Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://www.youtube.com/watch?v=WEGofJlMUxU
1 Reactions
0 Replies
146 Views
  • Redirect
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
05 May 2026 Dodoma, Tanzania LIVE / MUBASHARA : Rais William Ruto Akihutubia Bunge la Tanzania || Mei 5, 2026 RUTO - MAADUI WETU SI WATANZANIA AU WAKENYA MAADUI WETU NI UKOSEFU WA AJIRA...
1 Reactions
Replies
Views
Ndio kama mlivyosoma kwamba hisa za Serikali ni asilimia 17% tuu. https://www.instagram.com/p/DX1ya8oCn_S/?igsh=MWlja2xja2QxMHd2aw== My Take Kama hatuna pesa za kuingia kwenye ubia hakuna haja ya...
6 Reactions
77 Replies
1K Views
Tume ya maridhiano iliyokuwa ya kutolea mfano ni ile ya Afrika ya kusini. Matatizo ya Afrika Kusini yalitokana na siasa za ubaguzi wa rangi. Baada ya siasa hizo kutoweka, Ndo ikaundwa Tume ya...
5 Reactions
7 Replies
249 Views
Waziri umeshirikiana na UD kutatua 'mgogoro' wa kijana aliyeshindwa kuendelea na masomo kwa faini ya kizembe. Au tuseme uonevu wa UD kwa wanafunzi. Hiyo ni ishara kwamba Vyuo vikuu vyetu...
3 Reactions
4 Replies
220 Views
"Kuna kijana hadi sasa hamfahamu Waziri mkuu wa Nchi, Makamu wa Rais ila anafahamu wimbo gani uliotoka hivi karibuni, matokeo ya michezo mbalimbali kwasababu ndiyo kipaombele chake" - Nathaniel...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
  • Redirect
Tume ya Uchunguzi iligundua kuwa ghasia za Oktoba 29, 2025 hazikuwa za ghafla bali zilikuwa na mpango mkubwa wa kuratibiwa. Ushahidi ulionyesha zaidi ya mbinu 16 zilitumika katika maeneo 202...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nina hasira sana baada ya watoto wangu wawili kuuawa na miili yao kupotezwa, licha ya kwamba tuliiona Mwananyamala, ila tukanyimwa kupatiwa. Nahangaika na kujitibu hisia. Nimeamua nitue mizigo...
0 Reactions
Replies
Views
Wabunge wa (covid 19) walisababisha hasara ya shilingi bilioni 16+🙄 Hawa covid 19 walifukuzwa uanachama na chadema , CCM kwa masilahi yao wakalazimisha wakae bungeni kwa miaka mitano kinyume na...
5 Reactions
16 Replies
336 Views
Andiko la: Wakili William Maduhu 1.1UTANGULIZI Tarehe 2 Mei 2026 vyombo vya habari na watanzania kupitia taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ikulu tulijulishwa kuwa Mhe Rais wa Jamhuri ya...
1 Reactions
2 Replies
339 Views
Jesh la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam, limeopoa miili miwili iliyokua inaelea kwenye Maji katika eneo la Stakishari Ukonga na daraja la Sarenda na kuikabidhi kwenye...
3 Reactions
20 Replies
538 Views
Waziri wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, amesema kuwa madai ya kubadilishwa kwa mfumo wa Uchaguzi kabla ya uchaguzi mkuu wa...
4 Reactions
57 Replies
3K Views
https://www.youtube.com/live/IDLFO9CCsg0?si=vpjpr7OrL7AdKs52
0 Reactions
1 Replies
154 Views
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la kima cha chini cha mshahara kutoka TZS 300,000 hadi TZS 500,000 kwa mwezi. Dkt. Mwinyi amesema kiwango hicho kipya cha mshahara...
1 Reactions
19 Replies
751 Views
Anonymous
Hivi hizi pesa ambazo Bunge linajadili ni matumizi yasiyo ya lazima wakati kuna Wabunge watoro Bungeni, bungeni hawaonekani, jimboni hawaonekani lakini mishahara wanalipwa. Mfano mbunge wa Jimbo...
3 Reactions
11 Replies
425 Views
Tume ya Chande imeeleza kuwa viashiria vya maandamano vilianza miezi 6 before - kauli hii imehoji uwezo wa TISS, are they really capable na espionnage kubaini na kuchukua neccesary Measure ! -Hii...
1 Reactions
0 Replies
158 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amewataka Watanzania kuamini katika nguvu ya mazungumzo kama njia pekee ya kuleta mageuzi ya kweli na maendeleo...
0 Reactions
6 Replies
241 Views
Leo tunapoandhimisha siku ya uhuru wa habari, naomba chukua fursa hii kutafakari, kwa kuwakumbuka, mashujaa wa tasnia hii ya habari, waliopo na waliotangulia mbele ya haki!. Je, unamkumbuka nani...
4 Reactions
57 Replies
9K Views
Wanabodi, Tangu baada ya Uingereza kupiga kura kujitoa kwenye EU, wanabodi wetu humu ambao ni Wanzanzibari, wanashadadia sana uamuzi huo, na kushinikiza wananchi wa Zanzibar nao, wapewe fursa ya...
16 Reactions
170 Replies
18K Views
Back
Top Bottom