Wakuu wa Jukwaa
Kama mada ilivyo hapo juu, miaka kadhaa iliyopita kwenye awamu ya tano wavamizi wote wa bonde la Msimbazi na Jangwani waliondolewa, nyumba kuvunjwa ikielezwa walikiuka sheria...
Katika mfululizo wetu wa barua kutoka kwa waandishi wa Kiafrika, mwanahabari wa Tanzania Sammy Awami anapendekeza kwamba nchi yake inaweza kuiona Kenya kama mfano wake wa kuigwa kisiasa...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Makalla amesema visima vyote 197 ambavyo vilianza kujengwa 1990's vitashughulikiwa haraka ili vitoe maji yatakayowasaidia wananchi wa mkoa wake.
Source: ITV habari
Ndivyo itakavyokuwa kama unabisha subiri muda ufike
Rais ataendelea kutoka CCM tena kwa Ushindi wa kishindo
Ila kwenye ubunge Chadema watasumbua Sana kwa sababu chama hicho cha Ufipa st ni cha...
Kama inavyojulikana kwa Utamaduni wa CCM mgombea Urais wa JMT atakuwa Rais Samia na fomu itakuwa Moja
Kwa upande wa chama kikuu cha Upinzani Chadema inadaiwa atasimama Meya mstaafu wa Manispaa...
Wakati baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakitaka makada wenzao waendeleze utamaduni wa chama hicho wa kutochukua fomu za kuomba uteuzi wa urais ndani ya chama hicho mwaka 2025...
Nimekuwa nashuhudia viongozi mbalimbali wakiapa kwa kushikishwa biblia au quran na mwisho wa viapo vyao wanasema "Ewe mwenyezi mungu nisaidie".Huo ni mkataba kati ya mungu na muapaji
Jambo la...
Vijana wa kitanzania tupate neno kutoka kwa Eric Shigongo
"Ushauri wangu kwa Watanzania wenzangu, tuache kulalamika, tumekuwa walalamishi sana, muda mwingi tunatumia kuilamu serikali, nawashauri...
Maria Sarungi, Mwanaharakati na Mwanachama hai wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekuwa akiendesha kampeni za kutukana na kudhalilisha Viongozi/Mamlaka halali kwenye mitandao ya kijamii kwa...
Au nasema Uwongo ndugu zangu.
Vibaraka wote wenye vinasaba vya CCM hayati Shujaa Magufuli aliwatwaa na kuwarejesha Lumumba na kuiacha Ufipa st na Makamanda original.
Sasa utakuta 2025 Chadema...
03 November 2022
Zaidi ya wajumbe 250 toka nchi 40 kutua mjini Zanzibar hayo yamebainishwa na mmoja wa waandaji wa mkutano huo balozi-maalum utalii anayeiwakilisha Seychelles nchi Tanzania Bi...
Juma Raibu aliyevuliwa Umeya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, amechukua tena fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM ili awe Mgombea wa kiti hicho kwa mara nyingine.
Itakumbukwa kwamba Juma Raibu...
Jimbo la Hai, Kilimanjaro mbunge wake ameamua matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo ni zake na fedha hizo zimekuwa siri, kwa mbunge na ameamua kutokuweka wazi matumizi yake kwa kuunda kamati ya...
Huu unaoitwa ukame ni wa kutengeneza ili kumfurahisha globalist, Tanzania haijawahi kukumbwa na uhaba wa maji kwa kiasi hiki.
Sababu za huu unaoitwa ukame ni kuendana na Mkutano wa Global Warming...
Ilikuwa rahisi zaidi Rais angetutangazia idadi yetu, kwa kulihutubia taifa, na Dunia nzima kupitia vyombo vya habari.Na tungeelewa bila kuharibu mapesa ya walipa kodi.
Badala Kutumia Mamilioni...
Tanzania imekuwa nchi ya mfano duniani, baada ya Shirika la Maendeleo la Japan (JICA), kuiweka katika mpango wa kuimarisha kilimo cha uzalishaji wa mpunga barani Afrika na miradi mingine mikubwa...
Ndugu zangu Hali ya mafuta inazidi Kuendelea kuleta matumaini kwetu watanzania kwa kushuka Bei, Ikumbukwe kuwa miezi michache iliyopita Bei ya mafuta petrol,Dizel na mafuta ya Taa ilikuwa...