Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
Utekaji umerudi kwa kasi.. Mauaji ya waliotekwa umerejea rasmi https://www.facebook.com/share/v/1KKK8xb32K/
3 Reactions
Replies
Views
Ujio wa Raisi Kagame una maana kubwa sana kidiplomasia na unadhihirisha ushupavu wa Mama Katika anga za kimataifa , Hongera sana Mh Mama Samia kwa kuendelea kuifungua Tanzania kimataifa. Ujio wa...
0 Reactions
3 Replies
205 Views
Wanabodi, Declaration of interest: Mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, niliyeamua kujikita katika kuandika habari za kimaendeleo. Uzi huu sio wa kutetea ujinga na upuuzi wa...
14 Reactions
249 Replies
27K Views
Wanabodi, Huu ni wito kwa wana tasnia ya habari, "Moja shika sii kumi nenda rudi " and "if you can't get what you want, then just take what you get", baada ya kusainiwa kwa sheria mpya ya habari...
9 Reactions
70 Replies
9K Views
Wanabodi, Kwanza naomba nikiri kuwa nimeandika uzi huu kwa kuwa inspired na mwana jf huyu, Milion mia saba kila baada ya miezi miwili? Na watu wa media waongezewe posho? Huu ni muda wa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
KAFULILA: DAWASA ZAIDI YA LITA BILIONI 250 ZA MAJI HAZILIPIWI SAWA NA 50%. NDIO MAANA TUNASUKUMA PPP” Akizungumza na wadau katika Kongamano la Nishati Kitaifa, Mkurugenzi Mkuu wa PPPC, Bwana...
2 Reactions
6 Replies
403 Views
Ukweli usemwe marais wa kutoka Zanzibar huwa hawalindi maliasili za bara. Enzi za utawala wa mzee Ruksa kuliibuka sintofahamu kuhusu Lokiondo kuuzwa kwa waarabu. Aliyekuwa waziri wa maliasili...
24 Reactions
117 Replies
10K Views
Shuhuda za kuthibisha Matendo makuu ya Mungu zinaendelea kutolewa MR CAP mfanyabiashara wa Ilala, alipewa Kazi ya kutengeneza kofia za ccm kwa ajili ya kampeni za CHAMA hicho 2015, aliyempa Kazi...
20 Reactions
43 Replies
1K Views
Tumepoteza vijana zaidi ya 34 mpaka sasa kwamba hawajulikani walipo kumbe wameuwawa Mdude Nyagali Deusdedith Soka Chaula Na wengine wameuawa tayari Endelea kutega sikio Nani kamuua na lini...
31 Reactions
73 Replies
3K Views
Wanabodi, Japo dunia nzima inafahamika nchi kuendeshwa kwa mihilimili mitatu ya The Executives, The Legislature and The Judiciary, si wengi wanaotambua kuwa kuna mhilimili wa nne, The Media...
19 Reactions
101 Replies
12K Views
TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, bado linaendelea kumsubiri Ndg. Humphrey Polepole aripoti katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai. Ndg...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Kwa sasa hatupokei tena habari motomoto au headline ambazo zilikuwa zina heat, waandishi wa habari wa Tanzania wamekuwa waoga kupitiliza kisa kuambiwa "UCHOCHEZI" hata maana halisi ya neno...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanabodi, Naangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinachorushwa na Star TV, ambapo mwandishi Mkongwe, Deo Masakilija, amealikwa. Dotto Bulendu ameanza kwa hoja 'Je media imetimiza...
10 Reactions
81 Replies
14K Views
Wanabodi, Yule Mwandishi Julian Asange wa WikiLeaks, ametiwa nguvuni nchini Uingereza kwa kutakiwa na Marekani, sasa sisi Tanzania, tujifunze kwa kitachompata, tukitumie kama shamba darasa la...
20 Reactions
101 Replies
11K Views
Wanabodi, Kama kawaida ya Jumamosi asubuhi, Star TV, kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, leo, chini ya nguli Dotto Emmanuel Bulendu, wachangiaji ni Moses Mathew na Mansoor. Kipindi...
20 Reactions
88 Replies
11K Views
Suala la uraia wa nchi mbili ni zuri lakini kuna matatizo yake pia lisipowekea vizuri, mfano sasa hivi Kenya Kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa waliochaguliwa viongozi Kenya kuishi Marekani...
3 Reactions
13 Replies
265 Views
Wanabodi, Vyombo rasmi vya habari vya Tanzania, vimelaumiwa kuwa havitimizi wajibu wake wa kuwahabarisha Watanzania, kutokana na Waandishi wa habari kukabiliwa na njaa kali kufuatia kulipwa...
11 Reactions
48 Replies
5K Views
Mjadala wa leo katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star tv mada ni Hotuba ya Rais aliyoitoa wakati wa anawaapisha wateule wake. Pascal Mayalla anasema...
15 Reactions
133 Replies
11K Views
Takriban mwezi mmoja umepita nilinunua umeme wa Shiling 50,000 kwa kutuia APP ya simbanking. Nilisubiri kutumiwa token zangu za Luku akini sikuzipata. Kesho yake niliwapigia sim Tanesco...
9 Reactions
41 Replies
829 Views
Wanabodi, Moja ya matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, nakusaidiana. Ikitokea kuna jambo unalijua, mwenzako halijui, msaidie kumuelimisha kwa...
12 Reactions
44 Replies
5K Views
Back
Top Bottom