Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,714
- 239,291
Hili linaweza kuwa fundisho kwa wananchi na vyama vya siasa pia .
Huyu mtu tangu mwanzo ilibainika kwamba hakuwa na lengo lolote la kusaidia kata hiyo , bali alitaka kuitumia ili kuukwaa umeya wa jiji .
Taarifa za wananchi wa kata hiyo zinaeleza kwamba baada ya ndoto ya umeya kuyeyuka , tajiri huyo hajawahi kuonekana mbagala kuu wala hapatikani kwa simu .
Erythrocyte wa Jamiiforums anaendelea na uchunguzi kama diwani huyo ASIYEJUA KISWAHILI anahudhuria vikao vya halmashauri na kama anachangia chochote kwenye vikao , wakati kero na changamoto za mbagala kuu hazijui .
MyTake - Watanzania wenzangu kuna msemo wa kiswahili unasema hivi , TAJIRI NA MALI YAKE MASIKINI NA WATOTO WAKE ,
njaa ya siku moja haiui , sasa kwa gharama ya AZAM COLA NA KASHATA mmedumaza kata yenu , MAJUTO NI MJUKUU