DC Muro na ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo wilayani Ikungi

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
328
414
DC MURO NA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO- IKUNGI.

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe. Jerry Muro pamoja na Kamati ya Usalama ya Wilaya wataanza ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Wilayani Ikungi kuanzia tarehe 01 hadi 04 Novemba, 2022. Ufuatiliaji na Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilayani Ikungi unaendelea kwa kasi na viwango.

#KaziIendelee.

255626150150_status_a3c8c8502cb2499fa81da22006d59db5.jpg
 
Kila la kheri... Katika ziara zao, wajizuie kunyanyasa watendaji wa chini yao.

Wapitie mipango kazi kwa pamoja na kutafuta ufumbuzi.
 
Principle ni ileile Mafanikio ya kwake lawama za watendaji wake,Hawa walikuwa na tafsiri yao ya kifanya kazi,Kwao kufanya kazi ni kusimamisha,kuweka ndani au kufukuza Watumishi kwenye Mikutano.

Hivi karibuni baada ya Mama kuingia naona kama anajitahidi kusoma alama za nyakati, ingawa sidhani kama mtu aliyeonja nyama ya mtu anaweza kuacha kirahisi.
 
Back
Top Bottom