Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Baada ya Kisa, Mkasa, na Baada ya Chanzo Kitendo!, Sakata la Mbunge Machachari wa Chadema, Zitto Zuberi Kabwe na chama chake cha Chadema limekuwa na visa na mikasa, vyanzo na vitendo...
40 Reactions
450 Replies
60K Views
Wanabodi, Baada ya kutokea lile sakata la kumtimuliwa ZZK ndani ya Chadema kinyume cha sheria, taratibu na kanuni za Chadema, nilisema humu kuwa kitendo hicho, ni creation of unnecessary "bad...
4 Reactions
62 Replies
6K Views
Akihojiwa na Wasafi Media Mzee Ulimwengu amedai kwamba , Waziri Mkuu wa Wakati ule Joseph Warioba na Msaidizi wake Charles Kileo ndio walimfuata na kumuomba awe DC , hakuomba hiyo kazi, Hii maana...
22 Reactions
139 Replies
12K Views
Nimetafakari sana kuhusu Jambo hili na hasa Wadanganyaji wenyewe kuwa viongozi wa juu wa Chama, akiwemo Zuberi Zitto, sijaelewa hasa LENGO LAO LA KUDANGANYA JAMBO LINALOFAHAMIKA. Ni kweli kabisa...
15 Reactions
45 Replies
4K Views
Waziri anazungumzia nishati safi huku akijuwa pamoja na kutoa hiyo mitungi yake ya gesi ajue kuwa itageuzwa kuwa viti vya kukalia kwani gesi haikamatiki bei ipo juu. Kama asingekuwa anadanganya...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
AIBU AIBU Chama kikongwe chenye Miaka 60 Madarakani CCM kinaogopa kukosolewa, kinazuia Mikutano ya Hadhara kinatengeneza Wabunge fake 19 wasio CHAMA Bungeni. Kinateua Wenyeviti wa Serikali za...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Katiba ya chama chetu haisemi kwamba tusitie nia au tumuachie aliyepo bila kumpa changamoto yoyote! Hapana! Tutashindana ili tumpate aliye bora! Mimi sitasubiri 2030, nitapambana na Samia 2025 ili...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu, Mohamed Mchengerwa, Waziri Mwenye Dhamana ya Sanaa na Michezo Nchini. Mhe , Mchengerwa. Ndio Waziri anaetembea na Ulinzi au Wasaidizi Kutoka PSU. Kokote anakokuwa Mchengerwa Ujue Kuna...
10 Reactions
53 Replies
4K Views
Huu mji ni moja ya vitu vya kuvutia sana hapa Dodoma. Japo haujakamilika, ila kukamilika kwa mtandao wa barabara tu, teyari kunafanya huu mji upendeze na utapendeza zaidi pale majengo ya magorofa...
20 Reactions
93 Replies
8K Views
Julius alikuwa na huruma juu ya raia wa chini. Hakutaka wateseke na tozo, kodi, ada za shule na hata kuhangaika kupata chakula. Julius alipambana kila Mtanzania angalau asipate tabu sana ila...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna wakati nilitembea nchi fulani nje ya hapa. Kulikuwa na shughuli iliyohusisha watu kutoka nchi mbalimbali . Tukiwa pale wenzetu wakenya na waganda waliokuwepo walionekana kutokuwa karibu na...
17 Reactions
13 Replies
1K Views
Mbunge wa CCM ameibua ufisadi na wizi unaofanyika nchini pale bungeni. Ni muendelezo wa ufisadi chini ya utawala wa CCM. Badala ya wabunge wenzake wa CCM kukemea huo wizi wao wakaishia kucheka...
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa Great Hall of the People, nchini China leo tarehe 03...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Wabunge Miraji Mtaturu, Innocent Bilakatwe na Stella Fiyao wamesema Kanuni zinazotungwa na Mawaziri haziendani ya Sheria zinazopitishwa Bungeni hivyo kuibua malalamiko ya Wananchi. Mtaturu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama kuna taasisi ya Umma amvbako nidhamu ji zero basi ni Police. Hawa hamaaa ni watu wa harakati za upigaji tu. Kukamatwa wanasafirisha Wahamaiaji hii ni ndogo sana kwao, hawa wanafanya biashara...
1 Reactions
4 Replies
561 Views
Rais Samia, Mama yetu mpendwa nakuomba tafadhali sana kuachana na huo mradi unao endelea hivi sasa jijini Dar es salaam mradi wa BRT. Huu mradi Mama, kwa idadi ya wakazi waliopo hivi sasa Dar na...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Heshima kwenu Wakuu, Leo Tundu Lissu ametoa ya Moyoni kwamba anawindwa na kufuatiliwa na vyombo vya Usalama. Amewasihi Vyombo vya Usalama vipambane na Wahalifu sio Wanaoikosoa Serikali "Naomba...
144 Reactions
550 Replies
89K Views
Mh. Rais Samia , Naamini unafahamu kabisa kuwa, Mwaka 2020 wakati tunampigia kampeni Dr. Magufuli, tulikupigia kampeni na wewe ukiwa mgombea mwenza. Tuliwaamini nyote wawili kwamba ni watu...
11 Reactions
163 Replies
12K Views
Kiuhalisia Bila Raisi Kikwete kuleta Mradi wa Kinyrrezi 1,2 na 3 na extension one, tungekimbia nchi Kwa mgao mkali wa umeme, matumizi yameongezeka zaidi ya asilimia 50, hivyo Mzee kikwete...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Pesa ya kujazia mitungi ya gas tabu. Kupata chakula tu ni tabu. Leo hii mnakomalia mitungi ya gaz
0 Reactions
1 Replies
571 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…