc6iwqDZ_8?si=HiMSYksM92lL8jgJ Bunge linatia aibu. Rutto anajua kuhusu utekaji, wizi wakura, rushwa , upendeleo wa undugu na uzanzibari. Anajua kuhusu mauaji
0 Reactions
0 Replies
154 Views
https://www.youtube.com/watch?v=WEGofJlMUxU Leo saa tano asubuhi, Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Kipchirchir Samoei Arap Ruto, anatarajiwa kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
1 Reactions
9 Replies
950 Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema kamati kuu ya chama hicho imeazimia kuwa iundwe Tume Huru, itakayojumuisha watu wa ndani na nje ya nchi, ili kuchunguza matukio ya Oktoba 29, 2025.
4 Reactions
7 Replies
242 Views
Chaguzi za kidemokrasia zimeanza 1995 na zitaendelea ila ushindi mkubwa katika historia mpaka wa leo ni 2025 kwa aslimia 96.7%. na walioshindwa ni asilimia 3.3%. Kwa akili za wataalamu wetu...
1 Reactions
1 Replies
107 Views
Rais Samia amesema Tuhakikishe East Africa inasimama tunavyotaka sisi na sio wanaotaka wale tunamengi yakufanya East Africa Community ni Community kubwa ya kiuchumi inajilewa, inayoweza kusimama...
1 Reactions
24 Replies
516 Views
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemshukuru Rais wa Kenya kwa hotuba aliyotoa leo Mei 5, 2026, Bungeni Dodoma akibainisha kuwa hotuba hiyo inashawishi, ya...
0 Reactions
5 Replies
209 Views
Nimemsikiliza Katibu mwenezi wa CCM akisema Katiba Mpya ni matakwa ya Watanzania wote na sio kikundi cha watu. Aidha ameshangaa baadhi ya vyama vya siasa kushikilia ajenda moja tu ya uchaguzi...
2 Reactions
8 Replies
332 Views
Akihutubia Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Rais wa Kenya, William Ruto amebainisha kuwa Kenya na Tanzania ni nchi zinazotegemeana, akieleza kupitia Uhusiano wa Biashara kati ya nchi hizo...
2 Reactions
5 Replies
221 Views
Africa J&L Correspondent, Dodoma As global powers compete for strategic minerals, energy routes, and African trade corridors amid rising geopolitical tensions, Samia Suluhu Hassan continues to...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
  • Redirect
"Niruhusu nitoe shukrani zangu za dhati kabisa kwa Mheshimiwa Rais, dada yangu, Samia Suluhu Hassan. Kwa mwaliko wake wa heshima kwangu kufanya ziara hii ya kihistoria katika taifa lenu tukufu na...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom