Wataalam wa siasa mnisaidie kunielewesha. Kwanini kila kona ya nchi mtu anayeongelewa sana kwenye mijadala ni Magufuli?
Mwanzoni nilijua ni ishu temporary kutokana amekufa akiwa madarakani, ila...
Utaona wakati wa kampeni wagombea watamiminika kutoka kusikojulikana! hata waliokimbia nchi watarudi, kwa nini? Kwa sababu kwenye kampeni kuna ulaji mkubwa, sisi oya oya! ndio tunakuwa wapiga...
Leo Rais Samia Suluhu ametusisitiza wananchi kutumia nishati safi ya kupikia ili tuondokane na madhara yatokanayo na nishati isiyo safi lakini pia amegusia suala la maji ambalo linawatesa sana...
Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro leo tarehe 01/11/2022 amemuelekeza mkuu wa takukuru wilaya ya Ikungi kuanza uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili watumishi watatu waliokuwa wanasimamia...
Wanajavi hali si hali Kila mtu haamini kinachoendelea.
Gharama za maisha ziko juu kuliko wakati wowote ule, watu wanatafuna hela za serikali bila huruma..
Hakuna mradi unaoeleweka, president...
Hii "Self"ni ya Seif Hamad, lilitumika na CUF Maalimu baada ya ugomvi na Lipumba.
Baada ya CUF Maalimu kuhamia ACT makao makuu yamehamia hapa. Tumefanya vikao vingi hapa katika uchaguzi...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mjadala wa Muswada wa Ulinzi wa Taarifa binafsi wametoa hoja zao huku wengi wao wakionekana kuunga mkono kuundwa kwa sheria hiyo.
Aidha...
SERIKALI KUENDELEA KUTATUA CHANGAMOTO ZA ARDHI, KIBAHA YAMWAGIWA NEEMA.
Serikali imewahakikishia wananchi wa Wilaya ya Kibaha Vijijini utayari wa kutatua, na kushughulikia changamoto za ardhi...
Mbunge wa viti maalumu wa CCM, Mwanaisha Ulenge akichangia hoja yake katika mjadala wa Muswada wa ulinzi wa taarifa binafsi ameweka bayana kuwa sheria hii imekuja kwa wakati sahihi na inakidhi...
Mbunge CHADEMA Songwe Viti Maalum, Stella Fiyao akichangia hoja yake katika mjadala wa Muswada wa ulinzi wa taarifa binafsi anabainisha kuwa mswaada huu ni muhimu na utakwenda kutatua changamoto...
Hii ni kwa sababu PhD yake imezua utata , na iko mbioni kufutwa .
Inawezekana huo uwaziri wa fedha aliopewa ulitokana na mamlaka ya Uteuzi kuridhishwa na Udaktari wake wa filosofia , kwa kuamini...
Kikao cha NEC kikiendelea kusubiriwa kwa hamu sana, ili kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi mkuu ujao pia kwa ajili ya kupokea Maazimio ya Central Committee juu ya Kinana, Membe na Makamba.
Tayari...
Halafu kinachonisikitisha ni namna mnavyotumia Ukabila, eti tuonekane Wasukuma na watu wa Kanda ya Ziwa kwa ujumla hatumtaki Rais wetu. Ni nani aliyewaroga ninyi?
Juzi hapa Joel Luhaga Mpina...
Pamekuwepo na utaratibu wa Wazazi kuwaombea nafasi ( vyeo vizuri) watoto wao kutoka kwa wateuzi. Hili suala siyo la Kisiasa tu bali limo hata kwenye Biblia.
Katika Kitabu cha Mathayo tunaonyeshwa...
Leo 01/11/20220 muswada wa sheria ya ulinzi wa Taarifa binafsi wa mwaka 2022 ulisomwa Bungezi na Waziri Habari mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye.
Mswada huo unajadiliwa wakati huu...
Rais wetu mama Samia pole kwa majukumu.
Leo nimekusikia ukisema chanzo cha mgao wa maji hapa Dar ni ukame uliopo mto Ruvu na sababu ni watu kuharibu mazingira. Naomba nikubaliane na wewe kwenye...
DC MURO NA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO- IKUNGI.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe. Jerry Muro pamoja na Kamati ya Usalama ya Wilaya wataanza ziara ya kukagua miradi ya...
Hili linaweza kuwa fundisho kwa wananchi na vyama vya siasa pia .
Huyu mtu tangu mwanzo ilibainika kwamba hakuwa na lengo lolote la kusaidia kata hiyo , bali alitaka kuitumia ili kuukwaa umeya...
Kiwango cha umasikini na sera ya nchi ya kumiliki ardhi na viwanja ni changamoto kubwa sana! Ukiacha watoto inaonyesha kuwa watu MILLION 40 MPAKA 45 hawana makazi, tatizo ni nini?
Sera ya nchi ya...
Taifa linayumbishwa na wanasiasa waroho ambao wameshaona njia rahisi ya kutoboa kimaisha ni kupitia siasa na si vinginevyo! Kwa kuipa siasa thamani kubwa kuliko taaluma kumewafanya wanasiasa...